Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
Wee acha tu! Sidhani kama naweza taka mwanaume tena
Pole sana, mbona muda ukifika utataka tu
Wee acha tu! Sidhani kama naweza taka mwanaume tena
Asiposikia hili atavunjika guu! Ukweli ni kwamba,huyu dada anateswa na hasira na shetani anakaa pembeni anacheka jinsi anavyoenda kuanguka,kitu nilichojifunza ktk maisha ya mtu anaemtegemea MUNGU ni maombi na kusamehe na kuwapenda watu.mtu afanyae hvyo huishi kwa amani sana na baya likija hua MUNGU analipangua haraka,dada alimkaribisha shetani kwa kukili kuingia kwenye ndoa na kuweka masharti ya kuzaa mtoto,pale hakumpa masharti mumewe,alimpa masharti MUNGU na MUNGU ndo katazama shetani anamchezea bila kutoa msaada ili aje ajue alikosea wapi na atubu,MUNGU angetoa njia zingine zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu kumfanya awe na amani au kuzuia jambo hlo lisitokee.lakini amekua ni mtu wa hasira na amemsahau MUNGU japo yeye anadhani kuwaita wachungaji ni kumuita MUNGU,hapana.kuna wakati wa mtu na MUNGU basi.mchungaji nae ni mtu tu na anaweza kua mdhambi kuliko hata huyo mumewe na huyu dada.dada kama wewe ni Christian,rudi msalabani utapata majibu,lakini mpaka leo tena unavyosema mahali ulipofikia ktk jambo hlo bado ni unamluhusu shetani akupe kipigo.leah2;
Nadhani wewe ni mtu wa maamuzi ya haraka haraka sana. Uliamua kusitisha kuzaa ili usome kwanza huku ukijua wazi kuwa upo kwenye ndoa. Sidhani wazo la kuendeleza kisomo alilitoa mumeo bali ni wewe mwenyewe. Mumeo alikuridhia japo shingo upande alipopata ka mwanya akamtumia mdogo wako ili aone kiumbe chake (mtoto).
Uamuzi wa pili ni kumkaribisha mdogo wako kwako mahali ulijua wazi kuwa kuna mwanamume, unaye lala naye kila siku. Hukuwaza kuwa, yawezekana akaamua kufanya kautafiti kuwa, hivi huyu mdogo mtu ni mtamu ka dadake? Ukadhani unakaa na malaika Gabriel ndani asiye na tamaa. Matokeo umeyaona.
Uamuzi mwingine mbaya ni kuwaleta jopo la watu ambao woote ulijua kuwa wapo upande wako ili kuja kukuhalalishia hiyo talaka unayofurahia kuwa utaitoa hivi karibuni.
Sawa kabisa, lakini naomba nikuambie; Tuliza munkari. Hao uliosema ati uliwaleta wachungaji, hawawezi kuihalalisha talaka yako. Ni neno la Mungu kuwa; Aliowaunganisha Mungu, mwanadamu, (Leah2) asiwatenganishe. Usiifurahie talaka, hiyo ni Passport ya kuingia kuzimu kwa Mkristo awaye yote. Hakuna talaka.
Sasa, tulia kabisa, rudi kwa Mungu wako, mlilie hata akusikie, akupe roho ya kusamehe, watume watu wema wamwendee huyo mumeo, wamweleweshe tu atapata akili mpya aone kosa lake, atubu, amrudie Mungu. Ndoa yako iliingia tu doa, usiikate nguo ati kwa sababu imeingia doa. Kumbuka nguo ni hiyo moja tu unayo.
Ati unasema, Sidhani ka nitamtamani tena mwanamume. Usitamani mwanamume mwingine, mtamani mumeo. Hata kama hatarudi mapema, mwombe kuwa, ukijisikia hamu saana usitumie "Midoli ya kichina/japan", mwombe uende alipo akutoe ham kidogo. Hutakuwa umezini bali ni mumeo tu mpaka kufa. Huu ndo ukweli japo shubiri. Kama ulikimbilia ndoa ya kikristo hayo ndo maukweli yake. Hakuna talaka bali lolote utakalo tenda, ni zinaa tuuu. Si mimi, ni Mungu kasema. Kwa kheriiiii kubali au kataa hii ndo kweli japo shubiri mesaa tuuu
Huwa siongei na watu wajinga kama wewe.
Daaaah, pole sana dada yangu. Mungu ni mwema atakupigania and you will make it throughAsante sana
Usiishi kwa kukalili ktk ulimwengu huu mkuu..Hujui makubaliano yalikuaje, usiongee ili uonekane umeongea, tupo zama mpya. Ndoa ni makubaliano na wala si utumwa,.kuzaa ni wajibu wa mwanamke lkn wakati wakuzaa wazaaji huamua pamoja. Kama bado una mawazo na mapokeo ya mwaka 47 utaishi kwa tabu kwenye dunia ya Leo.mimi nilikwambia wewe, pia utakuwa na shida usije rudia kosa ukipata mme mwinginwe habari za kusema ohooo,subiri mpaka nimalize mastaz, au subiri mpaka nimalize siku zangu, mtu anachepuka mwishowe unalia tena, unapoingia kwenye atua fulani jipange kuitumikia.
Asiposikia hili atavunjika guu! Ukweli ni kwamba,huyu dada anateswa na hasira na shetani anakaa pembeni anacheka jinsi anavyoenda kuanguka,kitu nilichojifunza ktk maisha ya mtu anaemtegemea MUNGU ni maombi na kusamehe na kuwapenda watu.mtu afanyae hvyo huishi kwa amani sana na baya likija hua MUNGU analipangua haraka,dada alimkaribisha shetani kwa kukili kuingia kwenye ndoa na kuweka masharti ya kuzaa mtoto,pale hakumpa masharti mumewe,alimpa masharti MUNGU na MUNGU ndo katazama shetani anamchezea bila kutoa msaada ili aje ajue alikosea wapi na atubu,MUNGU angetoa njia zingine zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu kumfanya awe na amani au kuzuia jambo hlo lisitokee.lakini amekua ni mtu wa hasira na amemsahau MUNGU japo yeye anadhani kuwaita wachungaji ni kumuita MUNGU,hapana.kuna wakati wa mtu na MUNGU basi.mchungaji nae ni mtu tu na anaweza kua mdhambi kuliko hata huyo mumewe na huyu dada.dada kama wewe ni Christian,rudi msalabani utapata majibu,lakini mpaka leo tena unavyosema mahali ulipofikia ktk jambo hlo bado ni unamluhusu shetani akupe kipigo.
Inaonekana ufahamu wako ni mdogo sana! Lakin sishangai maana shule zetu sikuhizi zipo kungoja umalize muda wa kuwepo shuleni ili upewe cheti.Asiposikia hili atavunjika guu! Ukweli ni kwamba,huyu dada anateswa na hasira na shetani anakaa pembeni anacheka jinsi anavyoenda kuanguka,kitu nilichojifunza ktk maisha ya mtu anaemtegemea MUNGU ni maombi na kusamehe na kuwapenda watu.mtu afanyae hvyo huishi kwa amani sana na baya likija hua MUNGU analipangua haraka,dada alimkaribisha shetani kwa kukili kuingia kwenye ndoa na kuweka masharti ya kuzaa mtoto,pale hakumpa masharti mumewe,alimpa masharti MUNGU na MUNGU ndo katazama shetani anamchezea bila kutoa msaada ili aje ajue alikosea wapi na atubu,MUNGU angetoa njia zingine zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu kumfanya awe na amani au kuzuia jambo hlo lisitokee.lakini amekua ni mtu wa hasira na amemsahau MUNGU japo yeye anadhani kuwaita wachungaji ni kumuita MUNGU,hapana.kuna wakati wa mtu na MUNGU basi.mchungaji nae ni mtu tu na anaweza kua mdhambi kuliko hata huyo mumewe na huyu dada.dada kama wewe ni Christian,rudi msalabani utapata majibu,lakini mpaka leo tena unavyosema mahali ulipofikia ktk jambo hlo bado ni unamluhusu shetani akupe kipigo.
Mleta Uzi anajeuri ya elimu yake juu ya mumewe
Mleta Uzi anajivunia kazi yake dhidi ya mumewe
Mleta Uzi anajivunia Nyumba yake
Yote hayo yamempa kiburi cha maisha.
Nami vipi mkuu!? Nmemvutia picha huyo Mme ni Jaluo au Kurya.. Kaaaazi Kweli ku-apologize.Mh sasa naona nawe
Hapo ndipo ufahamu wako ulipoishia?[/QUOT
Kama ni kweli yamekupata na si hadithi basi elimu yako haijakukomboa. Mimi binafsi family kwanza mengine yanafuata. Hii formal education tunayojivunia tumerithi kwa wazungu. Lkn wenzetu wanathamini sana familia zao kuliko chochote mile. Sijui kwako Dada Leah?
Pole sana aisee!Inaonekana ufahamu wako ni mdogo sana! Lakin sishangai maana shule zetu sikuhizi zipo kungoja umalize muda wa kuwepo shuleni ili upewe cheti.
Surprisingly, it may be the same man
Pole sana bidada. Karibu kwenye ulimwengu wa mapenzi ya kweli. Karibu pmWee acha tu! Sidhani kama naweza taka mwanaume tena