Mpenzi wa rafiki yangu ameoa lakini bado wanapendana

Hataki pesa anataka udude hahahahaaaaa... Bora angekula pesa pengine angenunua smartphone iPhone kuliko kaliwa papuchi yake buuuure....
 
Hahaaaaaa[emoji23] [emoji2] kupenda jmn achen kuitwe kupenda uwiiii
Hilo nalo wazo zuri
 
Hahaaaaaaa khaaa jmn
Mnataka tulie zaid eeeh
Jst imagine ziwe mbili km naona wakaka watakavokuwa na akina bi mdogo wa kutosha

Ila watu wapo wana akina bi mdogo wengi tu ktk jamii na usikute wanataman ihalalishwe maana ss

Maana ni sisi tu, bora iruhusiwe tu Na ukiwa umevaa Pete ya ndoa vibinti vinavyokutolea macho.

Madai yao eti akiwa na mume wa mtu uhakika na hana usumbufu,

Ila huyu ni zaidi ya mchepuko maana jamaa alikuwa anamega kote na mpaka sasa anataka wote wawe wake zake.

Isikute mmoja ana hela ila kitandani hana manjonjo,

Sasa mwenye hela kashinda, Unacheza na maisha ya sasa nini!!
 
Hahaaaaaaaa
Kumbe ndo huwaga zenu hizo eeeh
 
Kama anampendA Sana jamaa amzalie mtoto Ili iwe kumbukumbu yake katika maisha.

Hii hapana raha ya mtoto awe na baba na mama,

Na sisi wanaume ndiyo sababu kubwa ila usiombe ukutane na mwanamke jeuri katika ndoa utakimbia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom