Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Hahahahaaa usigune, I am speaking from "eskipiriensi"
Hahahahaaa usigune, I am speaking from "eskipiriensi"
Ana mtu huyo na anakuzuga tu baadae akiamua kuliamsha dude utamsikia tu niliwahi kukuomba kitu chakoWakuu, habari zenu...
Wiki moja iliyopita, nilileta post humu, nikimuelezea huyu demu wangu wa ajabu na adimu sana kwa nyakati hizi kutokea..
Nilieleza kwamba, huyu demu hata niende nimtoe out, hanaga gharama kabisa, na simzuii yeye kuitafuna cent yangu, lah!
Nilielezea ukubwa wa mapenz yake na vile asivyopenda makuu,.. Ana sifa zote na sikosi chochote na wakati wowote kwake, lakini hapendi matumizi makubwa...
Nilipoleta hapa furaha na sifa za huyo demu wangu, wengi wakasema, sijiongezi,.. Mara kitonga, wengine ananivizia anilipue,.. Nikayachukua nikayafanyia Kazi nisije nikampoteza mtamu huyu...
Hot Friday jion, nikawa nae maeneo mazuri saana, nimpe uhuru wa kujiachia, lakini kaishia kula pizza tu na juice... Nikaona isiwe tabu, nikaona busara ile pesa ambayo niliitenga weekend kwa ajili yake, nimpe awe huru kwa matumizi ayatakayo mwenyewe...
Ajabu sana;... Ile pesa kaenda shopping bhana, kakusanya zawadi na Jana jioni kaniletea aliponitembelea home, .. Kaniambia Ile pesa nilompa ndio kaamua kununua zawadi!
Wakuu,.. Hii nayo imekaaje, maana kama ni timing ya kunilipua, basi huo mzinga utakua sio wa mchezo!
Ila ninachoamini mimi, ni mapenz tu, nimebahatika,.... Au niendelee kuchukua tahadhari?
Hahahaaah,... Ntarudi hapa! Ila namba hiyo sahau kwani mwenyewe naona kama ndoto,!MKUU Nanoli NAOMBA NAMBA YA HUYO BINTI, MAANA HUYO SYO WA KAWAIDA HATA KIDOGO, MAANA KAMA NI KUBEMBELEZA NDOA HUYO KAPITILIZA.
SASA FANYA HIVI, MPE NGUO AFUE, NDANI YA SURUALI ACHA DOLA 500 (NOTI 5 ZA DOLA 100) JIFANYE UMEZISAHAU HALAFU TULETEE MREJESHO HAPA
AKIKURUDISHIA, BASI HUYO SYO JAMBAZI ANDAA MIPANGO YA HARUSI MAANA USHASEMA SIFA ZINGNE ZOTE MUHMU ANAZO
Yaani hata me sielewi.... Hii ni bahatiWakati mwingine naona wivu wa kimaendeleo ni bora zaidi kuliko wivu wa mtu binafsi ambaye anacho na wewe huna halafu unajaribu kumharibia ili anayefaidi asikifaidi.
What goes around always comes around
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo........endelea kumpeleka kwenye piza na bsgger.....kisha uendelee kumpa mitonyo ili akununulie tena zawadi nyingine kupitia pesa unazompa...Wakuu, habari zenu...
Wiki moja iliyopita, nilileta post humu, nikimuelezea huyu demu wangu wa ajabu na adimu sana kwa nyakati hizi kutokea..
Nilieleza kwamba, huyu demu hata niende nimtoe out, hanaga gharama kabisa, na simzuii yeye kuitafuna cent yangu, lah!
Nilielezea ukubwa wa mapenz yake na vile asivyopenda makuu,.. Ana sifa zote na sikosi chochote na wakati wowote kwake, lakini hapendi matumizi makubwa...
Nilipoleta hapa furaha na sifa za huyo demu wangu, wengi wakasema, sijiongezi,.. Mara kitonga, wengine ananivizia anilipue,.. Nikayachukua nikayafanyia Kazi nisije nikampoteza mtamu huyu...
Hot Friday jion, nikawa nae maeneo mazuri saana, nimpe uhuru wa kujiachia, lakini kaishia kula pizza tu na juice... Nikaona isiwe tabu, nikaona busara ile pesa ambayo niliitenga weekend kwa ajili yake, nimpe awe huru kwa matumizi ayatakayo mwenyewe...
Ajabu sana;... Ile pesa kaenda shopping bhana, kakusanya zawadi na Jana jioni kaniletea aliponitembelea home, .. Kaniambia Ile pesa nilompa ndio kaamua kununua zawadi!
Wakuu,.. Hii nayo imekaaje, maana kama ni timing ya kunilipua, basi huo mzinga utakua sio wa mchezo!
Ila ninachoamini mimi, ni mapenz tu, nimebahatika,.... Au niendelee kuchukua tahadhari?

Hawafanani mkuu,.. Me nilikua naamini hivyo, lakini baada ya kumpata huyu, ninaweza sema kwamba ukiwa na bahati, wapoooooAna mtu huyo na anakuzuga tu baadae akiamua kuliamsha dude utamsikia tu niliwahi kukuomba kitu chako
Huyu wa kwangu ni mwalimu wa secondary hana hata miaka 2 toka aianze hii kazi yake lakini ananiambia kama nampenda lazima nimtunze kwa kila hali
Watu wanakushauri umwoe kumbe umeshaoa na una watoto ebu mwache binti wa watu atafute wa kumuoa aaaggggrrrNina mke, lakini hatukai pamoja mkuu,.. Mimi niko huku kikazi (NGO's) ... Kwahiyo kama ni mkataba, siwezi kuihamisha familia kila niendako....
Mtoa mada ana mke na watoto ....we omba namba kama hujaoa kamuoe ww uyo binti hili jinga linaharibu maisha ya mwenzie tuMKUU Nanoli NAOMBA NAMBA YA HUYO BINTI, MAANA HUYO SYO WA KAWAIDA HATA KIDOGO, MAANA KAMA NI KUBEMBELEZA NDOA HUYO KAPITILIZA.
SASA FANYA HIVI, MPE NGUO AFUE, NDANI YA SURUALI ACHA DOLA 500 (NOTI 5 ZA DOLA 100) JIFANYE UMEZISAHAU HALAFU TULETEE MREJESHO HAPA
AKIKURUDISHIA, BASI HUYO SYO JAMBAZI ANDAA MIPANGO YA HARUSI MAANA USHASEMA SIFA ZINGNE ZOTE MUHMU ANAZO
Unaoa mke wa pili? Mkeo anazo taarifa au utafanya siri?Pamoja mkuu
Basi sawa inawezekana anataka umuoe mapema kama sivyo kuna kitu nyuma ya paziaHawafanani mkuu,.. Me nilikua naamini hivyo, lakini baada ya kumpata huyu, ninaweza sema kwamba ukiwa na bahati, wapooooo
Basi sawa inawezekana anataka umuoe mapema kama sivyo kuna kitu nyuma ya pazia
Unampa hela then badala ajinunulie vitu vyake anakununulia tena wewe zawadi kupitia ile pesa uliyompa!!
Inaweza ikawa bahati kweli au majanga mbele ya safari