Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,899
- 183,248
Unadhani kuna mume wa mtu hapo mama?!!!!
Unadhani kuna mume wa mtu hapo mama?!!!!
I don't depend kwa mwanaume na marafiki zangu wa karibu sana ndo wananijua........i do believe mapenzi bila mizinga yapo ila kwa style za huyo msichana ni lazima atakuja kukupiga vizinga tena vikubwa tuMmh! Kwanini hamuamini kwamba mapenz bila mizinga yapo?
Asante sana mkuu,... Nimeichukua hiyo!.. Maana jamaa wanajijaza hofu kila kukicha mazee!
Loh hatar sana hiiUnadhani kuna mume wa mtu hapo mama?!!!!
ThanksNdivyo baadhi ya wafrika tulivyo
mapungufu yapo ya kibinadamu lakini sivyo ambavyo baadhi hapa wanavyoisema wanakuombea litokee kubwa ili usiwe naye ...
mapungufu yapo lakini angalia heshima yake kwako itakuepo mana mtaombana msamaha na yanaisha mnaendelea mbele
hadi sasa inaonesha she is a good woman for you, nenda nae taratibu ukimuomba na Mungu pia ...mana ukipata mwanamke anaejitambua na anaekupenda kwa dhati na ambae ni family woman basi hauna haja ya kuhangaika mkuu na manunga embe.
What goes around always comes around
Sio kweli, huyo hayuko ka wewe.Bado anakupuliza, subiri kung'atwa
Tambua ni mchepuko huo sio mkewe, saa mchepuko ukuhurumie ili ugundue nini?Ndivyo baadhi ya wafrika tulivyo
mapungufu yapo ya kibinadamu lakini sivyo ambavyo baadhi hapa wanavyoisema wanakuombea litokee kubwa ili usiwe naye ...
mapungufu yapo lakini angalia heshima yake kwako itakuepo mana mtaombana msamaha na yanaisha mnaendelea mbele
hadi sasa inaonesha she is a good woman for you, nenda nae taratibu ukimuomba na Mungu pia ...mana ukipata mwanamke anaejitambua na anaekupenda kwa dhati na ambae ni family woman basi hauna haja ya kuhangaika mkuu na manunga embe.
What goes around always comes around
Hamjui mnachokitaka.
Kama kweli ni mume wa mtu na uandishi huu basi kweli kuna wanawake wana mafurushi.
Ooooh kumbe!!! Maybe.Ni pale tu ambapo hatupo serious na ndoa