..Wakuu,.. Hii nayo imekaaje, maana kama ni timing ya kunilipua, basi huo mzinga utakua sio wa mchezo!
Unaamini kuwa hamna mapenz ya kweli?
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51].. Poa mkuuAnza sasa kuwasiliana na Mr. Mapanki akupe mbinu za kuzuia bomu la nuclear maana mzinga unaokuja akishasimika mizizi yake moyoni mwako utakuwa sio wa Nchi hii (joke).
Kuna watu wema na wastaarabu bado wapo. Huyo anajielewa na huenda anaona future kati yako na yake. Usimtupe.
Hamjui mnachokitaka.Mpate anaechuna malalamiko elfu kidogo, mpate asiyechuna hofu kibao!
Dear Men let's be thankful sometimes.
Rubii mbona kama signature yako umeikosea.... Hapo kwenye "m" ya kwanza nadhani ilikua uweke "S" au me ndio nimekosea.... Anyway!Wanaume mnamatatizo sana baadhi yenu
Mkiombwa shida
Msipoombwa matatizo
[emoji34]
RubiiKimimi[emoji85]
Hivi si ulisema ni mchepuko!! Kwako alikujaje au hauishi na mkeo?3 months... Haitoshi?