Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Pole sana na Mungu azidi kuwa nawe...wengine tumejifunza kupita kwako, asante kwa kushare story yako.
 
dah pole sana aisee, vp lakn kuhusu mtu mwngne akikupenda kwa sasa ni ruksa.
 
Huyu mtoto ni attachment ya kinafsi kati ya watu wawili. Kwa kuwa mmeshaazimia kumfungia vioo kifamilia na kama mazingira yanawaruhusu ni bora mhakikishe huyo mdogo wako anaishi mbali naye na mwanaume asijue chochote kuanzia afya ya mimba mpaka mtoto kama atazaliwa. Otherwise, kuna hatari ya kuja kukuta mmetwanga maji kwenye sandarusi.
Kama mke ameamua kuachana na mme wake hapo hamna namna ya mdogo mtu kuacha mawasiliano na aliyempa ujauzito. Yeye mwenye ujauzito aamue mwenyewe kama anamtaka muusika wa huo ujauzito au laa sio dada yake kumpangia kuwa aachane nae na wakati ana ujauzito wake
 
Habari zenu wadau wa MMU,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru mods na members wenzangu wote kwa mawazo, ushauri na michango yenu katika thread niliyoleta huku kipindi cha nyuma yenye kichwa kisemacho "mume wangu amempa mimba mdogo wangu"

Nimepata muda wa kutosha kutafakari michango ya mawazo yenu namna ya kumaliza tatizo hili na MUNGU amekuwa upande wangu na nimefanikiwa kufikia muafaka.

Jana ndo ilikuwa siku ya kukutana tena kwenye kikao pamoja na wazazi wa pande zote mbili na safari hii tukihusisha na wachungaji wetu na tulikaa na kufikia muafaka kama ifuatavyo;

Katika kusikiliza maelezo ya pande zote mbili yaani kutoka kwangu na kwa watuhumiwa, mume wangu aliamua kujibu vibaya kikao baada ya kuona anaandamwa na maswali ambayo haya kumfurahisha.

Nasikitika kusema alidiriki kujibu kuwa kama kosa limeshatokea waamue haraka yeye ana mambo ya muhimu ya kufanya kuliko hili.

Akaenda mbali zaidi kuwa hata wao wanajiona ni watakatifu kumuandama na maswali wana nyumba ndogo kibao sema ni kwa vile hawaja kamatwa. Pamoja nahayo akaongeza kuwa hajawahi jutia kosa lake kwani yule si dada yake wala hana ukoo nae kwahiyo ilikuwa ni sawa tu.

Wazazi wake walijaribu kumkatisha asiendelee kuzungumza lkn hakujali akapaza sauti zaid hapo ikabidi wamuache tu aongee mpaka amalize, aliongea mengi na magumu sana sina ujasiri wa kuyaandika hapa kwakuwa hayatamkiki kwa mtu mwenye akili timamu.

Baada ya kumsikiliza kikao kiliniuliza nasemaje kuhusu ndoa yangu.

Sikuwa na la zaidi, niliwaambia kwakuwa kwake ni jambo la kawaida sana na mimi kwangu si la kawaida nisingeweza kuendelea kuishi na mtu mwenye mtazamo tofauti.

Wachungaji walisema wao hawana mamlaka ya kuvunja ndoa ya kikristo lakini kwakuwa mwanaume ameongea maneno yenye dharau inaonesha hana moyo wa toba na angeendelea na uzinzi hivyo wanaungana na mimi katika maamuzi yangu.
Walinishauri nifuate taratibu za kisheria kuvunja ndoa.

Kwa upande wa mdogo wangu yeye alishanifuata zaidi ya Mara kumi kuniomba msamaha, sikuona sababu ya kutomsamehe nilimsamehe na jana niliuthibitisha msamaha wangu katika kikao lakini nilimtahadharisha kutoendelea na shemeji yake nae hakupingana nami katika hilo.

Mwanaume ameanza vitisho kwamba nijiandae kupambana.
Binafsi siogopi nipo tayari kupambana lakini sipo tayari kuendelea kuishi na mwanaume fedhuli kama yeye.

Hapo ndipo tulipo fikia na najiandaa kutafuta talaka kisheria.

Asanteni sana naamini hili limepita imebaki utekelezaji wa utenguzi wa ndoa.

Nakaribisha michango yenu ya mawazo..

Pia niwashukuru kwa kampani yenu katika kipindi kigumu

Tupo pamoja katika sala. Kila la heri
 
Kuna ndoa nimesuruhisha last week kama kiongoz wa kanisa na kwa kweli wanaume tuna shida kubwa sana ujeuri, majigambo na dharau. Mama endelea na maisha yako, ni bht mbaya tu ndoto hazijatimia, si wewe wa kwanza wako wengi hata huyu niliye mshauri wanavunja ndoa yao mwezi ujao.

Pole sana Mungu akusaidie
Mchungaji aliacha kondoo 99 akaenda kutafuta mmoja aliyepotea ili amrudishe kundini. Wewe kama mchungaji unasambaratisha kondoo wako badala ya kuwaweka zizi moja utaenda kuulizwa kwa Mungu. Mimi ndio maana siwwezi sali kwenye haya makanisa yanayoibuka kila kukicha na sijui kama wachungani huwa wanaenda shule
 
Huwa siongei na watu wajinga kama wewe.
Dada hukuja hapa kutaka ushauri ila umekuja kuona ni wangapi wanakusapot kwa maamuzi uliyofanya. Vile vile hata ulivoita kikako hakikua cha usuluishi bali ulitaka uangalie mmeo anavosutwa ili ujifurahishe nafsi. Fanya ufanyalo furaha utakayopata ni bandia lakini kwenye moyo wako ukweli unareveal na unateseka sana kama ni kweli. Get a man get a life
 
Pole dada,ila kwenye mchango wangu wa mwanzo nilikueleza kosa lako
la kumfukuza mmeo nyumbani kwako eti kisa ni kwako.
Haya yaliyotokea binafsi niliyategemea kwani kwa kitendo hicho
huyo mme alishaona ulivyomdharau,na hivyo kuendelea na mwanamke anayekudharau ni shida.

Maadamu kwako maji yameishamwagika,nishauri
endapo mwingine atakumbwa na mkasa kama huu,
hata kama ni kwako ni busara kuondoka wewe na mdogo wako maadamu alishakuangukia
mkaenda kwenu,kisha wazazi wako wangemuita au yeye aje mwenyewe muongee naye
nakuhakikishia mungeishia pazuri.Mwanaume hata kama amekosea anachukia kudharauliwa.
Kwa comment yako mkuu nimeupata ukweli......kwa leo sitosema kitu ntasema siku nyingine........mi niwape pole wote mume na mke!!!
 
Inaonekana ufahamu wako ni mdogo sana! Lakin sishangai maana shule zetu sikuhizi zipo kungoja umalize muda wa kuwepo shuleni ili upewe cheti.
Wapo wanawake wameishia darasa la saba au form 4 lakini wanahandle ndoa zao na mwanaume hatamani hata punje ya mwanamke mwingine. Hata kama sii mama yako basi bibi yako aliweza kuishi na babu yako huku bibi akiwa hajasoma na hakukua na dosari kwenye familia yao hadi generation inafika hadi kwako bahati nzuri unafanikwa kupata elimu. Elimu unayo ila unashindwa na maisha halisi duniani. Ingewzekana utumie elimu yako kupata furaha duniani. Get a man get a life and not the other way round.
 
Kwa aina ya majibu ya huyu bi mdada humu tena kwa watu asiowajua, unaweza kuona ni mwanamke wa namna gani. Just imagine ndo mke wako tena amekuzidi elimu maana ana masters ( pengine mme ana bachelor)?Vitu vingine unaweza tu kumshukuru Mungu kuondokana na mtu na namna hii.
 
Kwa aina ya majibu ya huyu bi mdada humu tena kwa watu asiowajua, unaweza kuona ni mwanamke wa namna gani. Just imagine ndo mke wako tena amekuzidi elimu maana ana master ( pengine mme ana bachelor)?Vitu vingine unaweza tu kumshukuru Mungu kuondokana na huyu mtu na namna hii.
Ha ha ha ha ha mkuu pole pole asije kukusikia......ana majibu huyo utaja kimbia hapa jukwaani!!!
 
Habari zenu wadau wa MMU,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru mods na members wenzangu wote kwa mawazo, ushauri na michango yenu katika thread niliyoleta huku kipindi cha nyuma yenye kichwa kisemacho "mume wangu amempa mimba mdogo wangu"

Nimepata muda wa kutosha kutafakari michango ya mawazo yenu namna ya kumaliza tatizo hili na MUNGU amekuwa upande wangu na nimefanikiwa kufikia muafaka.

Jana ndo ilikuwa siku ya kukutana tena kwenye kikao pamoja na wazazi wa pande zote mbili na safari hii tukihusisha na wachungaji wetu na tulikaa na kufikia muafaka kama ifuatavyo;

Katika kusikiliza maelezo ya pande zote mbili yaani kutoka kwangu na kwa watuhumiwa, mume wangu aliamua kujibu vibaya kikao baada ya kuona anaandamwa na maswali ambayo haya kumfurahisha.

Nasikitika kusema alidiriki kujibu kuwa kama kosa limeshatokea waamue haraka yeye ana mambo ya muhimu ya kufanya kuliko hili.

Akaenda mbali zaidi kuwa hata wao wanajiona ni watakatifu kumuandama na maswali wana nyumba ndogo kibao sema ni kwa vile hawaja kamatwa. Pamoja nahayo akaongeza kuwa hajawahi jutia kosa lake kwani yule si dada yake wala hana ukoo nae kwahiyo ilikuwa ni sawa tu.

Wazazi wake walijaribu kumkatisha asiendelee kuzungumza lkn hakujali akapaza sauti zaid hapo ikabidi wamuache tu aongee mpaka amalize, aliongea mengi na magumu sana sina ujasiri wa kuyaandika hapa kwakuwa hayatamkiki kwa mtu mwenye akili timamu.

Baada ya kumsikiliza kikao kiliniuliza nasemaje kuhusu ndoa yangu.

Sikuwa na la zaidi, niliwaambia kwakuwa kwake ni jambo la kawaida sana na mimi kwangu si la kawaida nisingeweza kuendelea kuishi na mtu mwenye mtazamo tofauti.

Wachungaji walisema wao hawana mamlaka ya kuvunja ndoa ya kikristo lakini kwakuwa mwanaume ameongea maneno yenye dharau inaonesha hana moyo wa toba na angeendelea na uzinzi hivyo wanaungana na mimi katika maamuzi yangu.
Walinishauri nifuate taratibu za kisheria kuvunja ndoa.

Kwa upande wa mdogo wangu yeye alishanifuata zaidi ya Mara kumi kuniomba msamaha, sikuona sababu ya kutomsamehe nilimsamehe na jana niliuthibitisha msamaha wangu katika kikao lakini nilimtahadharisha kutoendelea na shemeji yake nae hakupingana nami katika hilo.

Mwanaume ameanza vitisho kwamba nijiandae kupambana.
Binafsi siogopi nipo tayari kupambana lakini sipo tayari kuendelea kuishi na mwanaume fedhuli kama yeye.

Hapo ndipo tulipo fikia na najiandaa kutafuta talaka kisheria.

Asanteni sana naamini hili limepita imebaki utekelezaji wa utenguzi wa ndoa.

Nakaribisha michango yenu ya mawazo..

Pia niwashukuru kwa kampani yenu katika kipindi kigumu
Mm sio mchungaji, ww sikujui na mmeo simjui ila kwa uzito wa jambo busara zinahitajika sana katika hali ya kwaida mmeo anapitia wakati mgumu sana na kua nae kwa upande huo pia nakuwa nawe kwa maumivu unayopitia uko unakotaka kifika ni mbali sana ebu jaribu kujipa mda zaidi kabla aujaenda kutengua ndoa yako uliyofunga ukiamini mmeo ni mtu sahii jipe mda zaidi wa kufakari juilize maswali magumu ukichukua nafasi ya mmeo ndio ww ebu jaribu kukumbuka miez miwil mitatu kabla ya ilo tukio then chukua uamuzi mm binafai siamini kama ilo ni jambo gumu kupita yote ktk mahusiano ambalo solution yake ni ku divorse acha kuamin ktk nafas yako kifedha, kielimu beba jambo ilo as if haun vitu hivyo mtafute mmeo mpe nafs ya kumsikiliz mkiwa wawil endelea kumsoma mtazamo wake na jaribu kuonesh kwamb unataka kirud uone atalichukulia hilo as golden chance? Ata sema nn hay bil kuhusisha mtu yyt as friend mmeo.ameathirika kiakil hivy usihukum mtu ktk hal hiyo plz plz just that then nipe mrejesh nikupe ushauri wangu binafs nn naona nn ufany kama autojar
 
Wapo wanawake wameishia darasa la saba au form 4 lakini wanahandle ndoa zao na mwanaume hatamani hata punje ya mwanamke mwingine. Hata kama sii mama yako basi bibi yako aliweza kuishi na babu yako huku bibi akiwa hajasoma na hakukua na dosari kwenye familia yao hadi generation inafika hadi kwako bahati nzuri unafanikwa kupata elimu. Elimu unayo ila unashindwa na maisha halisi duniani. Ingewzekana utumie elimu yako kupata furaha duniani. Get a man get a life and not the other way round.
Hawa ni wale wanawake wanaotazama tamthilia za kifilipino na wanasahau kua yale ni maigizo wao wanataka kuyaishi,kisa eti kasoma shule analeta mbwembwe na masharti kwa mume,majibu yake kadhaa hapa yamenipa majibu ya huyu ni mwanamke wa namna gani.maisha halisi hayamtazami msomi wala asiyesoma,shule inanafasi ndogo sana ktk ndoa kudumisha mapenzi kitu kilichomponza huyu mtu,ngoja tu akome shetani amkomeshe,yeye anadhani mumewe tu ndo kamuacha MUNGU kumbe hata yeye kamuacha MUNGU bila kujua kwa kiburi cha uzima.vinginevyo MUNGU asingenyanyua jaribu kwake kama angekua ni mwanamke muombaji na asiye na dhambi.ndo mana nikamwambia rudi msalabani yeye kaishia kuniambia eti nina upeo mdogo,duh! wanawake wengine ni tatizo
 
Kwanza tabia ya kuwinda simu ya mme wako kama vile kikosi kazi cha Magu cha kusaka sukari iliyofichwa mnazitoa wapi.
Lazima ujifunze kuacha kumsuta mtu ikiwa tayari amekili madhaifu yake aswa mme wako. Nilikwambia kwenye mchango wangu wa awali kwenye post yako ya mwanzo ya kuwa wanaume ni kama mbuzi sisi wanaume kusema ukweli ukituchunguza sana hautataka kuolewa kabisa. Hata hawa unaoona wanakusurpot ni hapa tu lakini ikiwa unataka kumpima mwanaume uwezo wake wa kuvumilia miemko ya mapenz muweke karibu na msichana yoyote mzr akika huo ni mtihani mkubwa sana kwa wanaume. Binafisi uwa naangalia marafiki zangu na ujipima na kuwapima wenzangu naona kabisa wake zao wangejua kinachoendelea lazima ndoa zitavunjika mara moja. Lakini pia ebu fanya utafiti wapenzi siku izi wanawekeana mipaka kwenye simu tena unakuta mtu na mkewe wanawekeana makubaliano eti wasishike simu ya mwenza ivi ili nalo linaitaji mtu aende shule kubaini kuwa wote ni wazinzi.
 
MMU is the pearl full of thinktank, huu ushauri dada leah2 uchukue uufanyie kazi kabla hujakata kamba, nauona uhai wa ndoa yako.
Najua kwa sasa hutaliona hilo, lkn try to waste your time, implement this advice something good is coming, naona kama Mungu ametia sauti yake kupitia huyu mchangiaji.

Pili ameongea jambo kubwa linalotutatiza sisi sote wanaume kwa wanawake ile tabia ya kubeba elimu, fedha, umaarufu, mali na kutufanya tuviamini sana. Hizi ni neema tu tunapewa lkn zimegeuka simba mla ndoa na mahusiano yetu.
Mm sio mchungaji, ww sikujui na mmeo simjui ila kwa uzito wa jambo busara zinahitajika sana katika hali ya kwaida mmeo anapitia wakati mgumu sana na kua nae kwa upande huo pia nakuwa nawe kwa maumivu unayopitia uko unakotaka kifika ni mbali sana ebu jaribu kujipa mda zaidi kabla aujaenda kutengua ndoa yako uliyofunga ukiamini mmeo ni mtu sahii jipe mda zaidi wa kufakari juilize maswali magumu ukichukua nafasi ya mmeo ndio ww ebu jaribu kukumbuka miez miwil mitatu kabla ya ilo tukio then chukua uamuzi mm binafai siamini kama ilo ni jambo gumu kupita yote ktk mahusiano ambalo solution yake ni ku divorse acha kuamin ktk nafas yako kifedha, kielimu beba jambo ilo as if haun vitu hivyo mtafute mmeo mpe nafs ya kumsikiliz mkiwa wawil endelea kumsoma mtazamo wake na jaribu kuonesh kwamb unataka kirud uone atalichukulia hilo as golden chance? Ata sema nn hay bil kuhusisha mtu yyt as friend mmeo.ameathirika kiakil hivy usihukum mtu ktk hal hiyo plz plz just that then nipe mrejesh nikupe ushauri wangu binafs nn naona nn ufany kama autojar
 
Habari zenu wadau wa MMU,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru mods na members wenzangu wote kwa mawazo, ushauri na michango yenu katika thread niliyoleta huku kipindi cha nyuma yenye kichwa kisemacho "mume wangu amempa mimba mdogo wangu"

Nimepata muda wa kutosha kutafakari michango ya mawazo yenu namna ya kumaliza tatizo hili na MUNGU amekuwa upande wangu na nimefanikiwa kufikia muafaka.

Jana ndo ilikuwa siku ya kukutana tena kwenye kikao pamoja na wazazi wa pande zote mbili na safari hii tukihusisha na wachungaji wetu na tulikaa na kufikia muafaka kama ifuatavyo;

Katika kusikiliza maelezo ya pande zote mbili yaani kutoka kwangu na kwa watuhumiwa, mume wangu aliamua kujibu vibaya kikao baada ya kuona anaandamwa na maswali ambayo haya kumfurahisha.

Nasikitika kusema alidiriki kujibu kuwa kama kosa limeshatokea waamue haraka yeye ana mambo ya muhimu ya kufanya kuliko hili.

Akaenda mbali zaidi kuwa hata wao wanajiona ni watakatifu kumuandama na maswali wana nyumba ndogo kibao sema ni kwa vile hawaja kamatwa. Pamoja nahayo akaongeza kuwa hajawahi jutia kosa lake kwani yule si dada yake wala hana ukoo nae kwahiyo ilikuwa ni sawa tu.

Wazazi wake walijaribu kumkatisha asiendelee kuzungumza lkn hakujali akapaza sauti zaid hapo ikabidi wamuache tu aongee mpaka amalize, aliongea mengi na magumu sana sina ujasiri wa kuyaandika hapa kwakuwa hayatamkiki kwa mtu mwenye akili timamu.

Baada ya kumsikiliza kikao kiliniuliza nasemaje kuhusu ndoa yangu.

Sikuwa na la zaidi, niliwaambia kwakuwa kwake ni jambo la kawaida sana na mimi kwangu si la kawaida nisingeweza kuendelea kuishi na mtu mwenye mtazamo tofauti.

Wachungaji walisema wao hawana mamlaka ya kuvunja ndoa ya kikristo lakini kwakuwa mwanaume ameongea maneno yenye dharau inaonesha hana moyo wa toba na angeendelea na uzinzi hivyo wanaungana na mimi katika maamuzi yangu.
Walinishauri nifuate taratibu za kisheria kuvunja ndoa.

Kwa upande wa mdogo wangu yeye alishanifuata zaidi ya Mara kumi kuniomba msamaha, sikuona sababu ya kutomsamehe nilimsamehe na jana niliuthibitisha msamaha wangu katika kikao lakini nilimtahadharisha kutoendelea na shemeji yake nae hakupingana nami katika hilo.

Mwanaume ameanza vitisho kwamba nijiandae kupambana.
Binafsi siogopi nipo tayari kupambana lakini sipo tayari kuendelea kuishi na mwanaume fedhuli kama yeye.

Hapo ndipo tulipo fikia na najiandaa kutafuta talaka kisheria.

Asanteni sana naamini hili limepita imebaki utekelezaji wa utenguzi wa ndoa.

Nakaribisha michango yenu ya mawazo..

Pia niwashukuru kwa kampani yenu katika kipindi kigumu
Kama umefikia uamuzi,umataka mawazo gani?

Kikristo hiyo sio toba kwako wala kwa mmemo.

sikia mwanamke atamlinda mumewe.
Na kama umesamehe,omba Roho Mtakatifu akusaidie.
Unajua Yesu angehesabu makosa yetu,hakuna ambaye angesimama!

Kusamehe ni kusahau kabisa.
Usipotaka kusamehe,nenda kavunje ndoa yako mahakamani.
 
Back
Top Bottom