Mrema TLP na picha ya aibu

Mrema TLP na picha ya aibu

Pamoja na hayo. Ni picha mbaya ambayo itamuandama mjwahuzi (mpiga picha) hadi atajisikia vibaya. Zaidi ya huyo dada aliyetapika. Mujwahuzi ni mwanahabari asiye na maadili ya kazi wala mipaka ya kiutendaji na maamuzi. Hata huyo mhariri wa gazeti naye ana kasoro. Mbona huu ni udhalilishaji? Kuna suala la umri, maradhi, majukumu, pamoja na kukabiliana na tusiyoyajua kesho. Sasa huyu mwandishi hayaoni haya. Familia yake inajisikiaje? Nasema tena, huu ni udhalilishaji na matumizi mabaya ya maamuzi
Kama ana maradhi apumzike.Hawa viongozi wanaamini wamezaliwa ili waongoze maisha yao yote.Ndiyo shida tuliyonayo.Amejidhalilisha mwenyewe.
 
Ni lazima jeneza lifunikwe bendera ya Taifa ebo! Atafiaje barabarani?
 
Pamoja na hayo. Ni picha mbaya ambayo itamuandama mjwahuzi (mpiga picha) hadi atajisikia vibaya. Zaidi ya huyo dada aliyetapika. Mujwahuzi ni mwanahabari asiye na maadili ya kazi wala mipaka ya kiutendaji na maamuzi. Hata huyo mhariri wa gazeti naye ana kasoro. Mbona huu ni udhalilishaji? Kuna suala la umri, maradhi, majukumu, pamoja na kukabiliana na tusiyoyajua kesho. Sasa huyu mwandishi hayaoni haya. Familia yake inajisikiaje? Nasema tena, huu ni udhalilishaji na matumizi mabaya ya maamuzi
Kwani kuna mtu kamlazimisha kuwa mjengoni, hiyo sehemu ya kwenda waliozeeka wala wenye magonjwa. Kama umri au afya hairuhusu akakae nyumbani awaachie vijana wapambanaji.
 
Pamoja na hayo. Ni picha mbaya ambayo itamuandama mjwahuzi (mpiga picha) hadi atajisikia vibaya. Zaidi ya huyo dada aliyetapika. Mujwahuzi ni mwanahabari asiye na maadili ya kazi wala mipaka ya kiutendaji na maamuzi. Hata huyo mhariri wa gazeti naye ana kasoro. Mbona huu ni udhalilishaji? Kuna suala la umri, maradhi, majukumu, pamoja na kukabiliana na tusiyoyajua kesho. Sasa huyu mwandishi hayaoni haya. Familia yake inajisikiaje? Nasema tena, huu ni udhalilishaji na matumizi mabaya ya maamuzi
we raia fulani sijui unatoka nchi gani?picha imwandame kwa sababu gani?
aibu yao aibu yetu?
umetumwa kuwatetea hao mafisadi nimekusoma siku nyingi.
mwizi usiye na faida we
 
Pamoja na hayo. Ni picha mbaya ambayo itamuandama mjwahuzi (mpiga picha) hadi atajisikia vibaya. Zaidi ya huyo dada aliyetapika. Mujwahuzi ni mwanahabari asiye na maadili ya kazi wala mipaka ya kiutendaji na maamuzi. Hata huyo mhariri wa gazeti naye ana kasoro. Mbona huu ni udhalilishaji? Kuna suala la umri, maradhi, majukumu, pamoja na kukabiliana na tusiyoyajua kesho. Sasa huyu mwandishi hayaoni haya. Familia yake inajisikiaje? Nasema tena, huu ni udhalilishaji na matumizi mabaya ya maamuzi

Huo ndio uandishi wa habari. Wahenga walisema, 'Picha moja inaeleza vizuri kuliko maneno elfu moja'. Angeandika kuwa Mrema alisinzia mpaka akatoa udenda akiwa Bungeni, habari hiyo isingekuwa na mvuto kama hii picha inavyoelezea kuwa badala ya wabunge kujadili hoja, wanasinzia (na labda, huku wakidai posho za vikao),
 
Aliyempicha piga anastahili zawadi.
Alafu vipi kikombe cha Babu? Hakifanyi kazi? Maana mchizi kachoka kiduanzi.
 
siku ya kupiga kura nilisimama kwa masaa zaidi ya matano na jua lilikuwa linawaka kali sana,sasa awa vilaza wananishangazi
 
Nasikia kuna mbunge wa CCM kalalamika eti huyo mwandishi wa habari anae toa picha za wabunge wanao sinzia bungeni anatafuta umaarufu

Crispin Meela JIANDAE KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO HUYU MZEE ANATUTIA AIBU SISI WAKAZI WA VUNJO
 
Akikurupuka tu, anaanza kuongea hovyo akijuwa bado yeye ni ccm anaponda upinzani. hii ndiyo aina ya watu wanaotuwakilisha huko mjengoni hao.
 
Crispin Meela JIANDAE KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO HUYU MZEE ANATUTIA AIBU SISI WAKAZI WA VUNJO
 
anajikumbusha enzi za siku saba na kukamata madawa ya kulevya DSM Airport.
 
wabunge watakuwa makini zaidi wakiukumbuka huu udenda! inawezekana alikesha usiku na dogodogo....wazee wetu hawa hatari sana!
 
safi sana, hii picha itatumika ktk tangazo la mgombea ubunge wa chadema (vunjo) 2015
 
270366_2034382311945_1615806745_1967168_2890452_n.jpg

wabunge kama hawa watengewe sehemu zao kuacha kugaiana magonjwa ..mzee mwenyewe afya kalikiti akikumwagia udenda hata pajani si unawaza mpaka kikao kinaisha
 
Chadema naomba kugombania kiraracha 2015
 
hawa tatizo wanafakamia sana misosi wanayonunulia kwa pesa za wizi kupitia posho, ndo maana wanachama wenzake na mrema (najua mnawajua, wale wa kijani) unakuta matumbo yao yamepanda kama vichuguu au mama mwenye mim.a ya miezi nane, embu linganisheni tumbo la wasira alipokuwa amelala majuzi na lile la Obama...hii ni kwa sababu wasira ni mla posho wakti Obama ni Thinker
Mkuu hapo umenena... viongozi wetu sasa inawabidi waanze kuangalia lishe zao
 
Back
Top Bottom