Hakuwa kwenye TV akiongelea siasa au kuwepo pale kama mwakilishi wa CCM. Pale alikuwa akimwaga pumba zake binafsi.
Wacha uzushi.
mbona unamtetea wakat ulikuja kumponda humu ndani hahahahahaaaaa
waiteee waiteee waiteeeeeeeee
Hakuwa kwenye TV akiongelea siasa au kuwepo pale kama mwakilishi wa CCM. Pale alikuwa akimwaga pumba zake binafsi.
Wacha uzushi.
Uislaam hapa umehusu nini?
Kama hauna cha kuandika ungeficha upumbavu wako.
jina lake lingekua MOHAMMED ABDALAH,, sidhani kama ungepost haya mashudu..
huyu jamaa nlimshusha thamani kuna siku nimemuona viwanja ea starehe akiwa kakikumbatia kitoto kidoooogo. kama huo ndio utamaduni basi sawa
Anajisifu sana huyu kenge....kuna mtu niliwahi kumwambia huyu jamaa haishi uhalisia wake,yaani anataka kuish maisha fulani,mwishowe anaishia kuishi fake life....
Kuna siku nilipanda nae ndege ya kampuni ya As Salaam kwenda Zenji,anatembea peku na mashuka ya ajabu anafikiri ndio utamaduni...huyu ni mchumia tumbo kama wengine,wale wanaofuga rasta ili wapate vizee vya.kizungu...he is not cultural in deeds
Mkuu kama una maanisha unachokisema basi nawe u mjinga ,kwa mashairi tu MRISHO anatisha hayo madhaifu mengine sijui!mashairi yenyewe haya make sense
Muhimu muziki wake tu,atembee peku,avae shuka,afuge rasta,hayanihusu.
Tanzania hatuna umuhimu wa vazi la taifa. Tuna makabila na tamaduni mbalimbali hivyo kila mtu aendelee na utamaduni wakevazi la taifa likoje kweli?. nawewe unavaaje kweli
Huyu si ndo alitusaliti watanzania uko marekani na kujiita mkenya...hana tofauti na viongozi wetu wote ni wachumia tumbo tu..
kaaaaaaaz kweikwei(msambaavoice)
Mi miziki yake,naisikia,ANAONGEA ONGEA tu,na si KUIMBA! Huo ndio UTAMADUNI WA MTANZANIA?
naunga mkono hoja mia kwa mia .... waite... mjomba. hiyo peke yake inatutosha mengine ya kwake mwenye hata akiamua kula m..a...v...i hayatuhusu!