Ndege za Kitanzania zinazoruka kwa mafuta ya bodaboda

Ndege za Kitanzania zinazoruka kwa mafuta ya bodaboda

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
8,287
Reaction score
14,592
Wahenga walisema penye nia hapokosi njia, hatimae leo tunashuhudia jambo jipya na ambalo unaweza kufikiri haliwezekani, Timu ya vijana 13 wa kitanzania mkoani Morogoro wamefanikiwa kupaa angani kwa mafuta ya bodaboda

Mainjinia hao wanatengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 500 pamoja na Sky leader 600, Mpaka sasa ni ndege 9 zilizo undwa na ndege 5 zilizo tear kwa matumizi

Lengo ni kutengeneza ndege kubwa za abilia na si kuishia hapo tu, Hii inawezekana hakika na ni ajabu, Tuwape moyo na kuwaunga mkono, Vijana wenye maono kama haya ni wachache sana hapa nchi.
 
Wahenga walisema penye nia hapokosi njia, hatimae leo tunashuhudia jambo jipya na ambalo unaweza kufikiri haliwezekani, Timu ya vijana 13 wa kitanzania mkoani Morogoro wamefanikiwa kupaa angani kwa mafuta ya bodaboda, Mainjinia hao wanatengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 500 pamoja na Sky leader 600, Mpaka sasa ni ndege 9 zilizo undwa na ndege 5 zilizo tear kwa matumizi, Lengo ni kutengeneza ndege kubwa za abilia na si kuishia hapo tu, Hii inawezekana hakika na ni ajabu, Tuwape moyo na kuwaunga mkono, Vijana wenye maono kama haya ni wachache sana hapa nchi.
Hakuna mafuta ya bodaboda, kuna PETROL
 
Acha ubishi usio na miguu kwani umeambiwa bodaboda inatembea na nini? kama siyo PETROL au unafiki inachomoka na DIASEL au OIL pekee!
Itakua oil chafu basi sio diesel wala petrol wakifika kurusha kwa kutumia mafuta ya kula niite nije
 
Back
Top Bottom