Kwenye hoja yenye vingi kuna watakao chukua kimoja na kuna watakaochukua vyote. Hilo ni lazima.
Ukiongelea Ushoga, nenda Zanzubar, huko hayo mambo yapo tangu kabla ya utandawazi. Je walipelekewa na wazungu?
Tanzania bara niliwahi shuhudia miaka ya themanini, kipindi hicho hakuna mitandao wala tv, vijana ambao hawakuwahi kutoka hata nje ya kijiji wakienda kuchunga ng'ombe wengine walikua wakilana wenyewe kwa wenyewe tena wa jinsia moja, huku wengine wakufanya mapenzi na Mbuzi na ng'ombe, na hao hawakuwahi kuona TV, wala kusoma magazeti.
Tabia hujengeka ndani ya mwanadamu, na jamii nyingi hufanya mengi kwa usiri sema wengine hufanya kwa uwazi, lakini haimaanishi kuwa wao ndiyo waanzilishi.