Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Ndege zetu za kizalendo zimeanza kupaa angani. Mwanzoni watu walibeza sana uwezo, stability na speed zake.

Tunaomba mrejesho kwa waliozibanda ndege hizi.

Asante
njoo PM nikupe mrejesho!!
njoonnn
 
57a402e3ac542546c5859d2051523866.jpg
774da14de8e5d1654160acec7c0c1ff5.jpg
Mmmmmh, hizo engine zimesimama au ndio speed zinaonekana km hazizunguukk
 
Kwani zina tofauti gani na panga boy za jeshi zenye mabenchi
 
Wengi humu wamepanic in dalili tosha wanachanja porini,wana uzoefu wa kuchimba dawa vichakani n.k
 
Hivi wanaochangia humu ni watanzania wa kuzaliwa! Au ni watanzania wa kuanfikishwa. Ina maana uzalendo wa kupenda vya kwetu na kuacha kubeza nako kunahitaji msaada wa marekani.
 
Hivi wanaochangia humu ni watanzania wa kuzaliwa! Au ni watanzania wa kuanfikishwa. Ina maana uzalendo wa kupenda vya kwetu na kuacha kubeza nako kunahitaji msaada wa marekani.
Ukiona watu wanabeza tambua kuna tatizo sehem
 
Sijawahi kuona Nchi yenye watu wasio wazalendo kama Tz . Kwakweli Mheshimiwa ikiwezekana atumie viboko ndo tutakwenda
 
sina maana hiyo ndugu unapo amua kuingia kwenye biashara ya ushindani lazima ujipange. Ungekuwa na hekima ungesema pengine kwa vile ndo wanaanza watakuwa na route nyingi baadae hapo. usipende kukaa kwenye mawazo ya watu na kuwalisha maneno
mnaponda kila kitu,je ilikua sawa shirika lina wafanyakazi 200+ hamna kandege kanakoruka,
 
Ndege hazina shida Dar Mwanza inatumia saa moja na dakika 40. Ile ground staff wana lugha mbaya kwa wateja na ni wababe haswa wa mwanza air port.!!!
 
Back
Top Bottom