Alinda
Platinum Member
- Jun 26, 2008
- 1,695
- 2,152
Kama unachoeleza ni ukweli, ningekuwa mimi ningeaanza kufanya uchunguzi kujua kama ni kweli hizo hela alimkopea mdogo wake au hisijekuwa anakudanyanga hela alikopa mwenyewe na akatumia kwa maswala anayofahamu mwenyewe.
Pia ningekuwa mimi, hela iliyobaki ningeweka benki yote na kuona kama kweli angebeba mzingo aliyosababisha mwenyewe yaani kodi ya nyumba na nk..
Nasema hivyo kwa sababu kama aliweza kumthamini ndugu yake na kwenda kumkopea mkopo kwa njia za kitapeli ninapata wasi wasi kama ukweli ana mapenzi ya kweli kwako na kama ana thamini juhudi zako katika kuendesha maisha yenu. Hivyo ili kujiridhisha kama kweli huyu mtu ana mspenzi ya kweli kwako au anaonyesha majuto kwa alichokifanya basi ningefanya kama nilivyokishauri hapo juu..
Zaidi ya hayo nakutakia khera na heri kumbuka kitu cha muhimu ni uzima kwani vitu utafutwa..na kama uliweza kutafuta mpaka ukajenga basi sina na wasiwasi na wewe utaweza tena..Ila husikubali kuashindwa..