Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,017
- 156,464
- Thread starter
- #41
SawaHii ni maono Yao tu ila hajaleta lolote wao wanafikisha mawazo Yao tu Kwa jamii. Tokea Hawa walikuwa wanapeana utamu .
Hakuna jipya chini ya jua
SawaHii ni maono Yao tu ila hajaleta lolote wao wanafikisha mawazo Yao tu Kwa jamii. Tokea Hawa walikuwa wanapeana utamu .
Hakuna jipya chini ya jua
Sio Mzungu ni nyie kutojituma acheni kuwasifia hawajawalazimisha kuwaiga .Elimu ya jando ilikuwa bora mara 100 kuliko ya sasa. Ili reflect maisha yetu halisi na namna ya kuyamudu.
Elimu ya Afrka ilitueleza rasilimali ni nyingi kutuwezesha kututosheleza sote. Elimu ya mzungu ikatuambia rasilimali ni chache na adimu (scarcity of natural resources)
Matokeo yake akili zetu zimekuwa tegemezi. Tuna dhahabu tele tunaenda kuomba msaada wa kondom.
Matokeo yake tunapewa msaada wa condom na KY Jelly bure ila kwa masharti kwamba tuheshimu haki za mashoga na KY zigawiwe bure
Kwani New World Order ni nini dada?Sio Mzungu ni nyie kutojituma acheni kuwasifia hawajawalazimisha kuwaiga .
Ndoa ilianza na Mungu mwenyewe. Wao walileta harusi za ukumbuni na kuvaa shelaIla ndoa pia si walileta wao? Labda wameamua kubadilisha.
Wachina wameumba kabisa sex doll, hao hamuwagusi.Ni wapi nimewasingizia wazungu? Je sex dolls hazijaletwa na wazungu? Vipi kuhusu ndoa za mkataba hazijaanzia kwao? Ndoa na wanyama je? Ushoga?
Wengi wanaosema kataa ndoa ni ma jobless na wamekata tamaa ya maisha. Hao hawajui hata umuhimu wa mwanamke katika maisha yetu ya kila sikuVijana tunajiropokea tu "Kataa ndoa" "Kataa ndoa" hatujui tunapigia debe mpango wa shetani
Hapana hao ndio wanaoa basiWengi wanaosema kataa ndoa ni ma jobless na wamekata tamaa ya maisha. Hao hawajui hata umuhimu wa mwanamke katika maisha yetu ya kila siku
Kule China viwanda vingi ni vya westernersWachina wameumba kabisa sex doll, hao hamuwagusi.
Hapa bongo watu wananyetuka tangu kitambo. Sex dolls ni iPhone version tu ya kupiga punyeto😁😁.
Sio wao waliletaNdoa ilianza na Mungu mwenyewe. Wao walileta harusi za ukumbuni na kuvaa shela
Kabla ya ujio wa wazungu tulikuwa na ndoa zetu na sherehe zetu za kijadi za harusi.Sio wao walileta
Kwenye hoja yenye vingi kuna watakao chukua kimoja na kuna watakaochukua vyote. Hilo ni lazima.Nimeona mtoa mada kaongelea midoli ngono, lesbianism, gays, ndoa za mikataba na ndoa za wanyama. Hoja yako ijikite kwenye vyote sio kakitu kamoja tu
Shetani katika race ya Adamu aliingilia kwenye tendo la ngono na silaha hi hii ya ngono ndiyo atakayotumia kuleta kiyama.Kuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona.
Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda kwenye ndoa za mtu na mnyama, na sasa wanakuja na ndoa za jinsia moja, na pia kuna ndoa na masanamu (sex dolls)
Siku za usoni ndoa zitapoteza maana kabisa, na huenda zikawa bidhaa adimu kabisa.
Kizazi kinachokuja ni kizazi cha uzinzi na ulawiti.
Je Mungu ataruhusu tufike huko au ndio kiyama kimeshafika?
Tuendelee na kuwadhibiti mimi ntaanza kula mbususu za single mothers nione zina mnato gani na utamu wako mvuto wa idadi ya round 5 kama zinafikaKuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona.
Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda kwenye ndoa za mtu na mnyama, na sasa wanakuja na ndoa za jinsia moja, na pia kuna ndoa na masanamu (sex dolls)
Siku za usoni ndoa zitapoteza maana kabisa, na huenda zikawa bidhaa adimu kabisa.
Kizazi kinachokuja ni kizazi cha uzinzi na ulawiti.
Je Mungu ataruhusu tufike huko au ndio kiyama kimeshafika?
Nini kigumu kuelewa? Mtoa mada kasema ndoa. Wewe unaongelea ngono. Ndoa ni zaidi ya ngonoKwenye hoja yenye vingi kuna watakao chukua kimoja na kuna watakaochukua vyote. Hilo ni lazima.
Ukiongelea Ushoga, nenda Zanzubar, huko hayo mambo yapo tangu kabla ya utandawazi. Je walipelekewa na wazungu?
Tanzania bara niliwahi shuhudia miaka ya themanini, kipindi hicho hakuna mitandao wala tv, vijana ambao hawakuwahi kutoka hata nje ya kijiji wakienda kuchunga ng'ombe wengine walikua wakilana wenyewe kwa wenyewe tena wa jinsia moja, huku wengine wakufanya mapenzi na Mbuzi na ng'ombe, na hao hawakuwahi kuona TV, wala kusoma magazeti.
Tabia hujengeka ndani ya mwanadamu, na jamii nyingi hufanya mengi kwa usiri sema wengine hufanya kwa uwazi, lakini haimaanishi kuwa wao ndiyo waanzilishi.
Hivi cha Malawi na cha Arusha kipi kitamu zaidi?Sio Mzungu ni nyie kutojituma acheni kuwasifia hawajawalazimisha kuwaiga .
hao walio tuletea dini wao walizitoa wapi?Na wao si ndio walikuletea dini na imani zao...mkaacha za mababu zenu mkafata za kwao
Acha waue tu!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app