Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Hahahahaha wanaume huwa hatukimbii matatizoNasepa tu kwani kesi?
Hahahahaha wanaume huwa hatukimbii matatizoNasepa tu kwani kesi?
Simtishi namna taarifa tuKawaida acha kumtisha mwenzio.
AiseeNina mke, lakini hatukai pamoja mkuu,.. Mimi niko huku kikazi (NGO's) ... Kwahiyo kama ni mkataba, siwezi kuihamisha familia kila niendako....
Iam a woman.Hawafanani mkuu,.. Me nilikua naamini hivyo, lakini baada ya kumpata huyu, ninaweza sema kwamba ukiwa na bahati, wapooooo
Miez ni 3 Ni midogo sana kutambua tabia ya mtu .. ...mimi nilipo fikisha miez 10 na mwanamke wng ,ndipo nkaanza kugundua makucha yake ninavyoongea dakika hii huyo mwanamke nimemkimbia amekua too much....... Subiri akuzoee mkuu3 months... Haitoshi?
Aaa...jamaniBado anakupuliza, subiri kung'atwa
ni kama unafikiria kutumia mat*ko mkuu.... Samahani kwa hilo lakini... sasa wewe ulitakaje kwa mfano?? yaani huamini kama kuna wanawake wa aina hiyo duniani?? unataka tukuambie nini sasa? no wonder umeshaanza kufikiriakuwa mguu nje mguu ndani wakati unakiri kwamba mtoto kakuonyesha mapenzi ya dhati na unafurahia kuwa nae... kaa humo humo kwa sasa hali ikibadilika basi badilika nayo ila for now keep on enjoying first class love kama kuna daraja huko mbele basi utalicross upon reaching it acha uoga usio na maana..Wakuu, habari zenu...
Wiki moja iliyopita, nilileta post humu, nikimuelezea huyu demu wangu wa ajabu na adimu sana kwa nyakati hizi kutokea..
Nilieleza kwamba, huyu demu hata niende nimtoe out, hanaga gharama kabisa, na simzuii yeye kuitafuna cent yangu, lah!
Nilielezea ukubwa wa mapenz yake na vile asivyopenda makuu,.. Ana sifa zote na sikosi chochote na wakati wowote kwake, lakini hapendi matumizi makubwa...
Nilipoleta hapa furaha na sifa za huyo demu wangu, wengi wakasema, sijiongezi,.. Mara kitonga, wengine ananivizia anilipue,.. Nikayachukua nikayafanyia Kazi nisije nikampoteza mtamu huyu...
Hot Friday jion, nikawa nae maeneo mazuri saana, nimpe uhuru wa kujiachia, lakini kaishia kula pizza tu na juice... Nikaona isiwe tabu, nikaona busara ile pesa ambayo niliitenga weekend kwa ajili yake, nimpe awe huru kwa matumizi ayatakayo mwenyewe...
Ajabu sana;... Ile pesa kaenda shopping bhana, kakusanya zawadi na Jana jioni kaniletea aliponitembelea home, .. Kaniambia Ile pesa nilompa ndio kaamua kununua zawadi!
Wakuu,.. Hii nayo imekaaje, maana kama ni timing ya kunilipua, basi huo mzinga utakua sio wa mchezo!
Ila ninachoamini mimi, ni mapenz tu, nimebahatika,.... Au niendelee kuchukua tahadhari?