Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Kwahayo majibu ya jamaa inaonyesha ww ndio ulimpenda sio yy au mapenz yalishaisha kwake inaonyesha km katili flan hv asie jali hukumgundua mapema dada mbona inaonyesha hakujal? Pole bhana watu wakipendwa hawapendek au ulikuwa na tabia ya kumnyima papunch ndio akachepuka
Pole sasa ndugu
 
Wee acha tu! Sidhani kama naweza taka mwanaume tena
Ndo maisha yalivyo ndugu yangu sio fair kabisa. Unakuta wanaume wastaarabu hatupati wanawake wanaojielewa na sisi tunaangukia kwenye wabovu
 
Kutoa mimba ni mauaji ya kiumbe kisicho kuwa na hatia, isitoshe ni kinyume na sheria za nchini pia ni dhambi mbele za Mungu. Kwahiyo hatatoa
Huyu mtoto ni attachment ya kinafsi kati ya watu wawili. Kwa kuwa mmeshaazimia kumfungia vioo kifamilia na kama mazingira yanawaruhusu ni bora mhakikishe huyo mdogo wako anaishi mbali naye na mwanaume asijue chochote kuanzia afya ya mimba mpaka mtoto kama atazaliwa. Otherwise, kuna hatari ya kuja kukuta mmetwanga maji kwenye sandarusi.
 
Naona vijana wanajaribu kuchanga karata zao....akili kumkichwa....ingawa wengine wanaanzia mbali...lakini lengo linafanana.....
 
Ndo maisha yalivyo ndugu yangu sio fair kabisa. Unakuta wanaume wastaarabu hatupati wanawake wanaojielewa na sisi tunaangukia kwenye wabovu
Hivi kuna mwanamke anayeweza kuwa kituko kwa mumewe?
 
Kweli kbsa nashukuru kwa kutokuwa na watoto maana ingekuwa kitanzi cha ukweli
Duuh! Kumbe dogo kaku overtake, kwani mko kwenye ndoa miaka mingapi? Labda na hilo la kuchelewa kuzaa lilichangia.
 
Je ulichukua muds kiss kwa Dhati kuombea?
Je ulifunga Mara ngapi?
Tons hailazimishwi kwa vikao.
 
Nilikuwa nikimkumbusha rafiki mmoja jambo akawa anacheka,
alikuwa ametoka kwenda msalimia rafiki ambae alikuwa kwenye ndoa kwa mwaka wa 2 hivi nikamuuliza je ulibeba zawadi yyte kuwapelekea wanandoa?
ananijibu aah ndoa yenyewe miaka 2 tu niwape zawadi?
nilimjibu hata ingekuwa ya miezi 6 wapelekee zawadi hata ya jogooo au mbuzi kabisa ,maana ndoa za sasa hata mwaka huwa hazifiki zimeshasambaratika na kuwaacha wahusika na maumivu ya ajabu ,
 
Kweli ndoa za siku hizi ni majanga aisee loh.... Anaona sawa tu kudadeki alitakiwa apigwe kipepsi cha mdomo ha ha ... Pole Mae ma'am Uzi yako ni muhimu zaidi ili upate furaha ya moyo wako
[emoji3][emoji3][emoji3] miss chagga umetisha ndao
 
Binadamu hajuti kwa kusakamwa bali kwa kupewa muda au kufanywa mpweke ili ajitafakari.

Pole sana Leah2.

Iko siku utapenda tena.
 
Hiyo ni story ya upande mmoja
Kama Mr wako angekuja humu kujitetea, wengi tungeweza kubadirisha hukumu na wewe kuwa mwenye hatia.

Kuita ndugu zako/zake na wachungaji ni kosa kubwa ambalo siku ukituliza akili utanielewa ninachokisema hapa.

Siku hizi kina dada hasa hawa waliokaa darasani kidogo ni shida ktk mahusiano..kelele/ujuaji/ ligi nyingi ndani ya nyumba bila kujua ndio chanzo cha matatizo makubwa zaidi ndani ya mahusiano/ndoa.
 
Mume wa huyu ndiye aliyeanza kuleta hiyo habari humu tunajua pande zote
 
Back
Top Bottom