Mrisho Mpoto, pumba tupu

Mrisho Mpoto, pumba tupu

Sahihisho, kanzu na burqah ni sehemu pia ya tamaduni za Waswahili, nadhani FaizaFoxy nae yumo katika kundi la hao Waswahili.

hili lisilete mzozo naliongea tu ila liishie hapa hapa.kanzu wala si tamaduni za waswahili.tamaduni za mswahili ni zile zilizokutwa na wageni wote waliofika kwenye pwani ya wasawahel(waswahili) kanzu na burqashia zililetwa na waarabu hivyo hizo si tamaduni za kiswahili bali za waarabu.

ila jambo jema ni kuwa tamaduni hupokea na kutoa hivyo kupelekea kuwa na mwonekano tofauti kadri muda unavyoyoma.ndio maana leo hii utakapoongelea tamaduni za kimavazi kwa watu wa pwani kanzu imekuwa vazi mughibu kwao ila utamaduni huu haukuwa wa waswahili
 
Last edited by a moderator:
Mrisho mpoto yuko vzr,mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.Jamaa yuko vzr na mm namkubali.
 
Wote tunakufahamu kwa WIVU na ona sasa umeshaanza hadi kwa Waislaam wenzio.

Hapa hakuna Upumbavu wala kuuficha wake, hapa mtu lazima apashwe ukweli wake, acha wivu kwa Muislaam mwenzio.
Uislaam hapa umehusu nini?

Kama hauna cha kuandika ungeficha upumbavu wako.
 
Kaniboa mpaka nimezima Tv,anaulizwa swali anaongea mengine hana hata mpangilio wa kujibu ni kujisifu na kuongea pumba.

nakumbuka kule kigoma jk alimpiga dongo kuhusu unene wake,mi namuona ni kama msukule umetolewa juu ya dar
 
Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.

Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".

Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?

Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.

Ni mwana CCM mwenzako huyo. Akili za mijitu ya CCM ni hovyo kwel kwel
 
Mpoto....yeye alishirikishwa na dada mmoja nadhani wa chuo cha sanaa bagamoyo wimbo wa kwanza kabisa (tupangisheni), watu wakadhani ni yeye ameutunga...baada ya hapo akaendelea kama alivyoshirikishwa mpaka leo.
 
Huyu si ndo alitusaliti watanzania uko marekani na kujiita mkenya...hana tofauti na viongozi wetu wote ni wachumia tumbo tu..

Jinsi nilivyomsikia akisema hovyo, naamini anaweza kusema yeye ni Mchina pia wacha hiyo ya Mkenya.
 
Ni mwana CCM mwenzako huyo. Akili za mijitu ya CCM ni hovyo kwel kwel

CCM ina wanachama wa kila aina, hapa haiongelewi CCM, hili si jukwaa la siasa, mbona u punguani kiasi hiki?
 
Wote tunakufahamu kwa WIVU na ona sasa umeshaanza hadi kwa Waislaam wenzio.

Hapa hakuna Upumbavu wala kuuficha wake, hapa mtu lazima apashwe ukweli wake, acha wivu kwa Muislaam mwenzio.

Hapo unaendelea kuuonesha upumbavu na upunguani wako.
 
CCM ina wanachama wa kila aina, hapa haiongelewi CCM, hili si jukwaa la siasa, mbona u punguani kiasi hiki?

kwani ukika kimya au kukiri kwamba umejikwaa kumsema mwa CCM mwenzio/gamba lenzako vibaya kwa bahati mbaya utabadilika jinsia.??
 
Na huu pia, au vipi dada yangu FF

attachment.php

Safi sana, CCM ni chama cha wengi, na hii picha inadhihirisha CCM hatuna ubaguzi.
 
unaelewa maana ya utamaduni? una elewa na sifa za utamaduni?
Labda unifundishe maana nimeeleza vielelezo viwili tu vya utamaduni ambao ni Lugha na mavazi wewe waweza kuongezea vingine au ukavikataa nilivyoeleza na kufundisha vya kwako kwa faida ya wengi kusema tru kwamba ninaelewa utamaduni na sifa zake it is 2 general
 
Matusi ni dalili za mtu kushindwa. Haya anza na kuipiga mashine yako kwa hasira kila ukiona SIKONGE.

Mbona leo umekuwa Mkali hivyo, kuna nini? Anyway, wengine mnabadilika kutokana na Mwezi ulipo.

Ila bado naamini humpendi Mpoto kwa Sababu unamuonea wivu Muislaam mwenzio. Yeye anajulikana na hadi kwenye TV na nje ya Tanzania anakaribishwa, wewe usiye na Upumbavu, Pumba au Upunguani umeshafanya nini?

Acha lugha za ovyo, wengine tunashinda nazo hapa kwenye kumwaga Zege. Kama ni Mali, fanya Export ya MATUSI.
Hapo unaendelea kuuonesha upumbavu na upunguani wako.
 
Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?
Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.

Huyu kijana hujiamini kama sindano ya cherehani. ANAJIFANYA ANAJUA KILA KITU kumbe hajui kuwa naye hamnazo pia!
 
Aisee, leo haka Ka Mama ni KAKALI, hihihiiiiii..... Kanagawa tu DOZI ya Punguani leo. Hahahaaaaa........
CCM ina wanachama wa kila aina, hapa haiongelewi CCM, hili si jukwaa la siasa, mbona u punguani kiasi hiki?

Hapo unaendelea kuuonesha upumbavu na upunguani wako.

kwani ukika kimya au kukiri kwamba umejikwaa kumsema mwa CCM mwenzio/gamba lenzako vibaya kwa bahati mbaya utabadilika jinsia.??
 
Huyu si ndo alitusaliti watanzania uko marekani na kujiita mkenya...hana tofauti na viongozi wetu wote ni wachumia tumbo tu..
ebwanaeeeee sikuwahi kuipata hii, kumbe alikana kua sio mmatumbi mwenzetu..
 
Matusi ni dalili za mtu kushindwa. Haya anza na kuipiga mashine yako kwa hasira kila ukiona SIKONGE.

Mbona leo umekuwa Mkali hivyo, kuna nini? Anyway, wengine mnabadilika kutokana na Mwezi ulipo.

Ila bado naamini humpendi Mpoto kwa Sababu unamuonea wivu Muislaam mwenzio. Yeye anajulikana na hadi kwenye TV na nje ya Tanzania anakaribishwa, wewe usiye na Upumbavu, Pumba au Upunguani umeshafanya nini?

Acha lugha za ovyo, wengine tunashinda nazo hapa kwenye kumwaga Zege. Kama ni Mali, fanya Export ya MATUSI.

Hujatukanwa unalalama kuwa umetukanwa, jee, ukitukanwa si utasema umepigwa bomu.
 
kwani ukika kimya au kukiri kwamba umejikwaa kumsema mwa CCM mwenzio/gamba lenzako vibaya kwa bahati mbaya utabadilika jinsia.??

Nyerere alianzisha CCM lakini sioni moja la maana alilolifanya na kila siku namponda, au hulijui hilo?
 
Back
Top Bottom