Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

Hivi wanaochangia humu ni watanzania wa kuzaliwa! Au ni watanzania wa kuanfikishwa. Ina maana uzalendo wa kupenda vya kwetu na kuacha kubeza nako kunahitaji msaada wa marekani.
bora umesema maana roho imekwazika saana na mingi ya michango humu
 
Sijawahi kuona Nchi yenye watu wasio wazalendo kama Tz . Kwakweli Mheshimiwa ikiwezekana atumie viboko ndo tutakwenda
tumshauri mkuu wa kaya aende akachukue ujuzi wa uongozi kwa president kipanki ili aje anyooshe kipande hii !!
 
Back
Top Bottom