Mpenzi wa rafiki yangu ameoa lakini bado wanapendana

Naona hamjaelewa, nilichokimaanisha ni kwamba. Sometimes kupoteza pambano (maana hapo mdada keshapoteza kwa huyo kaka ) kunakuandaa vyema kwa ajili ya pambano jingine utalolipata na litakalokuja mbele yako.
Ahaaaaaa kumbe
 
Habari zenu humu wapendwa naamimini mko poa kabisa,

Mimi kuna rafiki yangu hapa ana jambo nimeshamshauri nimechoka, iko hivi;

Miezi 5 ilopita alipata mpenzi wakawa wanapendana sana, week 3 zilizopita mpenzi wake kaoa tena ndoa ya kanisani na hadi anaoa hajamwambia hadi anaingia ukumbini anamwambia rafiki yangu kuwa anampenda na hata kabla ya ndoa siku chache walikuwa wote na mwanamume alimwambia rafiki yangu amwamini atamuoa sasa baada ya harusi rafiki yangu akaona picha kwenye social media hizi rafiki wa mwanamume kapost na kuwasifia wamekaa katika uhusiano 8 years.

Rafiki yangu alichanganyikiwa sana nilipata shida kumshauri yeye anampenda sana mwanamume, baadae aliendelea kumtafuta mwisho wa siku wamepatana, mwanamume anamwambia alimuoa yule binti kwasababu wametoka nae mbali ila yeye bado anampenda sana rafiki yangu na mwanamume anasema kuwa "najua unanipenda kwa dhati sitaki kukupoteza.

So naomba univumilie nataka baadae tuwe mke na mume maana nimeona wewe unanifaa sana ila nilishindwa kukwambia tangu mwanzo maana nilijua utaumia unanipenda na nilikuwa naumiza sana kichwa nifanyeje maana kila kitu nilikuwa nimeshapanga na hili suala niachie mimi najua nitafanyaje, naumia sana juu yako" na huyu rafiki yangu alivyo na mapenzi ya kifo sasa yuko tayari anamsubria yeye na hataki mwanamume mwingine kabisa.

Nimeshaongea hadi nimechoka jamani, na mwanamume nae anakomaa kuwa anampenda kwasababu nyingi ikiwemo ya upendo wake kwake na jinsi rafiki yangu alivyokuwa anajitoa kwake na sa hivi wanawasiliana kama zamani.

Jamani nisaidieni kumshauri nimeshaongea had kesi na ikumbukwe hapo rafiki yangu hajampendea pesa yule kaka maana hajawahi muomba hela na hata akimpa hataki alikuwa akimwambia nakupenda wewe sio hizo pesa, pesa huisha ila wwe utabaki kuwa namimi. Na anasema yuko tayari kwa lolote hata akisema wazae na kuishi kama mpango wa pembeni.

Tumshauri nitamuonesha asome comments zenu maana humu kuna watu tofauti tofauti mmi hadi nishapata hasira.
Amekaa na mtu for 8 years unadhani wasingekuwa wanaendana wangekaa wote muda huo. Anamtumia tu rafiki yako kama mchepuko na anampa matumaini hewa ili mchepuko ukaee ukivumiliaaa kwamba ipo siku atamuacha mkewe. That may never happen hivi karibuni mpaka huyo dada atajikuta ashazaa watoto wa tatu na jamaa
 
Habari zenu humu wapendwa naamimini mko poa kabisa,

Mimi kuna rafiki yangu hapa ana jambo nimeshamshauri nimechoka, iko hivi;

Miezi 5 ilopita alipata mpenzi wakawa wanapendana sana, week 3 zilizopita mpenzi wake kaoa tena ndoa ya kanisani na hadi anaoa hajamwambia hadi anaingia ukumbini anamwambia rafiki yangu kuwa anampenda na hata kabla ya ndoa siku chache walikuwa wote na mwanamume alimwambia rafiki yangu amwamini atamuoa sasa baada ya harusi rafiki yangu akaona picha kwenye social media hizi rafiki wa mwanamume kapost na kuwasifia wamekaa katika uhusiano 8 years.

Rafiki yangu alichanganyikiwa sana nilipata shida kumshauri yeye anampenda sana mwanamume, baadae aliendelea kumtafuta mwisho wa siku wamepatana, mwanamume anamwambia alimuoa yule binti kwasababu wametoka nae mbali ila yeye bado anampenda sana rafiki yangu na mwanamume anasema kuwa "najua unanipenda kwa dhati sitaki kukupoteza.

So naomba univumilie nataka baadae tuwe mke na mume maana nimeona wewe unanifaa sana ila nilishindwa kukwambia tangu mwanzo maana nilijua utaumia unanipenda na nilikuwa naumiza sana kichwa nifanyeje maana kila kitu nilikuwa nimeshapanga na hili suala niachie mimi najua nitafanyaje, naumia sana juu yako" na huyu rafiki yangu alivyo na mapenzi ya kifo sasa yuko tayari anamsubria yeye na hataki mwanamume mwingine kabisa.

Nimeshaongea hadi nimechoka jamani, na mwanamume nae anakomaa kuwa anampenda kwasababu nyingi ikiwemo ya upendo wake kwake na jinsi rafiki yangu alivyokuwa anajitoa kwake na sa hivi wanawasiliana kama zamani.

Jamani nisaidieni kumshauri nimeshaongea had kesi na ikumbukwe hapo rafiki yangu hajampendea pesa yule kaka maana hajawahi muomba hela na hata akimpa hataki alikuwa akimwambia nakupenda wewe sio hizo pesa, pesa huisha ila wwe utabaki kuwa namimi. Na anasema yuko tayari kwa lolote hata akisema wazae na kuishi kama mpango wa pembeni.

Tumshauri nitamuonesha asome comments zenu maana humu kuna watu tofauti tofauti mmi hadi nishapata hasira.
 
Pale unapouacha moyo ufanye maamuzi wakati ni kazi ya akili.
Mtu wa hivyo kumshauri ni ngumuuu hadi limkute la kumkuta.
 
"Anatumia jina gani Facebook na instagram?"hahaha

Wadaku Siku hizi hilo swali lazima uulizwe.
 
Ebu Roma waruhusu angalau iwe Kuna ndoa mbili Tu!
Hahaaaaaaa khaaa jmn
Mnataka tulie zaid eeeh
Jst imagine ziwe mbili km naona wakaka watakavokuwa na akina bi mdogo wa kutosha

Ila watu wapo wana akina bi mdogo wengi tu ktk jamii na usikute wanataman ihalalishwe maana ss
 
Back
Top Bottom