MI nafikiri kwenye vazi LA taifa tuangalie Jamii moja ambayo bado inavaa mavazi yao ya asili ndo tuchukue kama vazi LA kitaifa, ukisema libuniwe hapa mengi yatafanana na ya wenzetuuHivi lile Deal la VAZI la taifa liliishia wapi Wajameni?
Anatembea Peku....!Anajisifu sana huyu kenge....kuna mtu niliwahi kumwambia huyu jamaa haishi uhalisia wake,yaani anataka kuish maisha fulani,mwishowe anaishia kuishi fake life....
Kuna siku nilipanda nae ndege ya kampuni ya As Salaam kwenda Zenji,anatembea peku na mashuka ya ajabu anafikiri ndio utamaduni...huyu ni mchumia tumbo kama wengine,wale wanaofuga rasta ili wapate vizee vya.kizungu...he is not cultural in deeds
Kuna wakati akili zako zinakaa sawa!Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.
Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".
Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?
Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.
Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.