JF watu wote wanapanda A380 tuliobaki mabasi ndio zetu.Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Ndege zetu za kizalendo zimeanza kupaa angani. Mwanzoni watu walibeza sana uwezo, stability na speed zake.
Tunaomba mrejesho kwa waliozibanda ndege hizi.
Asante
Na sio wasipanda ndege tu, malizia za kulipa nauli, maana wengine wamepanda ndege, sio kwa nauliza zao, mfano mimi mwenyewe, nimepanda mara tatu, safari kikazi. Kulipa nauli ya ndege si kitu cha mchezo mchezo, usawa huu, Dar Mtwara nauli ya basi ni Tsh.22,000 chakula cha mchana unakula Mtwara, yataka moyo kupanda ndege.Wengi wanaoponda ni wale ambao pengine hawajawahi hata kupanda ndege.