Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

JF watu wote wanapanda A380 tuliobaki mabasi ndio zetu.
Kwanini unapenda kudharau watu wa Jf ? Sio mara moja naona comments zako za namna hii

Kwani kupanda ndege ni kitu gani ?
Au ndio unafikiria tupo enzi zile za ujima wanaopanda ndege ni gvt officials na matajiri ? Kwamba mshua wako akibahatika kupanda ndege basi anaogopwa kijiji kizima
 
Wewe vipi? Mimi nimesifia watu wa JF. Kwa maelezo ya wengi humu hawapandi pangaboi wanapanda jet sasa hio A380 sio jet? Hio dharau au nimesifia?
 
Wewe vipi? Mimi nimesifia watu wa JF. Kwa maelezo ya wengi humu hawapandi pangaboi wanapanda jet sasa hio A380 sio jet? Hio dharau au nimesifia?
Mimi poa acha kujifanya una akili nyingi sana ,unajua ulichomaanisha
Hiyo Airbus A380 imeanza lini kufanya safari za ndani Tanzania ? Na ni shirika lipi lina hizo fleet ?
 
Ndege zipo vizuri sana zaidi ya tunavofikiria, zinastability ya kutosha angani, cha zaidi naiomba serikali iongeze route zake
Mkuu,
Wewe ni mtu una akili ya nini upoteze muda wako kupigia mbuzi gita? Atacheza kweli?
Wengi kwenye kutoka marejesho wana zile sababu za Sungura.
Kushindwa kupanda juu anasema zabibu za juu mbichi!
 
Mimi poa acha kujifanya una akili nyingi sana ,unajua ulichomaanisha
Hiyo Airbus A380 imeanza lini kufanya safari za ndani Tanzania ? Na ni shirika lipi lina hizo fleet ?
Mkuu acha kunifuatilia utaumia kichwa bure. Kwani wewe ni mmoja wa waliosema hawapandi pangaboi?

Walioponda ndege ya shirika la taifa huwaoni unaniona mimi niliowasifia wapanda jet?
 
Kwa miguu inakuwa kilomita ngapi mkuu.
Kwa swali hili inamaana ni kweli hujui vipimo vya umbali, vinatofautiana kati ya ardhi na anga, au unatania wewe, acha hizo mkuu, unajua hapa ni darasa wengi tunaongeza vitu vichwani mwetu, hasa tunapoacha utani.
 
Watanzania noma aisee....hata ufanyeje watakunyeje...
Ndio maana kati ya watu wanne wawili ni vichaa
 
Watanzania noma aisee....hata ufanyeje watakunyeje...
Ndio maana kati ya watu wanne wawili ni vichaa
Ila mimi kwenye watanzania wanne, kila wakihesabu huwa nakuwa wa kwanza ama wa pili, kwa hiyo hata kininyemelea hakininyelei, nashukuru kwa Mungu kiniepusha na hilo.
 
Hii ni ndege yetu Air Tanzania Bombadya,katika muda wa dakika tano itapaa kutoka uwanja wa kimataifa wa Daressalaa kuelekea mwanza,abiria wote fungeni mikanda na blabla sijawahi kuzipanda ila alipenda ameniambia alisikia wakitangaziwa hivyo.
 
Mkuu acha kunifuatilia utaumia kichwa bure. Kwani wewe ni mmoja wa waliosema hawapandi pangaboi?

Walioponda ndege ya shirika la taifa huwaoni unaniona mimi niliowasifia wapanda jet?
Duuu yamekua hayo ya kufuatiliana tena ,hii ni forum kukuona humu kwa comments zako haina maana nakufuatilia
 
Back
Top Bottom