Huwezi kulala kama ukiwa makini na kazi yako... kuwa diabetic sio tiketi ya kulala......mbona watu wengi wanajiuzulu kwa sababu za magonjwa? Nadhani nae angejiuzulu pia tupate mtu mwenye afya njema....Mzee mrema ana matatizo ya afya ni diabetic...sio ajabu kama amesinzia hapo jamii forums huwa mnapinga kila kitu...sasa kuna aibu gani kwake kutoka mate? wewe hujawahi kutokwa mate pumbav zenu
Crispin Meela JIANDAE KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO HUYU MZEE ANATUTIA AIBU SISI WAKAZI WA VUNJO