Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mkuu hapo kwenywe one woman show ndio nini mkuu tusaidie
Dada inaonyesha elimu ya dini ya kikristo hujafudhu.ndoa iliyofungwa kanisani kwa kutumia Biblia takatifu huwa haivunjwi.ndio maana hao wachungaji wamesema ufuate sheria kuivunja kwani hata wao hawana mamlaka ya kuvunja ndoa.huko serikalini utavunja ila ulimwengu wa roho unaenda kuzini tu huko.utakuwa kama yeye huyo mwanaume. nilikusoma mwanzoni ulivyoleta ule uzi hapa.hukupanga kusamehe.ulichopanga ni kukamilisha formality za kumtosa huyo mwanaume.uendako jifunze kusamehe sabini mara sabini hakuna mwanadamu mkamilifu chini ya jua.pia inaonyesha kwenye ndoa yenu ulikuwa una run one woman show.sorry to say that.
 
Leah 2 iyo Picha ya Avatah Ndo weyeee...story zingine VP..usije rogwaa kurudi ana Na huyo Huyoo bwana..Ivii umewai sikiaa MTU kachinjwaa au kauawa Na mumee..ndoo Sampuli izo..kama unabisha au hupendii kuisholi jidanganyee eti sijui ndoaa...ndoaa my foot!!kwa mume Gani...Tuliaa utapata Mr.Right.
 
NAHISI thread zako za hivi zina ART ndani yake maana naona kama series flani hiviii.... leah2 sema sawasawa

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Maumivu ya moyo ni makali sana hasa kwa mume inauma sana isikie tu..nilikuwa hata kula siwezi mpaka ikabidi mama aje ndo angalau akawa ananihimiza kula.
Nina kitabu kinaitwa "uponyaji wa moyo ulioumizwa "kwa uliyoyapitia Dada unahitaji ukipate usome ili upone majeraha ya moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leah2;
Nadhani wewe ni mtu wa maamuzi ya haraka haraka sana. Uliamua kusitisha kuzaa ili usome kwanza huku ukijua wazi kuwa upo kwenye ndoa. Sidhani wazo la kuendeleza kisomo alilitoa mumeo bali ni wewe mwenyewe. Mumeo alikuridhia japo shingo upande alipopata ka mwanya akamtumia mdogo wako ili aone kiumbe chake (mtoto).
Uamuzi wa pili ni kumkaribisha mdogo wako kwako mahali ulijua wazi kuwa kuna mwanamume, unaye lala naye kila siku. Hukuwaza kuwa, yawezekana akaamua kufanya kautafiti kuwa, hivi huyu mdogo mtu ni mtamu ka dadake? Ukadhani unakaa na malaika Gabriel ndani asiye na tamaa. Matokeo umeyaona.
Uamuzi mwingine mbaya ni kuwaleta jopo la watu ambao woote ulijua kuwa wapo upande wako ili kuja kukuhalalishia hiyo talaka unayofurahia kuwa utaitoa hivi karibuni.
Sawa kabisa, lakini naomba nikuambie; Tuliza munkari. Hao uliosema ati uliwaleta wachungaji, hawawezi kuihalalisha talaka yako. Ni neno la Mungu kuwa; Aliowaunganisha Mungu, mwanadamu, (Leah2) asiwatenganishe. Usiifurahie talaka, hiyo ni Passport ya kuingia kuzimu kwa Mkristo awaye yote. Hakuna talaka.
Sasa, tulia kabisa, rudi kwa Mungu wako, mlilie hata akusikie, akupe roho ya kusamehe, watume watu wema wamwendee huyo mumeo, wamweleweshe tu atapata akili mpya aone kosa lake, atubu, amrudie Mungu. Ndoa yako iliingia tu doa, usiikate nguo ati kwa sababu imeingia doa. Kumbuka nguo ni hiyo moja tu unayo.
Ati unasema, Sidhani ka nitamtamani tena mwanamume. Usitamani mwanamume mwingine, mtamani mumeo. Hata kama hatarudi mapema, mwombe kuwa, ukijisikia hamu saana usitumie "Midoli ya kichina/japan", mwombe uende alipo akutoe ham kidogo. Hutakuwa umezini bali ni mumeo tu mpaka kufa. Huu ndo ukweli japo shubiri. Kama ulikimbilia ndoa ya kikristo hayo ndo maukweli yake. Hakuna talaka bali lolote utakalo tenda, ni zinaa tuuu. Si mimi, ni Mungu kasema. Kwa kheriiiii kubali au kataa hii ndo kweli japo shubiri mesaa tuuu
Hivi ndoa za kikristo hazina talaka?
 
Mlitaka au mlifikiri atajibu nini?

Maji yakishamwagika hayazoleki.
 
Kuna ndoa nimesuruhisha last week kama kiongoz wa kanisa na kwa kweli wanaume tuna shida kubwa sana ujeuri, majigambo na dharau. Mama endelea na maisha yako, ni bht mbaya tu ndoto hazijatimia, si wewe wa kwanza wako wengi hata huyu niliye mshauri wanavunja ndoa yao mwezi ujao.

Pole sana Mungu akusaidie
Hivi utaratibu wa kuvunja ndoa kwa wakristo upoje
 
Siku hizi ukioa au ukiolewa badala ya kujiletea faraja na raha za maisha kwa kumpata mwenzio...kinyume chake unajiletea mahangaiko na mateso kwenye maisha yako......

Badala ya ndoa kuwa baraka na neema zimekuwa ni chem chem ya mabalaa na mafarakano kwenye maisha yako....

Siku hizi ukioa au kuolewa ni kama unajiweka karibu maradhi ya moyo na visukari visivyo na sababu.....au hata kifo kabisa.....

Siku hizi ndoa baada ya kujenga undugu wa karibu kwa kuunganisha familia mbili badala yake zinakuwa chanzo cha uadui baina ya familia mbili......

NDOA ZIMEKUWA NDOANO......
[emoji24]
 
leah2;
Nadhani wewe ni mtu wa maamuzi ya haraka haraka sana. Uliamua kusitisha kuzaa ili usome kwanza huku ukijua wazi kuwa upo kwenye ndoa. Sidhani wazo la kuendeleza kisomo alilitoa mumeo bali ni wewe mwenyewe. Mumeo alikuridhia japo shingo upande alipopata ka mwanya akamtumia mdogo wako ili aone kiumbe chake (mtoto).
Uamuzi wa pili ni kumkaribisha mdogo wako kwako mahali ulijua wazi kuwa kuna mwanamume, unaye lala naye kila siku. Hukuwaza kuwa, yawezekana akaamua kufanya kautafiti kuwa, hivi huyu mdogo mtu ni mtamu ka dadake? Ukadhani unakaa na malaika Gabriel ndani asiye na tamaa. Matokeo umeyaona.
Uamuzi mwingine mbaya ni kuwaleta jopo la watu ambao woote ulijua kuwa wapo upande wako ili kuja kukuhalalishia hiyo talaka unayofurahia kuwa utaitoa hivi karibuni.
Sawa kabisa, lakini naomba nikuambie; Tuliza munkari. Hao uliosema ati uliwaleta wachungaji, hawawezi kuihalalisha talaka yako. Ni neno la Mungu kuwa; Aliowaunganisha Mungu, mwanadamu, (Leah2) asiwatenganishe. Usiifurahie talaka, hiyo ni Passport ya kuingia kuzimu kwa Mkristo awaye yote. Hakuna talaka.
Sasa, tulia kabisa, rudi kwa Mungu wako, mlilie hata akusikie, akupe roho ya kusamehe, watume watu wema wamwendee huyo mumeo, wamweleweshe tu atapata akili mpya aone kosa lake, atubu, amrudie Mungu. Ndoa yako iliingia tu doa, usiikate nguo ati kwa sababu imeingia doa. Kumbuka nguo ni hiyo moja tu unayo.
Ati unasema, Sidhani ka nitamtamani tena mwanamume. Usitamani mwanamume mwingine, mtamani mumeo. Hata kama hatarudi mapema, mwombe kuwa, ukijisikia hamu saana usitumie "Midoli ya kichina/japan", mwombe uende alipo akutoe ham kidogo. Hutakuwa umezini bali ni mumeo tu mpaka kufa. Huu ndo ukweli japo shubiri. Kama ulikimbilia ndoa ya kikristo hayo ndo maukweli yake. Hakuna talaka bali lolote utakalo tenda, ni zinaa tuuu. Si mimi, ni Mungu kasema. Kwa kheriiiii kubali au kataa hii ndo kweli japo shubiri mesaa tuuu
Sijui ni nini umeandika hapa.
Seriously?
 
Hamna kitu hapo....
Wakati unafatilia talaka mnaendelea kulala kitanda kimoja.
Kubabake lazima atakua anakutia tu.
 
Kutoa mimba ni mauaji ya kiumbe kisicho kuwa na hatia, isitoshe ni kinyume na sheria za nchini pia ni dhambi mbele za Mungu. Kwahiyo hatatoa
Mungu akubariki sana dadangu, na akujaalie mume bora kuliko huyu mhuni, kwa sheria ya mungu huyu mwanamme anastahiki kupigwa mawe mbapa afe, hafai kuishi huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlitaka au mlifikiri atajibu nini?

Maji yakishamwagika hayazoleki.
Ameyamwaga maji kipumbavu yeye mwenyewe!

Kaacha mume aendako hatachukua mwanaume bikra, itabidi ang'ang'ane kumnyang'anya mtu.
Hili neno "SIKO TAYARI" atagundua lilimpoteza mazima.
 
Huu uzi ufungwe rasmi. Kuna mwingine umefunguliwa huko kuwa aliyepewa mimba amefariki katika ajali iliochukua familia yake yote.
 
Pole sana ila niulize tu kwa faida ya sisi tusiojua sheria
Ndao imefungwa kanisani na wanaowachunga pia wamekuja kwenye mjadala wa suluhu yenu ambao wao ni wataalamu wa biblia sasa iweje tena ukatafute talaka ktk mamlaka za kidunia wakati kitabu ulichotumia kufungia ndoa kipo???
Hapa kidogo napata tabu na biblia. Naomba ushahidi ktkt biblia kuwa mke na Mume hawaachani! Yasiwe ni maneno ya PAULO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndoa za kikristo hazina talaka?

Hazina talaka kabisa mkuu. Ukiachana naye huoi tena wala yeye asiolewe tena. Mt. 19 : 6 Hata wamekuwa sio wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
Wewe wataka kuutenganisha mwili??
 
Back
Top Bottom