Mr. Nice amefulia yu hoi Taabani

it goes like this: everyone helps a girl removing her cloths during or before sex but nobody helps her in putting her cloths back after sex. 'once you are ****ed up nobody helps you'
Mzee hii imesimama hasa!
All in all nadhani pamoja na maoni tofauti yaliyotolewa katika thread hii bado tukubali kuwa wasanii wengi wa kibongo huwa wanajisahau sana na kudhani yale maisha ya kusifiwa na kukimbiliwa na wadada (sio wadada wote) huwa yatabaki milele! Hawana kabisa mipango endelevu baada ya muziki, na hii ni kwa wote tu hata wacheza filamu na wacheza soka. Kuna haja waamke na kuangalia mbele pia.
Pole Mr Nice, amka panguza makalio angalia namna ya kutoka tena, ulikuwa na jina kubwa sana tena hadi nje ya nchi haipendezi kama hii stori ni ya kweli.
 
it goes like this: everyone helps a girl removing her cloths during or before sex but nobody helps her in putting her cloths back after sex. 'once you are ****ed up nobody helps you'
Poor analogy! You are very insensitive! Shame??
 
Si vizuri kwa watu wenye busara kumtakia mabaya mwenzio hasa unapoona mambo yake yanapoharibika.Ni bora kama kweli unadhamila ya kweli ni bora ukamsadia badala ya kusema mr,nice kafulia.maisha ndo yalivyo na wewe kesho utafulia tu.
 
ujinga umemponza alizani pesa ya kuitangaza celtel haitakuja kwisha. mismanagement of money
 
ujinga umemponza alizani pesa ya kuitangaza celtel haitakuja kwisha. mismanagement of money

Hapana Mkuu sio Ujinga.... Watu kama Hawa wanahitaji washauri na kosa sio lake ni Management huwezi ukawa unauwezo katika kila department, thats why Taasisi inabidi ziwepo za kuwajali na kuwashauri hawa wasanii.
 
did he seek advice? si alijiona kamanda wa kutanua na mabinti kila ukicha na ukichwa?
 
did he seek advice? si alijiona kamanda wa kutanua na mabinti kila ukicha na ukichwa?

Where Could he have seek the advice.... kila mtu anayekuzunguka anataka kula kwa kupitia wewe na watu wanaweza wakawa wanajifanya wanakushauri kumbe ndio wabaya zako... na hili sio tatizo la Bongo tu ni Dunia nzima..... at least kama kungekuwa kuna kampuni zinazotoa labels za uhakika na kumpa msanii contract kwamba he belongs to a certain label ingekuwa bora sababu huyu msanii angekuwa asset kwa hii label na wangehakikisha kwamba asset yao haipotei
 
mzungu kapanda baskeliiiiiiiiiiiiiiiii bata kavaaa raizoniiiiiiiiiiiiiiiiii.......kile ndege hutua mti aupendaoooooooooooooooooooooooo.......its soooo SAD kuona big talent like this inapotea!!...ingawa sijui bata kavaa raizoni alikuwa anamaanisha nini haaaaaaa:biggrin1::welcome::welcome::A S 8:
 
Last edited by a moderator:
Hakuwa makini kwenye kutumia pesa....ila tumpe moyo atatoka tu asikate tamaa bado mdogo ki umri miaka 25 bado anaweza kuwika sana!
 
Mh!basi utakuwa bado mtoto,kwa kuwa yeye mashabiki wake wakubwa ni watoto,na nyimbo zake ni za kitoto!!

hizo ni opinion zako..
mie namjukuu lakini bado napenda kusikiliza twinkle twinkle little star...
dont judge me before you know me..
nice day..
 
ujinga umemponza alizani pesa ya kuitangaza celtel haitakuja kwisha. mismanagement of money

Nadhani hilo ndio tatizo la WASANII wetu wengi. Wao wakipata leo huwa wanatumia na kusahau kwamba kuna kitu kinaitwa KESHO. NICE bado mdogo akituliza akili na nyie mnaofahamiana naye na ambao kwa namna moja ama nyingine mlifaidika na pengine hata mlisaidia YEYE ku-mismanage mapato yake msaidieni ndugu yenu ainuke tena.
 
werawera%2B055.jpg
Mkorogo mwee
 
Na baaaaado si alizani Dunia imeganda haizunguki, na atakoma inawekekana akafulia mazima sababu takeu style haina soko na watoto wanapenda miziki ya wakubwa sasa hivi

Watoto na KIDUKU tu sasa hivi nini takeu???????????:sleep:
 
Back
Top Bottom