Mr. nice amefulia yu hoi... Taabani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mr. nice amefulia yu hoi... Taabani

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lucchese DeCavalcante, Jan 3, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  ??????????????????????
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Alishafulia siku nyingi huu ni mwendelezo tuu.
   
 4. KIPANYA

  KIPANYA Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Na baaaaado si alizani Dunia imeganda haizunguki, na atakoma inawekekana akafulia mazima sababu takeu style haina soko na watoto wanapenda miziki ya wakubwa sasa hivi
   
 5. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jamani mbona anaonekana mgonjwa???:redfaces::redfaces:
   
 6. akajasembamba

  akajasembamba Senior Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  SIKIO HALIZIDI KICHWA tumemnukuu
   
 7. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa sio mida hii juzi kati tulikuwa naye chobingo moja mchizi anatia huruma
   
 8. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  well mwambie achekeche akili arudi kivingine,hata musician mega stars,wanafanyaga 'come back' na kuendelea vizuri tu,asivunjike moyo.
   
 9. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  sio kosa lake maana watoto aliokuwa anawaimbia wameshakuwa wakubwa sasa.
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  he he hee,kuna watu mmepinda
   
 11. m

  mzambia JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kikulacho kumbe kinguoni mwako rafiki yako ndiye adui yako moja ya mashairi yake hayo
   
 12. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  na rafiki yake dudu baya yuko wapi?
   
 13. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  halafu picha zinazoletwa hapa ni za ben kinyaiya???yeye ni shushushu nini?
   
 14. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Si bure... atakuwa anaumwa huyu jamani. Tusifanye mzaha kwenye hili. Tunaomba wale walio na taarifa watujuze.. Hiyo hali kwenye picha inaonekana kama anasumbuliwa na kaugonjwa fulani....
   
 15. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thats affirmative
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kachoka kishenzi!
   
 17. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,072
  Trophy Points: 280
  umempimaa? watu wengine bwana, mnapenda kuhukumu watu wakati nyie wenyewe hata kupima hamjawahi. Kwa taarifa yako 4.5% ya watanzania wana kubwa kwa hiyo acha kunyooshea vidole wenzako jilinde na wajali na kuwapenda wanaoumwa. Na pia gonjwa alipimwi kwa macho bali kwa vipimo vya maabara. Mmekalia umbea tu
   
 18. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Choka mbaya!
   
 19. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hivi mbona naona kama instead ya kusikitika watu kama vile wanashangilia.......

  Kama Mr Nice anapitia anga hizi au kuna mtu anamfahamu amwambie kwamba really character is shown not when you are on top.... But when you are down and you have the strength to get up and carry on......

  Na kwa wale ambao bado wako kwenye Game wakumbuke maneno ya Eminem.....
   
 20. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,661
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red sijakuelewa, hivi kama anaumwa yeye ni mtu mzima atashindwa kwenda hospitali kweli mpaka wanaJF wote tushirikishwe jamani, eti unataka taarifa haya.....
   
Loading...