Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

Huwezi kujua kama dunia Ina mambo mpaka likukute jambo......

Dunia uwanja wa fujo

Akili yako ndiyo dira yako
 
mmmmh! ngoja niptie kwanza mwanaume mimi narudi
 
Ndugu zangu ndoa ni taasisi tumewekwa vikao na ndugu wa pande zote mbili, mume anadai amekosa sina budi kumsamehe na kuanza upya kusorve tatizo. Tulikosa MTU wa kutukopesa pesa hiyo nikaona bora niuze mwenywe maana wala jamaa wakija kupiga mnada wanaweza kuuza hata mill15 nikapata hasara zaidi
Hujajibu swali, nyumba yako aliwezaje kuchukua mkopo bila ya idhini yako?
 
Na anachoficha ni kuwa anataka kumsaliti Mumewe , nyumba hata ukiwa na hati benki haiikubali kama dhamana mpaka consent ya spouse wote na hati ya ndoa plus picha zenu....Usaliti
hata mie nimeshangaa, namfahamu mzee 1 alieeka kiwanja dhamana kwa kuchukua mkwanja bila mkewe kufahamu. alipokuja kufahamu (miaka 2 badae) akaliamsha maana hakuridhia na mali ilipatikana kwenye ndoa.

kiwanja kilirudi, sasa madame nyumba yake. alafu mmewe aweke bondi bila ya yeye kujua na aridhike iuzwe hapana hapana.

huyu madame kawa mzembe kila sekta, hata akisaliti atakamatwa siku 2 tu maana uzembe ni mkubwa mno
 
Ndugu zangu ndoa ni taasisi tumewekwa vikao na ndugu wa pande zote mbili, mume anadai amekosa sina budi kumsamehe na kuanza upya kusorve tatizo. Tulikosa MTU wa kutukopesa pesa hiyo nikaona bora niuze mwenywe maana wala jamaa wakija kupiga mnada wanaweza kuuza hata mill15 nikapata hasara zaidi
Ulijibu sio ulichoulizwa labda iwe unamalizia bando lako la chuo ,lakini stori hii umetunga
 
Haiwezekani ukoo mzima wasijue hii sheria. Alipoleta hii kesi hapa alipewa ushauri kama huu. Siku hizi ukikopa benki kama umeoa lazima na mkeo ashirikkishwe hata kama nyumba ni ya mume, sasa hii nyumba ya mke iwekwe dhamani bila mke aka mwenye nyumba kushirikishwa benki gani hio? Au mlichukua hela kwa papaa msafi?!
Mkuu usimpinge kana kwamba unajua yote. Mi nilikutana na case kama hiyo nikiwa banker arusha na mkopaji ananyumba mwanza ambayo aliiweka dhamana na wife's consent ikasainiwa na mfanyakazi mwenzake badala ya mke wake. Zipo case nyingi sana za hivi sema bahati tu mkopo mtu anamaliza. Kama mnakosoa kosoeni kwa kuuliza ila sio kubisha...game zinawenyewe hizi kuanzia kwa wafanyakazi wa benki hadi wakopaji
 
Bank watakuwa wazembe na vilazaa,mnashindwa kufanya uhakiki Wa kujua mwenye Mali ,pumbaf Kabisa
 
Ndoa ngumu kama unapoiingia unakabidhi maisha na mali zako kwa binadamu mwenzio!
 
Pole....
Usiwalaume wanaume maana Hata nyie wanawake mnatufanyiaga hivyo

Ova
 
Nahc Halufu Ya Chai., Ila Kama Umebak Na Hela Kdg Anza Biashara Maana Huyo Mume Balaa Stuka Mapema Kiuchumi
 
Yaani amewekaje nyumba rehani bila Spouse consent? Unaweza kwenda mahakamani ku file court injunction ya kuwazuia bank kuuza hiyo nyumba. Ki sheria una room ya kushinda hiyo case kama title na umiliki wa nyumba kweli ni vya kwako. Haya mambo ndo mana mi nawashaurigi watu muwe na mawakili wenu wawe wanawashauri vitu kama hivi. saa nyingine mnadhulumiwa kwa kukosa maarifa. Pole kama it is too late
 
Jaman ni story ndefu, naomba niachie hapo. HV mwanaume akutaka lake anashindwa kufanya so anaweza akachukua hati akaepeleka dadaake kumsainisha. Niacheni jaman msiendelee kunitoa machoz nimeshalia SNA, nahitaji faraja yenu na Maneno yenye kunijenga
Poole madam V.
 
Ahsante mkuu, Nina hofu ya Mungu nawaza tu MTU kama mume wangu adhabu gani anastahili.
Mwisho niseme Mapenzi upofu
Samehe na sahau mali utafutwa,heri wwe umeuza wenzio wamebomolewa nyumba nne ,ghorofa Mbili na za kawaida mbili, wanalala nje,km we ni MTU wa imani amini afya ndo msingi mali utafutwa.Amin utapata tu.
 
duh pole sana madam vero !!usikae kizembe nyumbani utaumia zaidi !ingia kitaa utafute pesa !usije kufa kwa presha bure
 
Back
Top Bottom