Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

Hahahahaha yaan jinsi watu wanavyoponda umu khaa nabaki kucheka tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliitumia kutoka mwanza kuja dar, kiukwel ni nzuri twapaswa kuipongeza serikali yetu japo mapungufu niliyoyaona ni kwenye time management, shirika bado haliko makin kwani ndege ilitakiwa itoke mwanza saa 7:15 jion bt walchelewa tukatoka saa 8:15 ucku
safi sana hizi ndo habari za kuanza kupigiwa kelele right on
 
mkuu tulikuwa tusafiri na ndege zetu hizi ijumaa ya tarehe 21 kwenda Mwanza kikazi asubuhi sema sasa wao walikuwa na route ya jioni tu saa kumi na moja kiukweli walinisikitisha sana sana yani toka asubuhi mnakuwa na route moja ya jioni tu? basi tukaenda kata Fast Jet bei 532000 go and return wakati wazalendo ilikuwa 360000 go and return. Hiyo ndo ingekuwa mara yangu ya kwanza kupanda Bombadier hivyo nikaikosa
but wao wana schedule zao,na hawawezi kuanzisha safari tu siku hiyo kisa ww unaenda mwanza kwa ndege
 
57a402e3ac542546c5859d2051523866.jpg
774da14de8e5d1654160acec7c0c1ff5.jpg
Mashallah..... kama unampiga kwenzi kinyago
 
Wengi hawajui hata airport ipo wapi ndiyo wapande ndege!!

Ukiwauliza kuhusu ndege za nchi yao watatoa kasoro mia Kidogo ila waulize kuhusu za Kenya ambazo wanazisikia tu watazisifia balaa wakati Kenya airways imetangaza kupata hasara. Smh
 
Hakuna wapandaji ndege humu wanachojua humu nikubinua midomo na kuichonga....labda unataka wakudanganye...
 
Tuipongeze serikali jamani kwa hili.Kwa walioanza kupanda ndege wakati ATCL wamechoka lazima watawadharau ATCL.ATCL ni wazuri kwenye biashara za ndege niliwatumia wakati wanaoperate boeing 737-200.Walikuwa wanaenda London, Jburg; Harare, etc.Naomba nitoe mrejesho jana nimewatumia Dar-Mwz.Wameanza vizuri tuwape support, tutumie ndege zao.Haya mambo ya kusema pangaboya hayana uzalendo.Kuna vitu vidogovidogo nilivinotice.Cockpit haikuwasiliana na abiria, weather,etc na kulikuwa na delay ya kuruka 30mins tukusubiri ndege zingine kutua.Cockpit haikutueleza.Snacks za bure ndani ya ATCL, carriers zingine snacks zinauzwa!Attendants wako vizuri, experienced lakini si wachangamfu sana.Watumishi wa serikali walazimishwe kuzitumia hizi ndege
Afadhali Mkuu umenena ukweli kwa kupanda tofauti na hawa ambao usafiri wao ni ordinary class ya bus 3x2 Dar Mza lazima waziponde
 
ushaelewa maana thusY umenikorekti
Hakuna haja ya kulazimisha watumiahi kupanda mapanga boy, wakifana hivyo ATCL hawatafika mbali. Inatakiwa wawe wabunifu na wawezi kushindana na katika soko kama wengine.
 
but wao wana schedule zao,na hawawezi kuanzisha safari tu siku hiyo kisa ww unaenda mwanza kwa ndege
sina maana hiyo ndugu unapo amua kuingia kwenye biashara ya ushindani lazima ujipange. Ungekuwa na hekima ungesema pengine kwa vile ndo wanaanza watakuwa na route nyingi baadae hapo. usipende kukaa kwenye mawazo ya watu na kuwalisha maneno
 
Back
Top Bottom