Kuna haja ya kufanya analysis za kisheria nakuja kuanzisha uzi maalumu wa mambo haya ili kutoa elimu kwa jamii ili kuweka mambo sawa.Madam vero kama alichukua mkopo akaweka dhamana nyumba yako isingeweza kuuzwa. Itauzwa vipi wakati aliechukua mkopo si mmiliki? Hilo haliwezekani bila dhamana yako.
Mkuu bank unazijua kwa nje nasisi tunaojua kwa ndani tunajaribu kukupa mwanga bado unaona tunakuja humu kujinadi kwamba tunafanya kazi bank kitu ambacho ni kidogo sana kufanya kazi bank. Cha msingi tambua kuna regulators wengi kwenye hii industry ndio maana riba ziko juu hivyo unavyoona na ndio maana serikali kupitia bank kuu hawafanyi kitu juu ya riba. Mfano mdogo tu bank employees walikua wanakopeshwa kwa 7 percent lakini TRA wakaja juu na riba ikaongezwa bila bank kupenda ikafika hadi 12pc. Kwa hiyo jamaa kusema bank hazipendi kuuza nyumba maana yake ni kwamba wanapenda mkopo ulipike ndio maana wanaweza hata kufanya loan restructuring ili kukupunguzia kiasi cha marejesho. Ukiona mtu nyumba imeuzwa ujue kapewa njia zote za kulipa na muda wa kutosha ila imeshindikana kabisa maana kupiga nyumba mnada inagharama sana na inachafua hata jina la bank katika jamii...Kama bank zingekua zinapenda kuuza nyumba nakuhakikishia kwa hiki kipindi cha JPM nyumba nyingi sana zingeuzwa hasa mahoteli maana hali ni mbaya lakini wanatoa demand notice then wanakaa mezani na kuweka mikakati mambo yaende. Kwanini usijiulize NPA as per BOT ni 5 percent lakini karibu bank zote zina NPA above 10 percent lakini BOT wapo tu na wao ndio regulator?Mnavyozizungumzia benki mnafikiri hatuzijui. Ndio maana mnakuja na hoja nyepesi eti mimi banker blah blah. Eti benki haipendi kuuza nyumba yako wangekupa basi riba 1%. Wanakupa riba 22% au zaidi kwa makaratasi ya biadhara za kupikwa huku wanajua deni hilo hutalipa au halilipiki. Tunazijuahizi benki vizuri sana.
Pole sana ingekuwa ndiyo mwanaume kalileta hapa ungesikia fukuza wanawake akili zao wanazijua wenyewe, ila mie tungepambana ningewambia mbebeni tu ila nawewe inakuwaje waje kuuzwa wakati sio nyumba yake? Hao ndiyo wanaitwa vichwa vya familia ?Nimeuza kabla ya tarehe maana ingekua aibu kubwa mtaani, kinacho niumiza zaidi nyumba yenye thamani ya mill50, nimeuza kwa sh.mill.27
Kwahiyo wakija wanaambulia patupu na huyo aliye kopewa yupo wapi?Ndugu zangu ndoa ni taasisi tumewekwa vikao na ndugu wa pande zote mbili, mume anadai amekosa sina budi kumsamehe na kuanza upya kusorve tatizo. Tulikosa MTU wa kutukopesa pesa hiyo nikaona bora niuze mwenywe maana wala jamaa wakija kupiga mnada wanaweza kuuza hata mill15 nikapata hasara zaidi
Aman iwe kwenu wakuu,
Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.
Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.
Nyumba ambayo nimejenga kwa jasho langu miaka mitano najenga yeye kaja kunioa juz juz kanikuta nimejiimarisha nyumba yangu imeisha bado kuweka vioo na gypsum tu. Nimetumuia gharama kubwa na mikopo juu ili tu niwe na kwangu.
Akaja kuweka dhamana ya nyumba bila kunishirikisha yaani bado mwezi mmoja ndo napata habar kuwa nyumba yetu inapigwa mnada.
Na usitoshe kwasasa sina kazi ni maza House nimefukuzwa kazi kwa uzembe kazini, na riba imeongezeka plus na dalali jumla nimelipa million10
Amenipa presha nimeuza nyumba yangu, nimelipa deni sasa HV nipo kwenye upangaji napambana na wenye nyumba zao.
Imeniuma SNA wanaume MNA roho gani, yaan hata hamu nae sina natamani niachike ila dini hairuhusu.
HV tukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu.
Mimi nipo tofauti hivi kwa maisha gani Mtu uchukue million 20 ukafanye biashara , Tena 10 million unampa ndugu , hivi Kuna biashara ya kuaminiana ukifanya na ndugu kweli, afu pia Kama hip nyumba angeijenga mwanaume sizani Kama hata mkopo angechukua.Aman iwe kwenu wakuu,
Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.
Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.
Nyumba ambayo nimejenga kwa jasho langu miaka mitano najenga yeye kaja kunioa juz juz kanikuta nimejiimarisha nyumba yangu imeisha bado kuweka vioo na gypsum tu. Nimetumuia gharama kubwa na mikopo juu ili tu niwe na kwangu.
Akaja kuweka dhamana ya nyumba bila kunishirikisha yaani bado mwezi mmoja ndo napata habar kuwa nyumba yetu inapigwa mnada.
Na usitoshe kwasasa sina kazi ni maza House nimefukuzwa kazi kwa uzembe kazini, na riba imeongezeka plus na dalali jumla nimelipa million10
Amenipa presha nimeuza nyumba yangu, nimelipa deni sasa HV nipo kwenye upangaji napambana na wenye nyumba zao.
Imeniuma SNA wanaume MNA roho gani, yaan hata hamu nae sina natamani niachike ila dini hairuhusu.
HV tukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu.
Huyo Dada nafikilia alisaini yeye mwenyeweHuyu dada naona hakutafuta mwanasheria, hakika hiyo nyumba benki wasingweza kuuza, nyumba ya wanandoa huwezi kukopea bila ridhaa ya mwenza, sembuse hiyo ambayo mke aliijenga kabla ya ndoa. Kumbukeni nyumba ya Cheyo Mapesa haikuuzwa kwa pingamizi la mke. Kama kulikuwa na kughushi, basi hiyo ni jinai na si kuuza hiyo nyumba.
Huyu Dada walikubaliana yeye na mme wake ,Haiwezekani ukoo mzima wasijue hii sheria. Alipoleta hii kesi hapa alipewa ushauri kama huu. Siku hizi ukikopa benki kama umeoa lazima na mkeo ashirikkishwe hata kama nyumba ni ya mume, sasa hii nyumba ya mke iwekwe dhamani bila mke aka mwenye nyumba kushirikishwa benki gani hio? Au mlichukua hela kwa papaa msafi?!
Mmmmmghukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu
Pole mumeo ninawasiwasi nae pia unafanya biashara ya ndugu kweliNaomba niwashukuru tena kwa mawazo yenu. Ndoa ni taasisi, tumeshawekwa chini na viongozi wa dini wakaniambia nikubali tu yaishe kuwa mm nilishirikishwa nikawaelewa. Na nimeamua kumove on, sababu imeshatokea na haiwezi jirudia. Na kama msamaha ameshaomba SNA mume wangu na Nimemsamehe.
Nawaza tu mtoto wangu angeishi maisha gani,
Niwatakie kheri ya mwaka mpya, yaliyopita si ndwele tugange mapya
Nyumba ya Cheyo iliuzwa.Huyo Dada nafikilia alisaini yeye mwenyewe