Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 26,003
- 96,256
Umetisha mkuuNi kama bajaj tu,
upepo wa kutosha
Si unajua pangaboi mwenzie feni!
Umetisha mkuuNi kama bajaj tu,
upepo wa kutosha
Si unajua pangaboi mwenzie feni!
Nahis wewe hata bas kwako ni tatizo kupandaTulikatiza Ziwa Viktoria injini ikawa imechemka sana tukashusha ndoo kuchota maji ya kupozea injini! Niliogopa aisee!!
chakula
asee umeongopewa dar mza ni lisaa limoja na dakika kadhaa ni tofauti na fast jet inayotunia 50minDar to Mwanza 3 hrs? Kumbe ndege mpya hazipendagi ujinga
Nani apande mapqngaboi siti za daladala za mbagala
washfanya hayo hukuwepo tuNitapanda labda...nasema labda kama watatupa muda(route za bure) ili kujifunza kuzitumia kama walivyofanya kwenye bus zetu pendwa zile za mwendokasi.hope watafanya hivi maana serikali yetu hii ni sikivu sana.
Mh, we kiboko! Yaani unafananisha ndege zetu na zile boat zenu za mabua na injini za toyo? Nenda ukapande kiukweli ndio uje utupe mrejesho, acha kupotosha!Tulikatiza Ziwa Viktoria injini ikawa imechemka sana tukashusha ndoo kuchota maji ya kupozea injini! Niliogopa aisee!!
Wewe uko tayari kumkataa mzazi wako kwa sababu ya mafanikio ya jirani yenuDar to Mwanza 3 hrs? Kumbe ndege mpya hazipendagi ujinga
Ha ha haaaa! Wa-Tz tumezidi kwa unafiki! Yaani watu hawawezi kutoa pongezi japo kidogo aiseee! Wacha mapangaboi yafanye kazi jamani, ila mkulu naye aachane na zile kauli kauli za kichunga ng'ombe!! Kama yanafanya safari za Entebbe naamini nitayapanda!! Kauli za kifugaji hazijengi!!Mh, we kiboko! Yaani unafananisha ndege zetu na zile boat zenu za mabua na injini za toyo? Nenda ukapande kiukweli ndio uje utupe mrejesho, acha kupotosha!
Hahaha kelele za bure kumbeHakuna hata mmoja...wote humu ni pangu pakavu tia mchuzi
KabisaWewe uko tayari kumkataa mzazi wako kwa sababu ya mafanikio ya jirani yenu