Mrisho Mpoto, pumba tupu

Mrisho Mpoto, pumba tupu

Anajisifu sana huyu kenge....kuna mtu niliwahi kumwambia huyu jamaa haishi uhalisia wake,yaani anataka kuish maisha fulani,mwishowe anaishia kuishi fake life....
Kuna siku nilipanda nae ndege ya kampuni ya As Salaam kwenda Zenji,anatembea peku na mashuka ya ajabu anafikiri ndio utamaduni...huyu ni mchumia tumbo kama wengine,wale wanaofuga rasta ili wapate vizee vya.kizungu...he is not cultural in deeds
Teh, teh, teh, nimefurahi sana Kiongozi. Kumbe kufuga rasta unaweza kuibua vizee vya kizungu!
 
bob marley aliimba sana juu ya uhuru haki na usawa ila vijana wengi tunamjua kwakuwa moshi ulisambaa kila alipopita.sidhani kama mpoto kafika kwenye pumba za kiivyo ulivyosema
 
Mrisho M. na Mrisho J wote wana akili za uchumia tumbo na dharau kubwa kwa Watanganyika.
 
MRISHO MPOTO N ZAID YA WASANI WAKtz.MASHAIR YAKE YANAELIMISHA USIPIME.mrisho n mwiba kw serikal ndyo mleta mada analiali
 
Tangu lini mtu mwenye tumbo kubwa akawa timamu!? eg Idd Amin n.k
 
Huyu mjomba kawa dili sana sasa, anapewa dili za matangazo na zingine kibao za kupiga mpunga na kuuza nyago. Mi nazikubali sana kazi zake, ila asianze kujishaua wala kukubali kupigia debe chama chochote; maana wazee wa green and yello wanamtaka leo kesho!
 
Kusoma mali jamani mnyime mwanao vyoote lakini mpatie elimu na maarifa.
 
huyu jamaa nlimshusha thamani kuna siku nimemuona viwanja ea starehe akiwa kakikumbatia kitoto kidoooogo. kama huo ndio utamaduni basi sawa

Acha wivu wa kijinga mkuu!Ulimuuliza huyo unayemwita kitoto ana umri gani?Au ulitaka akumbatie mwanamke mnene sana ama kikongwe ndio umpandishe thamani?Ndio maana M 7 hataki watu wa dizaini yenu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Habari za siku nyingi. Huo ni utamaduni wa CCM.


Na huu pia, au vipi dada yangu FF


attachment.php
 
Acha wivu wa kijinga mkuu!Ulimuuliza huyo unayemwita kitoto ana umri gani?Au ulitaka akumbatie mwanamke mnene sana ama kikongwe ndio umpandishe thamani?Ndio maana M 7 hataki watu wa dizaini yenu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

tatizo lako ni kujifanya unajua kuliko mie nilieona so sina muda wa kubishana na juha kama wewe. acha kimbelembele. au ni bwana ako kimekuuma? tuliza mshono huo bwana mdogo
 
Ni kweli ameongea. Amejitahidi sana kutrejesha utamaduni unaopotea hasa kwenye lugha na mavazi. Ninavyoangalia avatar yako naona na wewe u mkimbizi wa utamaduni hasa kwenye mavazi, umevaa UARABU wakati wewe ni Mtanzania

Sahihisho, kanzu na burqah ni sehemu pia ya tamaduni za Waswahili, nadhani FaizaFoxy nae yumo katika kundi la hao Waswahili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom