Mrejesho: Nimeamini huyu sio wa mizinga 100%

Mrejesho: Nimeamini huyu sio wa mizinga 100%

Rubii mbona kama signature yako umeikosea.... Hapo kwenye "m" ya kwanza nadhani ilikua uweke "S" au me ndio nimekosea.... Anyway!
Hapana hujakosea mkuu alikosea mama yako kutanua miguu kuruhusu uje ulimwenguni

RubiiKimimi
 
To fall in love is a disease. and the cure for it is to marry the one whom one has
fallen in love with - Ibn ul Qayyim.
 
Huyo yupo humuhumu J.f anakuchora tu unavyoshoboka! hizi updates zako zinaonesha ushakolezwa wewe...
 
Huyo yupo humuhumu J.f anakuchora tu unavyoshoboka! hizi updates zako zinaonesha ushakolezwa wewe...
Yuko vizuri na hana makuu.. Yuko vizuri kila idara... Sio kosa nikikolea
 
Tambua ni mchepuko huo sio mkewe, saa mchepuko ukuhurumie ili ugundue nini?
Hahaha kwaio two people wanaoanza relationship ambao they havent married yet ni michepuko? Sidhani kama hio terminlogy ni sawa...sio.huruma bali ni huyo anaweza akawa ni mwanamke anaejitambua, na kizuri huwezi ku fake uhalisia wako ...fake things hazidumu,
ndo mana hadi kufikia ndoa kunakuaga na stages za kupita na kizuri zaidi when you trust in God, hua anakuonyesha mapema kabisa na unajikuta u fake wako Mungu anauumbua, lakin kama ni original basi unaonekana na Mungu obvious anakuonyesha tu.

What goes around always comes around
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom