nao
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,831
- 1,941
Mbona unachanganya story mbili kwa wakati mmoja unauhakika umesoma Na ukaelewa kabisa? Sasa habari za house girl zimetoka wapi hapa mbona kama umekurupuka?Siyo uhenga ni experience Na kuwa mkweli. Hawa mabinti wanazidi sana. Naomba ajitokeze nimhoji hapa uwanjani muone Kama mkosaji si yeye. Inaeezekana hata siku moja hajawahi kumpikia mumewe ni Dogo tu hata kufua pichu za shemejie. Kubali au acha binti lazima uolewe na mwanaume anayekuzidi angalau umri, elimu na kipato. Atakayeweza kutoa amri. Siku hizi wanapenda kuoa (kuolewa na aliye chini yake) ili azame chumvini. Hebu Ona Mara huyu leah2 amefukuza mumewe Nyumbani Na huyu Mkebora
Ati naendesha Gari Mara napaki anatoka Mara nikawaweka kikao Na Housegirl; wake up hao ni waume au mamario?
Mkatae,mkubali huyu mtu kachemka kumpatia mimba shemeji yake!!!!!!! Na ataendelea kuwamimba watu hata huko atakapochukua jiko jipya nafikiri ndo tabia yake maana si anaona kawaida.
Hata ampate Mke mwingine wakumfanyia hayo yote bado hii ni tabia yake,asipokua makini atawamimba hadi Dada zake.