Pole sana nadhani huyo mumeo tyr kashaona ndoa yenu haina maana tena, hapo kaongea kwa hasira kama defensive strategy kwakuwa ashaona yeye ni failure.
Tena hayo majibu aliyotoa ni matokeo ya fikra na mtazamo pengine na experience aliyokuwa nayo kabla hajakusaliti. Tena huenda kuna mambo hayakuwa sawa ktk ndoa yako na yalipelekea yeye kwenda kinyume.
Nimeshasema mara nyingi na narudia kusema ili wote tujifunze, kwamba hata kama unampa mke/ mme wako kila kitu kama humfanyi ajione kuwa yeye ni mwanamke/ mwanamme basi penzi/ ndoa haliwezi kudumu.
In fact the man is psychologically distorted and no more you can do to save him. Kuitwa kikao nakuendelea kumtuhum kunamfanya aonekane kuwa criminant na yeye lazima ajitetee kwa kuwakera wengine wanaomkera zaidi, yaani kama mbwai iwe mbwai tu.
Biblia inasema huwezi kumwacha mwanamke/ mume kwa sababu yoyote ispokuwa kwa uasherati tu, hii inaonesha jinsi uzinzi ni dhambi isiyovumilika hata kwa Mungu.
Achana na ndoa hiyo haikufai tena hata mngesuluhisha still the value of marriage was contaminated already.
Kuhusu kupambana naye, hiyo ni mikwala inayotokana na hasira, denial phase, baada ya hapo atatulia na ataona guilty ya kosa lake.
Pole kwa hayo machungu, sasa pull your right strings a dream life of yours is near.