Mrema TLP na picha ya aibu

Mrema TLP na picha ya aibu

Aliyeileta humu JF ndiye mbaya zaidi. Kwenye gazeti denda hili halionekani vizuri kwa kiwango hiki.

Ukiangali kwa haraka haraka halionekani, hata mimi sikuliona mwanzo, baada ya kuwekwa hoja tu nikarudi kungalia, ndio nikaliona Vunjoooo hoyeeee
 
NAunga mkono hoja wapigwe picha ili mimi kama mwananchi niliyempigia kura yangu nijue anafanya nini anapokuwa bungeni. Kama ni kulala akalale nyumbani lakini sio pale nilipomtuma kuniwakilisha. OLE WAKO MBUNGE WANGU MNYIKA UTOLEWE gazetini umesinzia?? sijui utatuambia nini wananchi wako ukizingiatia gazeti hili linazalishwa jimboni kwako.
 
duh...picha ya ukweli sana.
hawakawii kuweka sheria ya kuzuia wapiga picha ndani ya ukumbi wa bunge.
 
Siyo vizuri kupiga picha kama hiyo, nakumbuka Pinda alikuwa sehemu fulani sitataja akala usingizi mzungu mmoja akapiga picha ikatoka chicha aliishia kudelete angemtoa angeona kilichomnyima kuku kwenda haja ndogo.

Kwa hii ya mrema siyo vizuri hata mimi mimi sijaipenda.
 
Ooooooh,nilisikia kwenye magic fm,wakisema inachekesha,nikahisi ni zile za kurara,kumbe ...........loooooo
alijigamba kuwa bungen hawabebi vyuma wala zege........

Mkuu nilimuuliza live ktk mdahalo wa Tbc mchakato majimboni 'mzee Lytonga umeshakuwa mzee, je utaweza mikiki ya bunge? akajibu 'Kijana mjengoni hatuendi kubeba zege!
Ona sasa aibu inayokuta!
 
Ha ha ha Mzee wa kiraracha yamemfika duh mpaka udenda
 
hii picha inamwaibisha kweli lakini pia ameonekana kuwazalilisha CDM ambao kwa kiasi kikubwa wanawaongelea wananchi! Bora tumejua sasa kuwa naye sio 'strong' kama ianavyojidai! ....by the way amemuomba waziri mkuu afikirie mafao yake, ni busara PM akaconsider hilo ombi kutokana na hali anaoonyesha sasa
 
msimwonee bwana anasoma dua kuliombea bunge kama alivyosema Mzee wa TOT Plus Komba
 
270366_2034382311945_1615806745_1967168_2890452_n.jpg

haki ya kweli sijawahi kucheka kama leo!
 
Huruma jamani, huyu mzee anawaza mengi kwani akina Tao wameshalianzisha wanataka wamnyang'anye ile nyumba ya Sinza.Halafu usoni kama anatumia mkorogo vile!!!
 
hutaki kujua mbunge wako anachofanya ulikomtuma!!??? ...au unataka "tumuonee huruma" kama tulivyofanya kwa mafisadi!?
Siyo vizuri kupiga picha kama hiyo, nakumbuka Pinda alikuwa sehemu fulani sitataja akala usingizi mzungu mmoja akapiga picha ikatoka chicha aliishia kudelete angemtoa angeona kilichomnyima kuku kwenda haja ndogo.

Kwa hii ya mrema siyo vizuri hata mimi mimi sijaipenda.
 
Ukiangali kwa haraka haraka halionekani, hata mimi sikuliona mwanzo, baada ya kuwekwa hoja tu nikarudi kungalia, ndio nikaliona Vunjoooo hoyeeee
Mama Mrema naye ni wa kulaumiwa kidogo. Denda hili halipaswi kumwagika ovyo namna hii. Kama hayuko Dodoma aende haraka.
 
hutaki kujua mbunge wako anachofanya ulikomtuma!!??? ...au unataka "tumuonee huruma" kama tulivyofanya kwa mafisadi!?

Usitetee uzembe wewe kwani alitumwa na wana vunjo kwenda kulala bungeni na kupomosha miudenda yake wacha waanikwe tu wanaolala bila kujali wanatoka chama gani.
 
Mzee mrema ana matatizo ya afya ni diabetic...sio ajabu kama amesinzia hapo jamii forums huwa mnapinga kila kitu...sasa kuna aibu gani kwake kutoka mate? wewe hujawahi kutokwa mate pumbav zenu
 
Ni mipesa ye2 ss walpa.kodi inayowalevya na kuwapa vtambi vnavyopelekea kupata ucngz mnono wakat wa vikao' tena kwa m2 ambaye ni mfuatiliaji wa jambo kwa umakn huwa hapat ucngiz hvyo. Some of awa mp's hawaz2mii mbongo zao vzur 2na kaz nzito kwel kwel Tz dah!!!!
 
hii picha inamwaibisha kweli lakini pia ameonekana kuwazalilisha CDM ambao kwa kiasi kikubwa wanawaongelea wananchi! Bora tumejua sasa kuwa naye sio 'strong' kama ianavyojidai! ....by the way amemuomba waziri mkuu afikirie mafao yake, ni busara PM akaconsider hilo ombi kutokana na hali anaoonyesha sasa
sio tlp
 
Back
Top Bottom