Mrema TLP na picha ya aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrema TLP na picha ya aibu

Discussion in 'Jamii Photos' started by NATA, Jun 30, 2011.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Picha ya huyu mbunge katika gazeti la mwananchi leo imemtapisha dada mmoja ofisini kwetu.

  [​IMG]
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  duh, sikuiona vizuri, mzee mzima kashusha udendanda!...... CCM C Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mrema , kielelezo cha Bunge la watu wasio makini
  [​IMG]
   
 4. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzee wa Kiraracha amechoshwa na kikombe cha babu.
   
 5. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maskini sijui ni udenda huu unatibwirika kwa mdomo. Pole sana mzee.
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,697
  Likes Received: 8,234
  Trophy Points: 280
  Oh no....nikiendelea zaidi nitakuwa mdini, ila huyu alikuwa chaguo la Askofu wetu!lol
   
 7. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndoa kazi!
   
 8. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo dada atakuwa hajaona siku zake ungempa ndimu!
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Mrema akipiga meditation yeye ndio ze nekst prezidaa wa bongo
   
 10. serio

  serio JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  anawaza,."muda lini nipate posho yangu.?"
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ooooooh,nilisikia kwenye magic fm,wakisema inachekesha,nikahisi ni zile za kurara,kumbe ...........loooooo
  alijigamba kuwa bungen hawabebi vyuma wala zege........
   
 12. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni aibu sijui anajisikiaje?mwenyewe amechoka sijui kwa nini asistaafu hizi kazi akabaki kuangalia vijana wanafanyaje kazi na kuwashauri na hili ndio tatizo la wazee walioko kwenye vinafasi wanadhani watoto walio walea hawajakua, wanang'ang'ania wanakufa vibaya, ni vizuri wazee wakawaacha vijana wachukue nafasi wao wabaki washauri tu. au tuseme hawakujiandaa kuwa wazee kwa hiyo bado wanatafuta maisha?
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hadi sasa hii ndio picha bora katika picha zooote za kikao,unles ije nyingine
   
 14. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #14
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  dah! hahahahahahahaha
   
 15. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ubunge kazi! Si mchezo.
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Ipi tena?
   
 17. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Akikurupuka toka kwenye hizo njozi ni kusifia utawala wa JK na kulaani maandamano. Hana habari wenzie wamesema nini awali. Poleni watu wa Vunjo kwa kujipatia Kioja. Hapo sio Mrema aliyelala ni VUNJO imelala.
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kama utapata gazeti la Mwananchi tarehe 30/06/2011 ukurasa wa mbele kabisa basi utakutana na picha ya muheshimiwa Augustino Lyatonga Mrema mbunge wa jimbo la Vunjo akiwa amelala na udenda ukiwa unamtoka kwenye kikao cha bajeti bungeni. Kweli kwa mtazamo wangu mimi binafsi siungi hoja ya wapiga picha kutoa picha kama hii hata kama ni uhuru wa viombo vya habari huku ni kumzalilisha mtu, gazeti la Mwananchi tena wanasema gazeti la watu makini huku sasa ni kuvuka mipaka naomba wanaJF wenzangu mimi sio mwanachama wa TLP naona ifikie wakati pale bungeni wapiga picha wawe wanapewa mipaka ya kupiga picha. Nawasilisha lakini siungi hoja picha kama hizi au tulifananishe gazeti na magazeti ya udaku?
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nasikia kuna mbunge wa CCM kalalamika eti huyo mwandishi wa habari anae toa picha za wabunge wanao sinzia bungeni anatafuta umaarufu
   
 20. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  aongezewe sleeping allowances
   
Loading...