Likwanda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 3,926
- 1,159
anakipaji cha kughani mashairi tu mengine ni nyang'au kama manyang'au wengine wa taifa hili
Huyu bwana anakipaji cha kuimba ktk style ya kughani, hakuna na tungo hata moja alilotoa likawa Shairi kama unavyodai. Kuna siku moja TBC1 alikutana na wataalam wa Mashairi wakamuumbua sana kwamba tungo zake hazijakomaa kujiita mshairi, wakamwambia kama anataka wamtungie halafu aone tofauti. Huyu jamaa kwa ufupi ni kanjanja tu, kama unataka kumskia mtu akighani waone Fataki.