Mrejesho: Nimeamini huyu sio wa mizinga 100%

Mrejesho: Nimeamini huyu sio wa mizinga 100%

Mkuu pamoja na dunia ya leo kuvua chupi ila bado wanawake wa namna hiyo wapo!

Hata shem wako hapa yuko hivo hivo

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pamoja na dunia ya leo kuvua chupi ila bado wanawake wa namna hiyo wapo!

Hata shem wako hapa yuko hivo hivo

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Asantee... Hongera saana! Haupati pressure... Raha sana
 
Kuumua Kobe inaitaji timing,.. Ila uyo manzi anakupenda,... Naona unaogopa shetani kukwambia tumsifu yesu kristo unawaza umuitikiee au umkemee,
 
Anajua kila kitu, yeye mwenyewe kaamua kupumzika tu,.. Akishapata mtu ataondoka, ila kinachomuweka hapa anakijua mwenyewe, kwani wasio na mke anawaona.....
Basi inaonekana unamjali na kumkaza vizuri sana ndo maana amedata, ama la ni ushamba wake tu!!! maana mwanamke mzuri anapokosa akili, uchi wake ndo huteseka.
 
Hahaha kwaio two people wanaoanza relationship ambao they havent married yet ni michepuko? Sidhani kama hio terminlogy ni sawa...sio.huruma bali ni huyo anaweza akawa ni mwanamke anaejitambua, na kizuri huwezi ku fake uhalisia wako ...fake things hazidumu,
ndo mana hadi kufikia ndoa kunakuaga na stages za kupita na kizuri zaidi when you trust in God, hua anakuonyesha mapema kabisa na unajikuta u fake wako Mungu anauumbua, lakin kama ni original basi unaonekana na Mungu obvious anakuonyesha tu.

What goes around always comes around
Haujanielewa, huyu mtu alishasema ana mke na huu ni mchepuko tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom