Nimecheka kwa sautiHakuna hata mmoja...wote humu ni pangu pakavu tia mchuzi
bhudogo!Hivi Kweli Zimeanza Safari ?
Mbona Ndege Zenyewe Zinazagaa Dar Tu Na Viunga Vyake Daily. Watu Wanangoja Sato Toka Mwanza
Migebuka Na Mawese Toka Kigoma
Korosho Kutoka Mtwara
Ila Kutwa Zinazagaa Dar Tu
Ni za kawaida tuu kwa short flightsNgoja wapandandege waje watuambie
Offer ya bure ipo. Itakuwa kutoka TANGA kwenda KATAVI. Na wewe upo Morogoro, hutapandaNitapanda labda...nasema labda kama watatupa muda(route za bure) ili kujifunza kuzitumia kama walivyofanya kwenye bus zetu pendwa zile za mwendokasi.hope watafanya hivi maana serikali yetu hii ni sikivu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dar to Mwanza 3 hrs? Kumbe ndege mpya hazipendagi ujinga
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Ndege zetu za kizalendo zimeanza kupaa angani. Mwanzoni watu walibeza sana uwezo, stability na speed zake.
Tunaomba mrejesho kwa waliozibanda ndege hizi.
Asante
Hahahaha,aisee hii kali.Ndege mpya abiria wa zamani!!
Nikajua umepanda na unaleta mrejesho!Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Ndege zetu za kizalendo zimeanza kupaa angani. Mwanzoni watu walibeza sana uwezo, stability na speed zake.
Tunaomba mrejesho kwa waliozibanda ndege hizi.
Asante