Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Subiri mkeo apewe mimba Na kakako ndo huo utaratibu utaufuata huyu kamua kama aonavyo yeye
Lazima niwe mkweli, kuliko kuleta DNA ya mwingine ni afadhali azae na kaka yangu. Sina shida nayo hiyo
 
Endelea kuota huku unatembea
Huoni unavyoathirika na hili jambo? Hivi wewe hujawahi kuchepuka na kama ungefumaniwa angalikuacha? acha hasira za kitoto endeleza ndoa yako. Wengi wametoa ushauri mwema ila wewe unapenda kusikiliza ushauri wa hao ambao wapo na wenzi wao ati uachane na mume wako. Baba yako yupo na mama; baba mkwe yupo na mama mkwe; wachungaji wapo na wake zao, hivi huoni hao ni wabaya wako ati uvunje ndoa, waulize wao wamepitia mangapi.
 
Maumivu ya moyo ni makali sana hasa kwa mume inauma sana isikie tu..nilikuwa hata kula siwezi mpaka ikabidi mama aje ndo angalau akawa ananihimiza kula.
Kwa sasa mdogo wako anaishi wapi na nani?
 
Huyu mtoto ni attachment ya kinafsi kati ya watu wawili. Kwa kuwa mmeshaazimia kumfungia vioo kifamilia na kama mazingira yanawaruhusu ni bora mhakikishe huyo mdogo wako anaishi mbali naye na mwanaume asijue chochote kuanzia afya ya mimba mpaka mtoto kama atazaliwa. Otherwise, kuna hatari ya kuja kukuta mmetwanga maji kwenye sandarusi.
Hasichokijua dada Leah,majibu hayo ameyatoa kwa kuwa anataka kumuonesha dogo kuwa kule ameacha kabisa sasa mdogo mtu baada ya muda wataanza maisha mapya na jamaa yake.
 
Baada ya muda/miaka kadhaa baadae mdogo wako ataendelea kuwasiliana na shemeji yake kuhusu mtoto kwani ni mzazi mwenzie na huenda taratiibu wakaendeleza mahusiano yao japo kwa siri kwa tiketi ya kuwa ni mzazi mwenzie.

Nikupongeze sana kwa kumsamehe mdogo wako ila haikuwa na haja ya kumtahadharisha kuendelea na shemeji yake (ni km vile unampa kiapo/ laana imfikie) kwa lengo la kuwa ni dhambi kubwa sana atakapokuja kufanya hivyo baadae hata km ulishampa talaka.

Mapema baada ya kukamilisha zoezi la talaka tambua mwenye nafasi kubwa ya kuwasiliana na mwanaume huyo ni mdogo wako, sio km shemeji yake bali ni mzazi mwenzie kwa maendeleo na malezi ya mtoto wao.

In a long run kwa miaka kadhaa baadae jifunze na utambue mapema wazazi hao watakuwa na mawasiliano mazuri na wataweka tofauti zao pembeni kwa malezi bora ya mtoto wao wa damu, kwani mtoto anahitaji malezi ya baba na mama pia katika maradhi, shida na furaha.
Chief umeandika vitu ambavyo lazima.vitatokea.
 
Leah wewe ni mwanamke mzuri mwenye busara ninakuombea uweze kupata mwanamme mzuri wa kukuoa tena. Mimi ningekuwa niko teyari ningtupa karata yangu lakini kwa sasa siko teyari, Wanaume wote siyo wabaya ukiomba Mungu atakupa Mwanamme mzuri. Ninakushauri angalau utafute mwenye kadgree angalau. Education matters a lot in relationship To share your vision with your partner who is not educated becomes difficult sometimes. Ninakutakia kila la heri na ni tumaini langu kwamba the next husband will be super husband.
Hahahahahaaaa! Jf raha aisee
 
Kijijini kwetu kuna mshikaji alimpa mimba pacha mmoja (kulwa)hakumuoa baada ya muda akamuoa pacha mwenzie(doto)hadi sasa wanaishi pamoja..dunia inamaajabu sana
 
Anyway ndipo akili ilipoishia, kuvunja ndoa. Akili za kike ni fupi sana zinaangalia pale anapokanyaga haziangalii mbele kamwe. Ukivunja wewe mmoja haina hasara ni kama ajali ya bus, dereva anagonga mmoja anaokoa abiria kumi ndani ya bus. Wewe ukivunja wenzako hawatavunja wataendelea na ndoa zao kwani hawana muda wa kufunga ndoa na kuvunja.
 
Ukweli bila mawe haiendi. Kima alijamba juu ya jiwe akaliambia hata kama hukusituka umepata hiyo harufu. Hata kama akitupa mawe ukweli utabaki ukweli. Mpaka mwanaume anambebena shemeji jua dada mtu ni kituko haswa. Na kwa nini ulete mdogo wako aishi kwako? Si umsaidie huko huko maana paka mwenye njaa hakai na panya

Duh Kampelewela wewe mkali eti"paka mwenye njaa hakai Na Panya"
 
Mleta Uzi anajeuri ya elimu yake juu ya mumewe
Mleta Uzi anajivunia kazi yake dhidi ya mumewe
Mleta Uzi anajivunia Nyumba yake

Yote hayo yamempa kiburi cha maisha.
Mimi hicho nilikiona tangu uzi ule wa kwanza.Sasa utaki kuzaa kwa nini uliolewa.Maneno ya wahenga hayaanguki " ukikubali kuolewa kubali kulala bila chupi"
 
Acha kujidanganya ndugu now a days wanaume waamini na wa kweli ni wachache sana wengi ni wanaume wa kila mwanamke so acha kudanganya umma
Kumbe unakubaliana kabisa na maneno ya mmeo pale kwenye kikao kwa hao mapasta kuwa hata wao wanamichepuko sema tu hawajadakwa?sasa kama unajua kuwa wanaume ndivyo tulivyo mbona unavunja ndoa yako?
 
Back
Top Bottom