Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

Iko poa ila panga la kulia bado lina mawazo ya Canada linayumba sana
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Iko poa ila panga la kulia bado lina mawazo ya Canada linayumba sana
Duhhhhh we jamaaa muongo wewe.

Hivi marejesho yanatakiwa kuletwa na abiria
Waliokaa tu nyuma au rubani anaerusha ndege.

Maana Kama ni abiria atasema service ilikuwa nzuri/mbaya, siti ilikuwa comfortable or not .

Lakini rubani ndie atakae kwambia performance ya ndege na kila kinacho endelea na chombo hicho.
 
Kwa nauli zake zile alafu alafu mapanga yanazunguka takribani masaa 3 kutoka Dar to mwanza,bora nikate zangu tiketi ya fastjet bei ya kueleweka nipande hiyo ndege yao E 190 kitu jet injini Dar to mwanza takribani lisaa,yaani tukianza wote safari wazee wa mapanga shaa mnakuta nishashushia bia 4 pale Villa Park.
Boing zile za mwanzo Mtwara Dar, ilikua inatumia dakika 45, sasa Mtwara Mwanza iwe saa moja, itakuwa umesimuliwa, hakuna uwiana wa mgawanyo wa Muda hapo ona hii picha.
wp_ss_20161026_0001.png
wp_ss_20161026_0003.png
wp_ss_20161026_0002.png
 
Na sio wasipanda ndege tu, malizia za kulipa nauli, maana wengine wamepanda ndege, sio kwa nauliza zao, mfano mimi mwenyewe, nimepanda mara tatu, safari kikazi. Kulipa nauli ya ndege si kitu cha mchezo mchezo, usawa huu, Dar Mtwara nauli ya basi ni Tsh.22,000 chakula cha mchana unakula Mtwara, yataka moyo kupanda ndege.
Hahaahahahahah duh!
 
siwezi nikaacha airbus za fastjet nikaweka maisha rehani kwenye pangaboi..
 
Back
Top Bottom