Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

Aman iwe kwenu wakuu,

Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.

Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.

Nyumba ambayo nimejenga kwa jasho langu miaka mitano najenga yeye kaja kunioa juz juz kanikuta nimejiimarisha nyumba yangu imeisha bado kuweka vioo na gypsum tu. Nimetumuia gharama kubwa na mikopo juu ili tu niwe na kwangu.

Akaja kuweka dhamana ya nyumba bila kunishirikisha yaani bado mwezi mmoja ndo napata habar kuwa nyumba yetu inapigwa mnada.

Na usitoshe kwasasa sina kazi ni maza House nimefukuzwa kazi kwa uzembe kazini, na riba imeongezeka plus na dalali jumla nimelipa million10

Amenipa presha nimeuza nyumba yangu, nimelipa deni sasa HV nipo kwenye upangaji napambana na wenye nyumba zao.

Imeniuma SNA wanaume MNA roho gani, yaan hata hamu nae sina natamani niachike ila dini hairuhusu.

HV tukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu.
Kwanza ulizembea mpaka nyumba ikauzwa ,pili eti huwezi kuachika dini hairuhusu.Achana na mambo ya dini kama humpendi,nenda ustawi wa jamii fungua shauri watajidai kusuruhisha unakaza.Watakupa barua uende mahakamani fungua shauri la divorce mahakama itavunja hiyo ndoano.Kwa alichokuanyia,sheria itakuruhusu divorce.
 
Naomba kufahamu Kama benki inaweza kuuza nyumba kabla ya muda wa marejesho Kwisha. Namaanisha.... Kama mkopo unaisha 2024 January na mkopaji alianza kurudisha marejesho kadhaa Ila bahati mbaya akashindwa kurejesha rejesho LOLOTE kwa siku 90.... Katika mchakato huo wa kulipa Deni ....

Naomba ufafanuzi hapa....
 
Nijuavyo ni mpaka miataba huo umalizike.
 
Nimeuza kabla ya tarehe maana ingekua aibu kubwa mtaani, kinacho niumiza zaidi nyumba yenye thamani ya mill50, nimeuza kwa sh.mill.27
Pole Sana, ila naona ulifanya haraka, kam huku weka sahihi.. Na Hati inajina lako jua ya kwamba umeonewa buree... Unless Hati ulioandika jina la Mr.... Ungeenda mahakamani kupingwa ungeshinda... Mi naona Mr. Kaona wivu na kuogopa kudharaurika kwamba nakaa ktk nyumba uliojenga... Pole ila ujue mume uluenae wa mchongo... Kaa nae kwa umakini
 
.
Screenshot_20230430-121532.jpg
 
Mh.. hapa kuna kitu kimejificha anyway pole lakini, wanawake huwa ndio maana tunaitwa dhaifu yaani niolewe nikae kwenye nyumba niliyojenga 🙄 au basi!
 
Aman iwe kwenu wakuu,

Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.

Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.

Nyumba ambayo nimejenga kwa jasho langu miaka mitano najenga yeye kaja kunioa juz juz kanikuta nimejiimarisha nyumba yangu imeisha bado kuweka vioo na gypsum tu. Nimetumuia gharama kubwa na mikopo juu ili tu niwe na kwangu.

Akaja kuweka dhamana ya nyumba bila kunishirikisha yaani bado mwezi mmoja ndo napata habar kuwa nyumba yetu inapigwa mnada.

Na usitoshe kwasasa sina kazi ni maza House nimefukuzwa kazi kwa uzembe kazini, na riba imeongezeka plus na dalali jumla nimelipa million10

Amenipa presha nimeuza nyumba yangu, nimelipa deni sasa HV nipo kwenye upangaji napambana na wenye nyumba zao.

Imeniuma SNA wanaume MNA roho gani, yaan hata hamu nae sina natamani niachike ila dini hairuhusu.

HV tukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu.
Mbona wanasema mwanandoa mmoja hawezi kupewa mkopo kwa dhamana ya nyumba bila kushirikisha mwenzake? Huyu mume wako aliwezaje kuweka dhamana ya nyumba wakati unasema wewe ndiye ulianza kujenga?
 
Ukitaka kuchepuka ni-PM nije kukufuta machozi. Nakupakia vumbi la Congo na Burundi lwa mkupuo
 
Aman iwe kwenu wakuu,

Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.

Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.

Nyumba ambayo nimejenga kwa jasho langu miaka mitano najenga yeye kaja kunioa juz juz kanikuta nimejiimarisha nyumba yangu imeisha bado kuweka vioo na gypsum tu. Nimetumuia gharama kubwa na mikopo juu ili tu niwe na kwangu.

Akaja kuweka dhamana ya nyumba bila kunishirikisha yaani bado mwezi mmoja ndo napata habar kuwa nyumba yetu inapigwa mnada.

Na usitoshe kwasasa sina kazi ni maza House nimefukuzwa kazi kwa uzembe kazini, na riba imeongezeka plus na dalali jumla nimelipa million10

Amenipa presha nimeuza nyumba yangu, nimelipa deni sasa HV nipo kwenye upangaji napambana na wenye nyumba zao.

Imeniuma SNA wanaume MNA roho gani, yaan hata hamu nae sina natamani niachike ila dini hairuhusu.

HV tukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu.
Eleza vizuri, hati ya nyumba inasoma jina la nani?
 
itakuwa chai hio kiwanja kiwe na jina lako alafu mwingine akiweke zamana alafu uje sema bank inauza mali yako labda kama uliweka sign yako na passport
Inawezekana awali aliridhia mkopo uchukuliwe ili kuimarisha ndoa shida imekuja kwenye majeresho.
 
Back
Top Bottom