Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
Usiseme hivyo shauri yakoSidhani
Usiseme hivyo shauri yakoSidhani
Nadhani ilukuwa bahati mbaya ya mleta mada.Usiseme hivyo shauri yako
Madam vero kama alichukua mkopo akaweka dhamana nyumba yako isingeweza kuuzwa. Itauzwa vipi wakati aliechukua mkopo si mmiliki? Hilo haliwezekani bila dhamana yako.
jibu kwanza swali hapo juu kabla sijakupa pole mamiiNimeuza kabla ya tarehe maana ingekua aibu kubwa mtaani, kinacho niumiza zaidi nyumba yenye thamani ya mill50, nimeuza kwa sh.mill.27
Madam vero kama alichukua mkopo akaweka dhamana nyumba yako isingeweza kuuzwa. Itauzwa vipi wakati aliechukua mkopo si mmiliki? Hilo haliwezekani bila dhamana yako.
Ndugu zangu ndoa ni taasisi tumewekwa vikao na ndugu wa pande zote mbili, mume anadai amekosa sina budi kumsamehe na kuanza upya kusorve tatizo. Tulikosa MTU wa kutukopesa pesa hiyo nikaona bora niuze mwenywe maana wala jamaa wakija kupiga mnada wanaweza kuuza hata mill15 nikapata hasara zaidiMadam vero kama alichukua mkopo akaweka dhamana nyumba yako isingeweza kuuzwa. Itauzwa vipi wakati aliechukua mkopo si mmiliki? Hilo haliwezekani bila dhamana yako.
Mapenzi upofu MsNadhani ilukuwa bahati mbaya ya mleta mada.
Unachosema ni sahihi mkuu, labda kutokuja sheria akaogopa na kuuza lakini kiutaratibu kuumzia nyumba ilikuwa kazi sana, hapo angefungua kesi na kuweka zuio na kushinda ilikuwa nje nje hiyo kesiMadam vero kama alichukua mkopo akaweka dhamana nyumba yako isingeweza kuuzwa. Itauzwa vipi wakati aliechukua mkopo si mmiliki? Hilo haliwezekani bila dhamana yako.
Madam acha usanii. Hio nyumba isingeuzwa bila idhini yako kwa kifupi ingekula kwa benki. Au unataka kuniambia mnauchungu na benki kupoteza hela?Ndugu zangu ndoa ni taasisi tumewekwa vikao na ndugu wa pande zote mbili, mume anadai amekosa sina budi kumsamehe na kuanza upya kusorve tatizo. Tulikosa MTU wa kutukopesa pesa hiyo nikaona bora niuze mwenywe maana wala jamaa wakija kupiga mnada wanaweza kuuza hata mill15 nikapata hasara zaidi
Jaman ni story ndefu, naomba niachie hapo. HV mwanaume akutaka lake anashindwa kufanya so anaweza akachukua hati akaepeleka dadaake kumsainisha. Niacheni jaman msiendelee kunitoa machoz nimeshalia SNA, nahitaji faraja yenu na Maneno yenye kunijengaNa anachoficha ni kuwa anataka kumsaliti Mumewe , nyumba hata ukiwa na hati benki haiikubali kama dhamana mpaka consent ya spouse wote na hati ya ndoa plus picha zenu....Usaliti
Haiwezekani ukoo mzima wasijue hii sheria. Alipoleta hii kesi hapa alipewa ushauri kama huu. Siku hizi ukikopa benki kama umeoa lazima na mkeo ashirikkishwe hata kama nyumba ni ya mume, sasa hii nyumba ya mke iwekwe dhamani bila mke aka mwenye nyumba kushirikishwa benki gani hio? Au mlichukua hela kwa papaa msafi?!Unachosema ni sahihi mkuu, labda kutokuja sheria akaogopa na kuuza lakini kiutaratibu kuumzia nyumba ilikuwa kazi sana, hapo angefungua kesi na kuweka zuio na kushinda ilikuwa nje nje hiyo kesi
Huyu dada naona hakutafuta mwanasheria, hakika hiyo nyumba benki wasingweza kuuza, nyumba ya wanandoa huwezi kukopea bila ridhaa ya mwenza, sembuse hiyo ambayo mke aliijenga kabla ya ndoa. Kumbukeni nyumba ya Cheyo Mapesa haikuuzwa kwa pingamizi la mke. Kama kulikuwa na kughushi, basi hiyo ni jinai na si kuuza hiyo nyumba.Madam vero kama alichukua mkopo akaweka dhamana nyumba yako isingeweza kuuzwa. Itauzwa vipi wakati aliechukua mkopo si mmiliki? Hilo haliwezekani bila dhamana yako.
Aman iwe kwenu wakuu,
Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.
Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.
Nyumba ambayo nimejenga kwa jasho langu miaka mitano najenga yeye kaja kunioa juz juz kanikuta nimejiimarisha nyumba yangu imeisha bado kuweka vioo na gypsum tu. Nimetumuia gharama kubwa na mikopo juu ili tu niwe na kwangu.
Akaja kuweka dhamana ya nyumba bila kunishirikisha yaani bado mwezi mmoja ndo napata habar kuwa nyumba yetu inapigwa mnada.
Na usitoshe kwasasa sina kazi ni maza House nimefukuzwa kazi kwa uzembe kazini, na riba imeongezeka plus na dalali jumla nimelipa million10
Amenipa presha nimeuza nyumba yangu, nimelipa deni sasa HV nipo kwenye upangaji napambana na wenye nyumba zao.
Imeniuma SNA wanaume MNA roho gani, yaan hata hamu nae sina natamani niachike ila dini hairuhusu.
HV tukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu.
Ahsante mkuu, Nina hofu ya Mungu nawaza tu MTU kama mume wangu adhabu gani anastahili.Madame vero,, inamaana nyumba mmeuza ??.
Sasa km we ndo Mmiliki ,, ulipewa Limbwata gani hilo mpaka ukatia sahihi ???.
Bado sielewi game hapo lilichezwa vipi.
Kwaufupi ,sina ninachokiona mbele zaidi ya Usalitiii ,ugomvi kila Mara ,kulaumiana ,kwaufupi MUNGU ASIPOKUA PAMOJA NANYI mtaachana tu Noway out..
Uzi ulopita nilikuimiza sana ilo kwamba mkiuza baada ya muda mtaachana ,sababu kwakua lawama zote zipo kwamumeo ,Ww hutokaa umuelewe tena, zaidi Utaanza kumdharau jamaa ,, najamaa itambidi awe mpole sababu anajua kaharibu na ndio sasa nakiona ,tayar umeanza uliza juu ya "Usaliti" tayar umeanza fikria "Kuachika" Mungu asipowasaidia hayo, mojawapo litatokea ,au yote kwa pamoja.
AISEE NIWAOMBEE TU MUNGU AWASAIDIE ,AWAEPUSHIE MABALAA ,, SABABU MUMEO HALIKUA KOSA LAKE NINAAMIN MTAPATA ZAIDI YAHAPO MAANA JASHO LAMTU HUWA HALIZULUMIWI.
lkn km jamaa alikuja kwako kwalengo lakukutia Umasikini kisha Aondoke naye hatokua na mwisho mwema zaidi atakupa fursa yako yakufanya maisha.
Kingine namuhimu nihiki......Kwakua umeumizwa basi usije kuthubutu kujifanya kulipa kisasi kwa kumsaliti mumeo kwataarifa yako Utaishia kutumika nakua namaisha ya ajabu +gono+umeme+namengine.
Mwisho........Vijana wa JF sasa wanajua Unahela ...Kua makini,, humu Mario na matapeli wamejaaaa....angalia usije ukatapeliwa naizo zilizobaki ,,ukawa kichaa kwa kwa
[emoji117]kufukuzwa kazi
[emoji117]nyumba kuuzwa
[emoji117]kutapeliwa hela
[emoji117]n.k.
Aiseee Mungu akuongoze naakupe Akili ya kuendana na mazingira hayo.
umehama nae ?Ahsante mkuu, Nina hofu ya Mungu nawaza tu MTU kama mume wangu adhabu gani anastahili.
Mwisho niseme Mapenzi upofu