Mr. Nice amefulia yu hoi Taabani

jamaa sio mida hii juzi kati tulikuwa naye chobingo moja mchizi anatia huruma

DJ BABU, Ulikuwa nae wapi? Ni Msasani Club siku walipokuwa wanatumbiza AKUDO SOUND "WAZEE WA MASAUTI" Nakumbuka nilimwona Pale lakini alionekana kuwa Normal au Mzee ndio ulikuwa unamtoa kwa ULABU pale????
 
Kibaya zaidi kapiga picha na muuza sura ndio maana anazidi kuonekana dhoofu
 
Huyu dogo aache ubishi, mzazi mwenzie alifariki miaka kadhaa iliyopita though ilikua TB but that was ARD, dogo aende apime kama ndio vile atumie dose aishi kwa matumaini, ugonjwa ni ugonjwa accept the reality life will become easier. Mwangalieni Magic Johnson maisha poa tu sio sababu ya hela tu ni kufuata masharti lakini akijidanganya kuchanjwa chale imekula kwake.
 
namshauri arudi kwa kameta waanze upya... walikua wanatoana sana wakiwa pamoja sasa wote wameshuka
 
jamani,nini kufurahia kuanguka kwa mwenzenu,badala mumshike mkono mmwinue!acheni hizo,yaweza kuwatokea pia
 
Hivi mbona naona kama instead ya kusikitika watu kama vile wanashangilia.......

Kama Mr Nice anapitia anga hizi au kuna mtu anamfahamu amwambie kwamba really character is shown not when you are on top.... But when you are down and you have the strength to get up and carry on......

Na kwa wale ambao bado wako kwenye Game wakumbuke maneno ya Eminem.....

it goes like this: everyone helps a girl removing her cloths during or before sex but nobody helps her in putting her cloths back after sex. 'once you are ****ed up nobody helps you'
 
Kama atakua anaumwa basi kutakua na chain kubwa ile mbaya hata wewe waweza kuwemo kwenye list .....usimnyooshee kidole mwenzio.
 
Bado anaweza kusimama tena ni mipango yake Allah na anaweza kusimama tena namuombea kila la heri
 
Pole mr Nice, if u wanna kno the true friend share a problem.....
 
Hii ndio tabia zetu watanzania tunacheka mwenzetu akifulia kisa mnapenda kumuoana akiwa chini. Ndio maana hatuendelei
 
na rafiki yake dudu baya yuko wapi?

umenikumbusha enzi mr Nice anapanda kuimba kuku kavaa raizoni alafu dudu baya na bangi zake namfuata stejini na kumlipua na mangumi ha ha ha lol
bad end by the way
 
Kuna watu huwa wanafurahia sana mwenzao kushuka sijui kwa nini. Mr nice pull up ya socks
 
Tukumbuke: Kabla hujafa hujaumbwa. Leo kwangu kesho kwako!
 
Hii ndio tabia zetu watanzania tunacheka mwenzetu akifulia kisa mnapenda kumuoana akiwa chini. Ndio maana hatuendelei

watanzania huwa hatujui kutumia opportunity huwa tunazichezea huku tukijipa moyo kuwa tumia pesa ikuzoee ndo maana tunakuja kufulia vibaya
 
Back
Top Bottom