Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

Mkuu mimi pia ni banker na nakuhakikishia hata kama mke alisaini mwenyewe bado baadaye wengine wanaruka kwamba si yeye alisaini bali saini yake ilifojiwa..mwisho itakuja kuuzwa tu japo kesi itachelewesha
Kwahio unatuambia nini? Huyu dada alisaini ila anaruka? Watu wengi hapa wanasema kuna kitu anaficha.
 
Kistaarabu vipi mkuu mbona nimeandika kawaida ispokua mnamu-attack mleta mada kama anadanganya wakati hivi vitu vipo na kesi za hivi ni nyingi mpaka watu wanauana na kurogana. Boss wangu mmoja pale mbeya mpaka akakimbia ofisi akakimbilia benki nyingine sababu kuna nyumba maeneo ya Sai ilikua na kasheshe kama hiyo na kesi ipo pale mahakama kuu mpaka leo zaidi ya miaka mitano.. Kimsingi kesi zipo nyingi sana na wakati mwingine hata ikiwa genuine wife consent bado anaweza kuja kuruka kwamba si yeye alisaini hasa maji yakiwa ya shingo wanaweza kufanya conspiracy na mmewe kugeuka kwamba saini ya mke ilisainiwa. Kwa hiyo in both cases unaweza poteza nyumba tu maana watu wamekua wajanjawajanja hadi mahakama zinahongwa na huwezi shindana na bank hasa ukiwa kwenye matatizo tena lawyers wakaanza kukupiga hela zingine. Nadhani unakumbuka yule mama wa sinza alieamua kupanda juu ya paa nyumba isipigwe mnada ndio vitu kama vile japo yule mama alisema hakutoa consent bado wakatangaza mnada ikabidi apande juu ya paa kupata media attention...tena na wao nadhani ni kesi kama hii mmewe alimdhamini mtu kwa kutumia nyumba yao..bora mdada wa watu kajiuzia kwa hasara abaki na chochote.
Mkuu unachosema kwa sasa hivi sheria ilivyo narudi sio rahisi kabisa narudia tena sio rahisi kwa spouse asign alaf aje akate sign yake, huu mchezo walishaushitukia kwa spouse kukana signature zao, kama benki ikifanya uchunguzi kwa makini pasipo uzembe wowote upande wao hauwezi kana signature na nyumba itauzwa tu ukidefault kulipa, kingine nani kasema kushindana na benki mahakamani ni kazi sana??? Natumaini huu ni mtazamo wako
 
Kwahio unatuambia nini? Huyu dada alisaini ila anaruka? Watu wengi hapa wanasema kuna kitu anaficha.
Anabadili mada banker, kuruka sio rahisi labda benki ifanye uzembe upande wao wakati wa kutafuta ukweli wa spouse, ila kama hakuna uzembe hawezi ruka signature yake kamwe,
 
Kwa maelez
Kistaarabu vipi mkuu mbona nimeandika kawaida ispokua mnamu-attack mleta mada kama anadanganya wakati hivi vitu vipo na kesi za hivi ni nyingi mpaka watu wanauana na kurogana. Boss wangu mmoja pale mbeya mpaka akakimbia ofisi akakimbilia benki nyingine sababu kuna nyumba maeneo ya Sai ilikua na kasheshe kama hiyo na kesi ipo pale mahakama kuu mpaka leo zaidi ya miaka mitano.. Kimsingi kesi zipo nyingi sana na wakati mwingine hata ikiwa genuine wife consent bado anaweza kuja kuruka kwamba si yeye alisaini hasa maji yakiwa ya shingo wanaweza kufanya conspiracy na mmewe kugeuka kwamba saini ya mke ilisainiwa. Kwa hiyo in both cases unaweza poteza nyumba tu maana watu wamekua wajanjawajanja hadi mahakama zinahongwa na huwezi shindana na bank hasa ukiwa kwenye matatizo tena lawyers wakaanza kukupiga hela zingine. Nadhani unakumbuka yule mama wa sinza alieamua kupanda juu ya paa nyumba isipigwe mnada ndio vitu kama vile japo yule mama alisema hakutoa consent bado wakatangaza mnada ikabidi apande juu ya paa kupata media attention...tena na wao nadhani ni kesi kama hii mmewe alimdhamini mtu kwa kutumia nyumba yao..bora mdada wa watu kajiuzia kwa hasara abaki na chochote.
kwa maelezo yako kama banker mme anaweza kuweka dhamana nyumba ya mkewe kwa kumchukua changudoa kuweka sahihi ya mke pasipo mke kujua.

Na shauri likiletwa kwenu kutokusikilizwa. ??

Cc RRONDO
o
 
Tatizo ndugu zangu mwanishambulia SNA, bila kujua tatizo LA upande wa pili.
Ni kweli mlinishauri na nilifuata ushauri wenu, yaliyo nikuta history ndefu nilienda mahakaman kuweka zuio mume wangu yy akatafuta wakili akanisomea vifungu, na mm nikambana kwa maswali mwisho wa siku akanitisha akaniambia hii kesi mbaya mume wako atafungwa. Na akifungwa nyumba itapigwa mnada kwa bei ya hasara, alafu akaniambia nitajiingiza kwenye mgogoro na bank bora niwalipe deni lao niachane nao.

Na isitoshe sikua na MTU wa kunisimamia. Narudia tena sikushilikishwa chochote na wala cjui sheria so nikaogopa.
 
Naomba niwashukuru tena kwa mawazo yenu. Ndoa ni taasisi, tumeshawekwa chini na viongozi wa dini wakaniambia nikubali tu yaishe kuwa mm nilishirikishwa nikawaelewa. Na nimeamua kumove on, sababu imeshatokea na haiwezi jirudia. Na kama msamaha ameshaomba SNA mume wangu na Nimemsamehe.

Nawaza tu mtoto wangu angeishi maisha gani,
Niwatakie kheri ya mwaka mpya, yaliyopita si ndwele tugange mapya
 
Mkuu mimi pia ni banker na nakuhakikishia hata kama mke alisaini mwenyewe bado baadaye wengine wanaruka kwamba si yeye alisaini bali saini yake ilifojiwa..mwisho itakuja kuuzwa tu japo kesi itachelewesha

hilo nakubali kabisa mfano mama mmoja alidhamini mtu bank fulani kkoo kinala sana wakutoa mikopo kwa wafanyabiashara akapiga deal na afisa mkopo katafutwa mtu kasaini km mumewe mara ya kwanza fresh mara ya piri kadouble mambo yakaenda kombo kadunda nyumba inapigwa mnada
mama kairuka bank kaenda kuweka ZUIO mahakamani full na vyeti vya kifo na ndoa akidai mumewe kafa miaka 10 iliyopita ni nani huyo alotia saini
mwaka unaenda wa piri sasa kesi iko mahakamani
Anabadili mada banker, kuruka sio rahisi labda benki ifanye uzembe upande wao wakati wa kutafuta ukweli wa spouse, ila kama hakuna uzembe hawezi ruka signature yake kamwe,

Uzembe sio bank afisa mikopo njaa zinawasumbua anakwambia katika milioni 10 utanipa ml 2 ukikubali anaanza kukuelekeza vya kufanya ili mambo yaende sawa lkn pia alinde kibarua chake kasheshe hutokea ukishindwa mkopo
kwakuwa anajua alifanya ndivyo sivyo huwa wanakupelekesha sana wauze nyumba sasa na wewe ukiwa si mjuvi wa sheria anakutisha unakumbuka kuna vitu fulani ulifanya ndivyo sivyo utafungwa kumbe analinda kibarua chake 7bu yeye ndo alofanya ndivyosivyo

Kistaarabu vipi mkuu a nyumba yao..bora mdada wa watu kajiuzia kwa hasara abaki na chochote.

mkuu hao wanasema sababu ya nadharia ya kimaneno mm nayajua hayo mambo kindakindaki ndo mana bank now haitaki tena FINGERPRINT inatumia RETINA SCAN 7bu watu wanasugua dole gumba ukibinya haisomi mtu kakopa ACES ya kkoo now kaenda temeke kukopa tena
Nyumba moja iko na dhamana bank tofauti nne wakati mwingine bank aina moja mikopo miwili nyumba moja yaan acha tu haya mambo
ila now bank ziko makini hasa kuanzia mwaka 2017 zina vikwazo vikari ili mistake kama hizo zisitokee ni km walivyoupdate toka fingerscan mpk Retinal scan
 
Mm sifikirii kama mumeo alikuwa ana lengo la kufikia hapo, sema tu mambo yameenda tofauti na matarajio yake.
 
Patrickn naona unaandika gazeti wakati issue iko straight muhusika kasema yake. FYI huyu dada alikuja kuomba ushauri nyumba inauzwa kwasababu mumewe kaweka dhamana bila yeye kujua.
Leo kaja anasema amefanikiwa kuiuza yeye mwenyewe. Sa
2. Waliiuza vipi wenyewe wakati benki huwa wanakuwa na hati za nyumba?

Kumuuliza ndio kumshambulia?

Uliwezaje kuuza hiyo nyumba wakati dhamana ya nyumba iko bank.Unless mtu akalipe mkopo upewe hati zako labda hivyo.Halafu ilikuwaje bank ikubali mdhamini amdhamini mtu kwa hati isiyo na jina lake bila bidhaa ya mmiliki?sijaipata vizuri hii issue unless sio bank Ni kwa mtu binnafsi ambapo bado ungeshinda kisheria kea kutangaza kuwa hati za nyumba zimepotea.Sijaelewa kea kweli
kumbukeni kwanza bank haipendi kuuza nyumba ya mtu yeye inachotaka ni ela yake na kwakuwa haipendi kuuza nyumba kabla kufikia kuipiga mbda nyumba yako inakupa option nyingi sana ili kugomboa nyumba yako sema ndo hivyo mtu ukishaletewa walaka kuwa tutauza nyumba uingiwa wenge sana na kusahau haki zako hata km unadaiwa ila una haki za msingi coz nishashuhudia mtu kakopa bank lkn ajui riba ni asilimia ngapi ambayo ukikotoa unapata rejesho shi ngapi kwa mwenzi anachojua yeye na kujali kwa mwenzi anarudisha shng fulani na kwa mwaka ni shing fulani QUSHNEY
na la piri nyumba ambayo ina deni bank unaweza kuuza kwa kufuata utaratibu hata km hati ipo bank ni mteja utakayempata mnakubaliana inauziwa mahakamani mteja akilipa inagawanywa fedha bank inachukua chake na wewe chako ila bank haihusiki na ghalama za mahakama au njia nyingne inauziwa bank ukiwa na lawyer wako na afisa wako wa mkopo na mashaidi mteja anatoa ela bank inachukua chake nawe unabakia na chako unapewa hati yako case closed
au popote pale muhimu mnunuzi asiwe na mapepe lkn lazima bank ihusishwe na sio kiholelaholela km mnavyozania
so kuuza yeye km yeye inawezekana na ni rahisi tuu
 
Pole sana mmhh hii ni ngumu kumeza ila pole
Saa zingine bora ata na yule mdada alie mficha mume wake kuwa nyumba waliyopanga ni yakwake maana kuna wanaume wanawivu jamaniii hataki umiliki kituu
Yaani, niliwahi kuwaza kabla sijaolewa niwe na nyumba yangu na mume wangu asijue.
 
kumbukeni kwanza bank haipendi kuuza nyumba ya mtu yeye inachotaka ni ela yake na kwakuwa haipendi kuuza nyumba kabla kufikia kuipiga mbda nyumba yako inakupa option nyingi sana ili kugomboa nyumba yako sema ndo hivyo mtu ukishaletewa walaka kuwa tutauza nyumba uingiwa wenge sana na kusahau haki zako hata km unadaiwa ila una haki za msingi coz nishashuhudia mtu kakopa bank lkn ajui riba ni asilimia ngapi ambayo ukikotoa unapata rejesho shi ngapi kwa mwenzi anachojua yeye na kujali kwa mwenzi anarudisha shng fulani na kwa mwaka ni shing fulani QUSHNEY
na la piri nyumba ambayo ina deni bank unaweza kuuza kwa kufuata utaratibu hata km hati ipo bank ni mteja utakayempata mnakubaliana inauziwa mahakamani mteja akilipa inagawanywa fedha bank inachukua chake na wewe chako ila bank haihusiki na ghalama za mahakama au njia nyingne inauziwa bank ukiwa na lawyer wako na afisa wako wa mkopo na mashaidi mteja anatoa ela bank inachukua chake nawe unabakia na chako unapewa hati yako case closed
au popote pale muhimu mnunuzi asiwe na mapepe lkn lazima bank ihusishwe na sio kiholelaholela km mnavyozania
so kuuza yeye km yeye inawezekana na ni rahisi tuu
Mnavyozizungumzia benki mnafikiri hatuzijui. Ndio maana mnakuja na hoja nyepesi eti mimi banker blah blah. Eti benki haipendi kuuza nyumba yako wangekupa basi riba 1%. Wanakupa riba 22% au zaidi kwa makaratasi ya biadhara za kupikwa huku wanajua deni hilo hutalipa au halilipiki. Tunazijuahizi benki vizuri sana.
 
Tatizo ndugu zangu mwanishambulia SNA, bila kujua tatizo LA upande wa pili.
Ni kweli mlinishauri na nilifuata ushauri wenu, yaliyo nikuta history ndefu nilienda mahakaman kuweka zuio mume wangu yy akatafuta wakili akanisomea vifungu, na mm nikambana kwa maswali mwisho wa siku akanitisha akaniambia hii kesi mbaya mume wako atafungwa. Na akifungwa nyumba itapigwa mnada kwa bei ya hasara, alafu akaniambia nitajiingiza kwenye mgogoro na bank bora niwalipe deni lao niachane nao.

Na isitoshe sikua na MTU wa kunisimamia. Narudia tena sikushilikishwa chochote na wala cjui sheria so nikaogopa.

Bado ukaendelea kumshirikisha mumeo , wewe ukaenda mahakamani kuweka zuio na yeye harakaharaka katafuta wakili kutoa ushauri , tena wa kumjenga / kumnusuru . Nakuambia utake usitake mtakuja kuachana tu . Tatizo lenu mna udhaifu wa kupenda pale mnapopenda . Hamsubiri kupendwa . Wewe ulijenga nyumba PEKE yako na baadae mkaoana . WANAUME wanahisi sana udhaifu pale anapoona nyumba ina jina la mkewe . Sasa hapo kacheza mahesabu vizuri sana . Nyumba ambayo hakushiriki kujenga ushauza na utakayojenga kwa sasa ni ya wote maana tayari mko kwenye ndoa . UTANISAMEHE PALE NILIPOSEMA MTAKUJA KUACHANA NI KWA SABABU BAADA YA HIYO NYUMBA MTAKAYOJENGA BAADAE , atatafuta mazingira ya kuachana kisha nyumba muuze mgawane . KWA AMRI YA MAHAKAMA .
 
Mnavyozizungumzia benki mnafikiri hatuzijui. Ndio maana mnakuja na hoja nyepesi eti mimi banker blah blah. Eti benki haipendi kuuza nyumba yako wangekupa basi riba 1%. Wanakupa riba 22% au zaidi kwa makaratasi ya biadhara za kupikwa huku wanajua deni hilo hutalipa au halilipiki. Tunazijuahizi benki vizuri sana.
MKUU sijasema hamzijui ila nilikuwa nawaabalisha vitu vilivopo chini ya kapeti na bank kabla haijakupa mkopo inapenda sana ijiridhishe km utaweza kulipa mkopo ndo mana afisa mkopo huzunguka na wewe hata wiki nzima kuhakikisha hiyo pesa biashara utakayofanya itaweza kulipa mkopo kulingana na riba husika
kwakuwa sisi hujifanya wajanja kwenda kusimama kwenye maduka ya watu kukwangua fingerprint kusainisha mke/mme bandia kuhonga kutengeneza leseni feki za biashara mpk vitambulisho feki wakati mwingne uuza nyumba kwa ufeki ili kupata hati ya mahudhiano
halafu ukishindwa kulipa mkopo unalaumu BANK riba kubwa bro tamaa zinawaponza watanzinia wasio na elimu ya biashara ndo mana walikuwa wanaikimbilia sana ACCES BANK kwa mashart nafuu riba kubwa

kingne nikwambie unaweza ukawa na nyumba yenye thamani nzuri lkn ukakosa mkopo bank ukishindwa kukidhi vigezo namna utakavyoendesha biashara yako hata km una duka kubwa ndo mana AFISA akikupa ile form anakwambia kabisa akusaidie mchanganuo wa biashara
7bu juu mlingano upo vizuri chini unabolonga ulojibu juu chini yanakubana
 
Aman iwe kwenu wakuu,

Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.

Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.

Nyumba ambayo nimejenga kwa jasho langu miaka mitano najenga yeye kaja kunioa juz juz kanikuta nimejiimarisha nyumba yangu imeisha bado kuweka vioo na gypsum tu. Nimetumuia gharama kubwa na mikopo juu ili tu niwe na kwangu.

Akaja kuweka dhamana ya nyumba bila kunishirikisha yaani bado mwezi mmoja ndo napata habar kuwa nyumba yetu inapigwa mnada.

Na usitoshe kwasasa sina kazi ni maza House nimefukuzwa kazi kwa uzembe kazini, na riba imeongezeka plus na dalali jumla nimelipa million10

Amenipa presha nimeuza nyumba yangu, nimelipa deni sasa HV nipo kwenye upangaji napambana na wenye nyumba zao.

Imeniuma SNA wanaume MNA roho gani, yaan hata hamu nae sina natamani niachike ila dini hairuhusu.

HV tukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu.
Huna akili endelea kupanga.umefukuzwa kazi kwa uzembe kazini na umeuza nyumba kwa uzembe wa mapenzi na mumeo pia hana akili amepoteza nymba kwa ajili ya uzembe.
Haina haja ya kuachana kwa hizo akili zenu mkiendelea kuwa pamoja itapendeza sana.
 
Aman iwe kwenu wakuu,

Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.

Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.

Nyumba ambayo nimejenga kwa jasho langu miaka mitano najenga yeye kaja kunioa juz juz kanikuta nimejiimarisha nyumba yangu imeisha bado kuweka vioo na gypsum tu. Nimetumuia gharama kubwa na mikopo juu ili tu niwe na kwangu.

Akaja kuweka dhamana ya nyumba bila kunishirikisha yaani bado mwezi mmoja ndo napata habar kuwa nyumba yetu inapigwa mnada.

Na usitoshe kwasasa sina kazi ni maza House nimefukuzwa kazi kwa uzembe kazini, na riba imeongezeka plus na dalali jumla nimelipa million10

Amenipa presha nimeuza nyumba yangu, nimelipa deni sasa HV nipo kwenye upangaji napambana na wenye nyumba zao.

Imeniuma SNA wanaume MNA roho gani, yaan hata hamu nae sina natamani niachike ila dini hairuhusu.

HV tukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu.
Haikua nyumba yako japo uliijenga wewe dada labda uwe unatudanganya.huwezi kukopa kwa kuweka dhamana nyumba bila mmiliki kuridhia kwn lzm mwenye jina aende bank kuidhinisha mkopo km mdhamini.
Lakini pia serikali ya mtaa/kitongiji/kata lazima wajue kuwa nyumba fulani yenye umiliki wako inawekwa kama dhamana ya mkopo lakini pia lazima bank wafike kwny nyumba hiyo kuthibitisha mkopaji kama ana mke na awe ameridhia.
Kuna mambo mengi mpk mkopo kufanyika dada yangu acha uongo wewe ulihonga nyumba buana.

Hayo mambo yamewakuta wenzako wengi tu umeshauriwa na mume mumdhamin ndugu kwny mkopo wake then mnapewa ten percent kwa kuaminishwa kuwa atalipa na ngoma ikidunda mnahaha.
HERI YA MWAKA MPYA
 
Jaman ni story ndefu, naomba niachie hapo. HV mwanaume akutaka lake anashindwa kufanya so anaweza akachukua hati akaepeleka dadaake kumsainisha. Niacheni jaman msiendelee kunitoa machoz nimeshalia SNA, nahitaji faraja yenu na Maneno yenye kunijenga

Acha utani basi! Au unadhani we ndio wa kwanza kupitia hiyo changamoto? Ampelekee dada yake asign halafu ndio nyumba iende? Hukutaka kukomaa na huyo Bashite wako tu, we ulitakiwa kufuata taratibu za kisheria nina hakika ungewashinda hao Bank na nyumba ingebaki kuwa mali yako halali unless kuna kitu unaficha hapa.. halafu yaelekea we ni mzembe mzembe tu mwanzo mwisho.
 
Umezungumza kwa hisia sana Dada Yangu, Mungu akufanyie wepesi
 
Back
Top Bottom