Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Pole sana ila hata wewe uwe unawajuwa wake zetu hasa waliosoma. Ni shida na wanapenda kusifiwa ukimweleza ukweli uwe Na kifua cha kupata matusi. Huwezi kubadili ulimwengu ila kubali kutokubaliana. Ipo kwa bahati mbaya tuna watu ambao si wepesi kuelewa ila siku moja atakuelewa. Nakuapia mumewe alipata shida sana Na si ajabu k ya huyu mtoa mada alikuwa akiiona inavyovalishwa chupi tu. Hata mdogo mtu alikuwa anamhurumia shemejie MATESO ya kukosa papuchi akaamua kumsevu. Superiority complex ya mtoa mada ndiyo inamfanya dume lidharau hicho kikao. After all aliwafukuza katika Nyumba yake. Ingelikuwa Mimi naoa mdogo wake tunaanza moja
Kwa vyovyote vile wewe utakuwa muhenga au una vinasaba vya wahenga.
 
Pole na hongera kwa maamuzi magumu na mazur, lkn mwambie anavyokuona wa nini wengine tunajiuliza tutakupata lini...
 
Pole na hongera kwa maamuzi magumu na mazur, lkn mwambie anavyokuona wa nini wengine tunajiuliza tutakupata lini...
Hahahahaha! Amenipigia leo ananichimba mkwala niache kumdhalilisha jf
 
Hii story ya Leah imenifikirisha kidogo, what if my brother screwed my wife....? Sina wivu na kakangu akimla wife, mpaka hapa I find it okay. Sijui kwa nini lakini sitaona wivu...
 
Hii story ya Leah imenifikirisha kidogo, what if my brother screwed my wife....? Sina wivu na kakangu akimla wife, mpaka hapa I find it okay. Sijui kwa nini lakini sitaona wivu...
Unasema tu kwasababu hayajatokea siku yakitokea utajua ugumu wake
 
  • Thanks
Reactions: nao
Teh teh si Bora Jf hatufahamiani kuliko wewe alivyokudhalilisha kwenye ukoo wako.
Umeona eeh! Wanapenda kutukuzwa hawa viumbe utadhan ni miungu
 
  • Thanks
Reactions: nao
Unasema tu kwasababu hayajatokea siku yakitokea utajua ugumu wake
Leah, niko against infidelity na naipinga kwa nguvu zote. Lakini naona ni sawa tu wife akimegwa na bro. My bro is me, wanaweza tu kupeana, na wala ndoa haitaharibika.
 
Leah, niko against infidelity na naipinga kwa nguvu zote. Lakini naona ni sawa tu wife akimegwa na bro. My bro is me, wanaweza tu kupeana, na wala ndoa haitaharibika.
Wadanganye mazuzu..ikitokea hivyo basi huyo mkeo humpendi kbsa
 
Teh teh si Bora Jf hatufahamiani kuliko wewe alivyokudhalilisha kwenye ukoo wako.
Huyo Leah ndiye kamdhalilisha mmewe kwa kumfukuza kwa muda katika kipindi cha kusubiri kikao cha pili.Hivi unadhani wazazi wa huyu jamaa walijisikiaje kijana wao alipofukuzwa?probably ni wao walimwambia ahachane na huyo mwanamke kwa kuwa kamdhalilisha kwa kumfukuza.Nataka nikwambie hayo majibu ya jamaa kikaoni yalikuwa yana baraka za wazee wake.Husilolijua ni kwamba baada ya kikao cha kwanza wao upande wa kiumeni walifanya kikao pia jamaa akafunguka kule kama hata papuchi alikuwa anaifaid kwa kuitafakari bila kuigusa.So hao wazazi wake walikuwa wanawachora tu huyo Leah2 na wazazi wake na hao wachungaji.
 
Walifanya vizuri kukaa nakushauriana hayo maana muda si mrefu Leah atakua huru kuliko kuishi Na mtu ambaye utakua unawasiwasi nae hasa unapotembelewa Na ndugu.
 
Kwa vyovyote vile wewe utakuwa muhenga au una vinasaba vya wahenga.
Siyo uhenga ni experience Na kuwa mkweli. Hawa mabinti wanazidi sana. Naomba ajitokeze nimhoji hapa uwanjani muone Kama mkosaji si yeye. Inaeezekana hata siku moja hajawahi kumpikia mumewe ni Dogo tu hata kufua pichu za shemejie. Kubali au acha binti lazima uolewe na mwanaume anayekuzidi angalau umri, elimu na kipato. Atakayeweza kutoa amri. Siku hizi wanapenda kuoa (kuolewa na aliye chini yake) ili azame chumvini. Hebu Ona Mara huyu leah2 amefukuza mumewe Nyumbani Na huyu Mkebora
Ati naendesha Gari Mara napaki anatoka Mara nikawaweka kikao Na Housegirl; wake up hao ni waume au mamario?
 
Hahahahaha! Amenipigia leo ananichimba mkwala niache kumdhalilisha jf
Nitumie namba yake niwasaidie kuwasuluhisha. Tatizo kubwa ni kuwa kisomo hakiwasaidii. Unasoma masters lakini hujui kudraw sample hivi mkoje? Kama unavuta bangi unataka kuacha utaendaje kupata ushauri kwa Mchungaji ambaye hata bangi hajawahi kuiona? Kwa Kesi yako ulitakiwa kupata ushauri KWA akinamama kutoka makundi mawili wote ambao waume zao walishafumaniwa ila kundi la kwanza Ni lile ambalo waliachana baada ya fumanizi na la pili ni wale ambao walikomaa na ndoa. Hiyo ndiyo representative sample katika sekeseke yako. Hapa jf wengi ni watafuta k na mikuyati tu
 
Walifanya vizuri kukaa nakushauriana hayo maana muda si mrefu Leah atakua huru kuliko kuishi Na mtu ambaye utakua unawasiwasi nae hasa unapotembelewa Na ndugu.
yalishakukuta haya au unatheorize tu
 
Back
Top Bottom