Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Kwa aina ya majibu ya huyu bi mdada humu tena kwa watu asiowajua, unaweza kuona ni mwanamke wa namna gani. Just imagine ndo mke wako tena amekuzidi elimu maana ana masters ( pengine mme ana bachelor)?Vitu vingine unaweza tu kumshukuru Mungu kuondokana na mtu na namna hii.
Hata Mimi nimeshukuru sana kuachana na dume lisilo na akili yaani atembee na mdogo wangu na kuzaa nae bado nimchekee tu Misha yeye no mwanaume.loh aende akafugwe huko
 
Acha kujidanganya ndugu now a days wanaume waamini na wa kweli ni wachache sana wengi ni wanaume wa kila mwanamke so acha kudanganya umma
Until you change your mind otherwise your in the same insanity.
 
Mm sio mchungaji, ww sikujui na mmeo simjui ila kwa uzito wa jambo busara zinahitajika sana katika hali ya kwaida mmeo anapitia wakati mgumu sana na kua nae kwa upande huo pia nakuwa nawe kwa maumivu unayopitia uko unakotaka kifika ni mbali sana ebu jaribu kujipa mda zaidi kabla aujaenda kutengua ndoa yako uliyofunga ukiamini mmeo ni mtu sahii jipe mda zaidi wa kufakari juilize maswali magumu ukichukua nafasi ya mmeo ndio ww ebu jaribu kukumbuka miez miwil mitatu kabla ya ilo tukio then chukua uamuzi mm binafai siamini kama ilo ni jambo gumu kupita yote ktk mahusiano ambalo solution yake ni ku divorse acha kuamin ktk nafas yako kifedha, kielimu beba jambo ilo as if haun vitu hivyo mtafute mmeo mpe nafs ya kumsikiliz mkiwa wawil endelea kumsoma mtazamo wake na jaribu kuonesh kwamb unataka kirud uone atalichukulia hilo as golden chance? Ata sema nn hay bil kuhusisha mtu yyt as friend mmeo.ameathirika kiakil hivy usihukum mtu ktk hal hiyo plz plz just that then nipe mrejesh nikupe ushauri wangu binafs nn naona nn ufany kama autojar
Weeee yaani dharau zote hizo tena nimfuate? Hivi unaninaje kwanza? Hata kama ni mwanamke nina heshima zangu na haki zangu za msingi, sihitaji kujidhalilisha kisa mwanaume as if yeye ndo mwanaume wa mwisho duniani. Sitarudi nyuma ktk maamuzi yangu.
 
Hawa ni wale wanawake wanaotazama tamthilia za kifilipino na wanasahau kua yale ni maigizo wao wanataka kuyaishi,kisa eti kasoma shule analeta mbwembwe na masharti kwa mume,majibu yake kadhaa hapa yamenipa majibu ya huyu ni mwanamke wa namna gani.maisha halisi hayamtazami msomi wala asiyesoma,shule inanafasi ndogo sana ktk ndoa kudumisha mapenzi kitu kilichomponza huyu mtu,ngoja tu akome shetani amkomeshe,yeye anadhani mumewe tu ndo kamuacha MUNGU kumbe hata yeye kamuacha MUNGU bila kujua kwa kiburi cha uzima.vinginevyo MUNGU asingenyanyua jaribu kwake kama angekua ni mwanamke muombaji na asiye na dhambi.ndo mana nikamwambia rudi msalabani yeye kaishia kuniambia eti nina upeo mdogo,duh! wanawake wengine ni tatizo
Na wanaume kama wewe ni tatizo kubwa tena ni jibu la makalioni.
 
Wewe umemwambia kweli.amekuja hapa kutaka mawazo ya watu afu najifanya tena kutudharau na kutuona eti hatuna shule tuna ufahamu mdogo,huyu dada labda ni jini tu,hua siwezi kusema mabaya lakini amenijibu kitu hapo juu akanikwaza,kaja hapa kayatibua huko atokako yeye mwenyewe,alivyokuja hapa alipaswa kupata mawazo tofauti tofauti.tena yeye anataka kila mchangiaji awe upande wake.mtu gani huyu
Pole sana ila hata wewe uwe unawajuwa wake zetu hasa waliosoma. Ni shida na wanapenda kusifiwa ukimweleza ukweli uwe Na kifua cha kupata matusi. Huwezi kubadili ulimwengu ila kubali kutokubaliana. Ipo kwa bahati mbaya tuna watu ambao si wepesi kuelewa ila siku moja atakuelewa. Nakuapia mumewe alipata shida sana Na si ajabu k ya huyu mtoa mada alikuwa akiiona inavyovalishwa chupi tu. Hata mdogo mtu alikuwa anamhurumia shemejie MATESO ya kukosa papuchi akaamua kumsevu. Superiority complex ya mtoa mada ndiyo inamfanya dume lidharau hicho kikao. After all aliwafukuza katika Nyumba yake. Ingelikuwa Mimi naoa mdogo wake tunaanza moja
 
Weeee yaani dharau zote hizo tena nimfuate? Hivi unaninaje kwanza? Hata kama ni mwanamke nina heshima zangu na haki zangu za msingi, sihitaji kujidhalilisha kisa mwanaume as if yeye ndo mwanaume wa mwisho duniani. Sitarudi nyuma ktk maamuzi yangu.
cool down maisha hayaendi vile soma maoni yangu hapo juu
 
huyo mume ni hatary xana, yan anajiamini kupita maelezo tena mbele ya jopo la wazazi, nlitegemea mwishowe angeomba radhi na kujuti kumbe ndo anathibitisha urijal wake kuwa kafanya ktu sahihi kabixa yan, ukimchunguza zaidi hyoo ana mwanamke mwingine ukiacha wewe, mdogo wako ndo mana hajutii kukuacha wala hana mpango na wewe ,but mapenz yana nguvu xana anaweza akajirudi badayeee
 
Sasa ameshajua moja au siyo? Baadhi ya wanaume nadhani akili zenu mmeweleza kwa shetani, ndiyo maana mnahalalisha dhambi kisa kafanya mwanaume mwenzenu
Sina maana hiyo dadfa mmeo alikosea nadhani hapo shetani aachwe asisingiziwe, alikua amehsajua anaachwa na alishaharibikiwa kisaikolojia alichokifanya ni laana
 
wachungaji nalia na nyie, nan amewaruhusu kuwa upande wa mwanadamu? mnavunja ndoa takatifu shetani aliyoichezea kidogo tu' mtamjibu nini Mungu?


6 Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke.

7 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;

8 na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.

9 Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.

mnaangamiza watu wa Mungu
Duh kwa hiyo tufe kibishi bishi
 
Hakuna sehemu nimesema "aliforce"..
Anyway.. Msimuhukumu huyo mume vibaya pia... Haina maana kusikiliza upande mmoja wa kesi na kulaumu upande wa pili.

Nawatakia wote heri katika maisha yao mapya ya kutengana
Siamini kuna mwanaume:-
i. Anaweza kuruhusu mkewe akasome wakati ameoa juzi juzi - tusidanganyane hapa, nia yakuoa (kwa mwanaume) ni kupata K yake kila wakati anapoitaka. Kusoma kunanyima uhuru wake kuipata
ii. Siamini mwanaume unaweza kukataa wazo la mke wako hasa ikihusu shule wakati wewe huna shule. Hivyo alikubali shingo upande
 
Ulichokosea ni kimoja tu, wewe kama umeamua kuachana na huyo mme kwanin tena umpe sharti mdogo wako kuachana na Baba mtoto wake?waache waamue wenyewe!!
 
Habari zenu wadau wa MMU,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru mods na members wenzangu wote kwa mawazo, ushauri na michango yenu katika thread niliyoleta huku kipindi cha nyuma yenye kichwa kisemacho "mume wangu amempa mimba mdogo wangu"

Nimepata muda wa kutosha kutafakari michango ya mawazo yenu namna ya kumaliza tatizo hili na MUNGU amekuwa upande wangu na nimefanikiwa kufikia muafaka.

Jana ndo ilikuwa siku ya kukutana tena kwenye kikao pamoja na wazazi wa pande zote mbili na safari hii tukihusisha na wachungaji wetu na tulikaa na kufikia muafaka kama ifuatavyo;

Katika kusikiliza maelezo ya pande zote mbili yaani kutoka kwangu na kwa watuhumiwa, mume wangu aliamua kujibu vibaya kikao baada ya kuona anaandamwa na maswali ambayo haya kumfurahisha.

Nasikitika kusema alidiriki kujibu kuwa kama kosa limeshatokea waamue haraka yeye ana mambo ya muhimu ya kufanya kuliko hili.

Akaenda mbali zaidi kuwa hata wao wanajiona ni watakatifu kumuandama na maswali wana nyumba ndogo kibao sema ni kwa vile hawaja kamatwa. Pamoja nahayo akaongeza kuwa hajawahi jutia kosa lake kwani yule si dada yake wala hana ukoo nae kwahiyo ilikuwa ni sawa tu.

Wazazi wake walijaribu kumkatisha asiendelee kuzungumza lkn hakujali akapaza sauti zaid hapo ikabidi wamuache tu aongee mpaka amalize, aliongea mengi na magumu sana sina ujasiri wa kuyaandika hapa kwakuwa hayatamkiki kwa mtu mwenye akili timamu.

Baada ya kumsikiliza kikao kiliniuliza nasemaje kuhusu ndoa yangu.

Sikuwa na la zaidi, niliwaambia kwakuwa kwake ni jambo la kawaida sana na mimi kwangu si la kawaida nisingeweza kuendelea kuishi na mtu mwenye mtazamo tofauti.

Wachungaji walisema wao hawana mamlaka ya kuvunja ndoa ya kikristo lakini kwakuwa mwanaume ameongea maneno yenye dharau inaonesha hana moyo wa toba na angeendelea na uzinzi hivyo wanaungana na mimi katika maamuzi yangu.
Walinishauri nifuate taratibu za kisheria kuvunja ndoa.

Kwa upande wa mdogo wangu yeye alishanifuata zaidi ya Mara kumi kuniomba msamaha, sikuona sababu ya kutomsamehe nilimsamehe na jana niliuthibitisha msamaha wangu katika kikao lakini nilimtahadharisha kutoendelea na shemeji yake nae hakupingana nami katika hilo.

Mwanaume ameanza vitisho kwamba nijiandae kupambana.
Binafsi siogopi nipo tayari kupambana lakini sipo tayari kuendelea kuishi na mwanaume fedhuli kama yeye.

Hapo ndipo tulipo fikia na najiandaa kutafuta talaka kisheria.

Asanteni sana naamini hili limepita imebaki utekelezaji wa utenguzi wa ndoa.

Nakaribisha michango yenu ya mawazo..

Pia niwashukuru kwa kampani yenu katika kipindi kigumu
Kuna kitu hakikuwa sawa kwenye hiyo mediation team,mojawapo ya principle ya mediation ni pande zenye mzozo ziridhie kwa HIARI kushiriki katika kikao.Nahisi alishinikizwa kuja kwenye usuluhishi...rejea majibu aliyotoa.Anyway cha msingi ni kujifunza tu kutokana na hili.
 
Hata Mimi nimeshukuru sana kuachana na dume lisilo na akili yaani atembee na mdogo wangu na kuzaa nae bado nimchekee tu Misha yeye no mwanaume.loh aende akafugwe huko
Utanisamehe sana kwa hitimisho langu hili.Hii ni story ya kutunga na sio tukio halisi lililokutokea.Majibu yako kwa watu wote waliochangia kinyume na matakwa yako yamedhihirisha hivyo.Nafikiria pia wewe huna ndoa tayari. Ni ama hujawahi kuolewa au ulishaachika.
 
Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Pole sana kwa maumivu na majanga toka kwa mumeo, ila yaonekana bado wampenda, ukipenda mtu umependa, samehe makubwa na madogo yanayotishia ndoa yenu, hapa mambo yangeisha vizuri tu kama tungejali mila zetu, lakini ndio hivyo tena, dunia ya leo sio kama ya wakati ule, mtoto kaja, sio kosa lake, mume katembea na mdogo wako, sawa kosa kubwa, ila yangeisha salama na wote mngeendelea na maisha ya kuwatunza watoto wenu, ila ndio hivyo tena, mila zetu zimekuwa za UK kama sio USA.
Kutana na mume wako myamalize muendeleze ndoa yenu, hata ukienda kwingine, haya yatakuwepo tu..Kuwa jasiri samehe pokea msamaha uendelee na maisha haya mafupi, utaolewa na kuachika mpaka lini?!
Narudia pole sana, ila bado ndoa yaweza kuendelea, kama mtataka bila ya kuwahusisha watu wengine, maana kumbekeni, chumbani mkilala mko wawili tu, basi ni nyie wawili mtayarekebisha haya, tena uzuri kuna mtoto ambaye ni damu yako, huyo ni wako, hata ufanyeje, kila la kheri..
 
au anatumia cha arusha maana dah
pole
Mungu akutie nguvu
 
Jaman hapa. Mm mawazo yangu .
Mwanaume angeanza kujishusha na sio kutetewa zaidi. Nasisitiza Nipo upande bibie. Na jamaa kuzaa na shemej yake ni kuzalisha ukoo mzima
Bora hata wewe,wengine sijui akili zao zimehamia wapi wanamtetea huyu fezuli utafikiri alifanya Jambo jema sana wakati ni aibu mtupu kwa familia za pande zote.
 
Ref. Kwenye bible kuna jamaa alitaka kumuoa msichana ila akatakiwa aoe kwanza dada mtu ndio baadae aweze kuoa mlengwa. Kwa wanaojua majina yao waseme
 
Ha ha ha ha ha mkuu pole pole asije kukusikia......ana majibu huyo utaja kimbia hapa jukwaani!!!
Ukweli bila mawe haiendi. Kima alijamba juu ya jiwe akaliambia hata kama hukusituka umepata hiyo harufu. Hata kama akitupa mawe ukweli utabaki ukweli. Mpaka mwanaume anambebena shemeji jua dada mtu ni kituko haswa. Na kwa nini ulete mdogo wako aishi kwako? Si umsaidie huko huko maana paka mwenye njaa hakai na panya
 
Back
Top Bottom