Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

kwani shida ni nini ndugu okonkwo wether ni true or story yote yanafundisha da we kwanini kimekugusa kwamba haya hayapo ktk jamii am.muwe mnawaza unapojibu comment wakat mwingine unakuta serious case mtu anaumia .
Kuna watu wengine unawapuuzia ukishamjua mbwa kwa jina lake hawezi kukusmbua mkuu jf inafanya ujifunze mambo mengi saana ikiwamo jinsi ya kuishi na binadamu wenye tabia za ajabu ajabu na kuwavumilia............... so mpuuzie asikukwaze
 
Nikueleze kitu,
Kabla ya kumfumania Mke wangu nilisema nikimfumania mke namwacha. In short tupo wote sasa

huyu mama inaonyesha hata jikoni hafiki ni Mkuu WA kaya. Alikuwa anawanyanyasa mumewe Na Dogo. Ikabidi waungane kujifariji mwisho vikojoleo vikawa marafiki. Kosa ni lake Na unaambiwa mshika mawili moja humponyoka. Shule Na ndoa wapi Na wapi? Unaambiwa ukiona Mke WA mtu anasoma jua anakimbia familia kutafuta pumziko
Akili za matope hizo mkuu..Rudia kutafakari uje kwa upya.
 
Akili za matope hizo mkuu..Rudia kutafakari uje kwa upya.
Nakubali ila ndugu yangu acha kupata sweet side. Ukifumania jiangalie na wewe. Inaonyesha kwanza huna kauli nzuri. Nakushauri hata kama unataka kuachana naye (nadhani ulikuwa unatafuta kisingizio cha kumwacha), mtafute mkae chini muulize chanzo ni nini hadi akaanza kubanjuka na dogo. Naamini tulivyo wanaume atakueleza ili ujirekebishe kabla ya kuanza na mwanaume mwingine. Pili ndoto ati dogo amekula yamini hatamrudia achana nayo maana hivi vikojoleo ni hatari kilipolala kinaweza kulala tena. Afterall kuna MTOTO hiyo ni hatari maana sheria ya mtoto ya mwaka 2009 lazima mtoto wa kitanzania ajue biological father and mother, hivyo hakuna jinsi lazima watamtunza. Jua wewe kwa mtoto ni third party na mtoto ni wa baba na mama. Ningekuwa wewe ningekomaa na ndoa yangu maana ukiondoka unajikomoa tu. Nasubiri maoni yako
 
Dogo lazima aendelee naye, asikudanganye...! Fanya utaratibu iyo mimba iharibiwe fasta..itakutia doa maisha yako yote hapa dunian!
 
Kwenye thread yako ya MWANZO ulishaonye sha msimamo wako pengine aliichungulia .... so Kaamua kuja kuharibu kabisa ....nikuulize swali angeomba msamaa Je ungemsamehe!!!?
 
Pole Leah na hongera kwa kufikia muafaka, nakupongeza kwa hekima na busara uliyoonesha kipindi chote cha tukio hilo zito.
Nakuunga mkono ktk maamuzi yako.
Hongera pia kwa kumsamehe dogo.
Anza upya na Mungu atakusaidia kumpata mwenye mapenzi ya dhati. Kila la kheri
Roho mbaya hiyo, juzi ulishangilia ati maisha ya ndoa raha, sasa unamshauri mwenzio aachane na ndoa? Sikuelewi moniccca
 
Sasa mlikua mnaamuliza nini wakati ukweli wote mnaujua na yeye ni mkosaji mkubwa. Tayari ameshaathirika kisaikolojia mme wako huyo. Atajibu anavojisikia koz anaona dunia iko agaist yake. Mmekosea kweli kuweka kikao cha kumuuliza tena. Mngemwacha akae mwishowe angejutia na kuja kuomba samahani mwenyeww
Duuuuu! Hivyo eeeh?!! Eti Wamekosea??😕
Sasa mlikua mnaamuliza nini wakati ukweli wote mnaujua na yeye ni mkosaji mkubwa. Tayari ameshaathirika kisaikolojia mme wako huyo. Atajibu anavojisikia koz anaona dunia iko agaist yake. Mmekosea kweli kuweka kikao cha kumuuliza tena. Mngemwacha akae mwishowe angejutia na kuja kuomba samahani mwenyeww
 
Unajua mkuu iko hivi wanasema mjusi ukimbananisha sana kwenye angle hugeuka nyoka na paka hugeuka chui kama vile mbwa naye huwa simba yote haya ni namna tu ya kujaribu kujinasua kwenye huo mtego na usipokuwa makini wanakudhuru kweli. Na hili ndilo lililompata mume wa huyu mama.ila kwa mimi naamini angepata faragha angemuomba mkewe msamaha kwa dhati.
Hivi ulijisikiaje aliposema NIMEWAFUKUZA kwangu!!!! Si yeye ndiye angetimka? Hii inaonyesha mwanaume hakuwa na say katika hiyo kaya. Amefanya uanaume kama ni mbwi na iwe mbwi
 
Kuna wakati utajutia ulichofanya, maswali yalikuwa ya nini wakati kosa lake linaeleweka? Hakuna malaika unaweza kujikuta unakuta na mwenyewe tabia zaidi ya izo.
Seriously! Yaani hata baada ya kujibu mbofumbofu mbele wa wanafamilia na viongozi wa kanisa?? Ukidume wake apeleke mbele huko walahi. Kuharibu ni moja, na dharau juu?!! Na kwanini asipate mwenye tabia njema unamtabiria kumpata mwenye tabia mbaya zaidi ya hio??
 
Masuala ya ndoa humalizwa na wanandoa si third party!
Mkuu kuna point umei-miss. Swala hapa si tu kumbebesha mwanamke mwingine mimba. Swala ni jamaa kapiga na kujaza mimba MDOGO wa mke wake. Hilo ni swala la kifamilia. Kama tungekuwa tunakalisha vikao kila waume wakiwapa mimba wanawake wengine wachungaji wangekosa hata muda wa kwenda kanisani maana wangekuwa busy na kesi hizi
 
Seriously! Yaani hata baada ya kujibu mbofumbofu mbele wa wanafamilia na viongozi wa kanisa?? Ukidume wake apeleke mbele huko walahi. Kuharibu ni moja, na dharau juu?!! Na kwanini asipate mwenye tabia njema unamtabiria kumpata mwenye tabia mbaya zaidi ya hio??
Hahaha wanaume wanamambo ya ajabu wasubiri nao si wana mabinti watakapo tiwa mimba Na Mme mmoja ndo watajua heshima ni kitu muhimu sana.
Mtu anaonekana kafanya kosa badala aombe msamaha ndo kwanza analeta dharau.harafu eti mdada atishiewe atapata mbaya zaidi ya huyo.
Mungu si wa mmoja kuna siku Leah ataenjoy kwa kupata Mme mwema,mwenye maadili Safi Na hofu ya Mungu.
 
Neno inaweza kutokea siyo lazima yatokee, hayo uliyoyasema yametokea baada ya kuhojiwa. Ila namuombea huko anakokwenda na afanikiwe atakavyo.
 
Mkuu kuna point umei-miss. Swala hapa si tu kumbebesha mwanamke mwingine mimba. Swala ni jamaa kapiga na kujaza mimba MDOGO wa mke wake. Hilo ni swala la kifamilia. Kama tungekuwa tunakalisha vikao kila waume wakiwapa mimba wanawake wengine wachungaji wangekosa hata muda wa kwenda kanisani maana wangekuwa busy na kesi hizi
Mamito leah2 ndiye mlalamikaji na wala si mdogo wake aliyemtoa sadaka kwa mume wake! Tatizo ni ndoa kati ya huyo mume (x) na Leah2 na ndio waliotakiwa kusuluhishana si kuita ati wachungaji au wazazi
 
Mungu si wa mmoja kuna siku Leah ataenjoy kwa kupata Mme mwema,mwenye maadili Safi Na hofu ya Mungu
Ameen! Mbona wapo tu jamani!! leah2 - Njoo ujinenee Ushindi huku Mama, Mungu kamwe hamtupi mja wake. Muda wako ukifika amini usiamini, moyo utafunguka na utapenda tena.
 
Mamito leah2 ndiye mlalamikaji na wala si mdogo wake aliyemtoa sadaka kwa mume wake! Tatizo ni ndoa kati ya huyo mume (x) na Leah2 na ndio waliotakiwa kusuluhishana si kuita ati wachungaji au wazazi
Hili swala ni nyeti sana, tuache ushabiki wazazi wangetaka kujua mwenye ujauzito wa mdogo mtu wangesemaje? Mtoto akishazaliwa angefichwa babake au ingekuaje?
Leah alikua sahihi kabisa kushirikisha wazazi wa pande zote pia walezi/ waliowafungisha hii ndoa.
Mdogo mtu asingekua mjamzito ni kweli angemwondoa tu kisha wao wakayazungumza maisha yakaendelea bila wazazi wala ndugu.
Msimtetee huyu mharibifu jamani kama mna mabinti mtajaona siku wakijatendwa kama haya kua kumbe si vizuri.
 
Mamito leah2 ndiye mlalamikaji na wala si mdogo wake aliyemtoa sadaka kwa mume wake! Tatizo ni ndoa kati ya huyo mume (x) na Leah2 na ndio waliotakiwa kusuluhishana si kuita ati wachungaji au wazazi
Tuko pamoja. Kichwa kinasema "....mume wangu kampa mimba mdogo wangu..yaani baba/mama mmoja. Surely wazazi lazima wahusishwe maana kidume kimekula dada na mdogo. Pia, laana hii inahitaji uwepo wa Mungu hence Wachungaji. You see, mdhambi mwenzake na mume si mtu baki (jirani, colleague) bali mdogo wa mke!!!! Kwanza huyu Leah ana moyo sana aisee.
 
Hili swala ni nyeti sana, tuache ushabiki wazazi wangetaka kujua mwenye ujauzito wa mdogo mtu wangesemaje? Mtoto akishazaliwa angefichwa babake au ingekuaje?
Leah alikua sahihi kabisa kushirikisha wazazi wa pande zote pia walezi/ waliowafungisha hii ndoa.
Mdogo mtu asingekua mjamzito ni kweli angemwondoa tu kisha wao wakayazungumza maisha yakaendelea bila wazazi wala ndugu.
Msimtetee huyu mharibifu jamani kama mna mabinti mtajaona siku wakijatendwa kama haya kua kumbe si vizuri.
Jamaa kaichukulia poa sana hii issue kama vile ni sawa tu mume kuzaa na mke wa mdogo wake😡😡😡😡
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom