Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,872
6,281
Kwa uchunguzi wangu binafsi nimeona ndoa nyingi sana zinapata changamoto ya kupata mtoto.

Hapa mjini wadada karibu wote wameharibika. Ndiyo maana wengi hata wakibahatika kuolewa kupata mtoto inakuwa tabu sana. Na wengi wao hawazai kabisa.

Wanawake wengi wa mjini Mjini wanatumia vizuia mimba tangu wakiwa wadogo sana matokeo wanavuruga mfumo wa uzazi,vijijini hawajui hayo mambo wanazaa mapema

Wadada wengi ujanani kipindi hawajaolewa p2 wanameza kama panadol..siku wakitaka kushika mimba ni mtafutano mara uvimbe..mara pid..mara hormonal imbalance. uzazi Sasa hivi kwa wanawake ni wa kutafuta kwa tochi.

Vidonge vya uzazi wa mpango vimepoteza Sana kizazi Cha wanawake. Matumizi ya p2 ujanani yanaleta balaa sana mbeleni kwenye ndoa.

Familia nyingi siku hizi zinaishia kuwa na mtoto mmoja. Ambaye anapatikana kwa mbinde sana.

Hapa chini ni somo jepesi la Muda sahihi wa kuzaa

1.WANAWAKE(WOMEN)

Wazungu wanasema Fertility is Ageist..ikimaanisha umri ndo unaweza ukaadhiri Afya Ya mtoto wako kwa Wanawake wanazaliwa na mayai kamili ambayo hupungua kiasi na Quality miaka inavyoenda..Mwanamke anavyozeeka uwezekano wa kupata mimbe unapungua chances za kupata risk mbali mbali kama miscarriage zinaongezeka!!

-Akiwa Miaka 32 uwezo wa Kuzaa unapungua ILA KIDOGO sana.
-Akiwa na Miaka 35 uwezo wa kuzaa unapungua kwa SPIDI ya Juu sana
-Akiwa na Miaka 40 uwezo wa kuzaa unakua umepungua kwa Nusu
-Kuanzia Miaka 20-31 uwezo wa kuzaa unakua asilimia 40% kwa kila mwezi ILA above 40 ni 5% sasa ukizaa Late unaweza kupata risks kama still birth(mtoto kufa esp age ya 35 hapo) kuanzia 40 kwenda Juu its a Miscarriage unapata

2.WANAUME(MEN)
As women,quality Ya sperms Inapingua as a man Ages mpka inafikia Point hawezi kumpa mwanamke mimba kabisa!
-Akiwa na Miaka 40 na zaidi uwezo wa kumpa mwanamke unapungua kutokana na kupungua kwa MOTILITY(kukimbia kwa sperms kufuata Yai) akiwa 45 kwenda Juu mtoto atakaemzaa atakua na matatizo kiafia
-Akiwa 20-40 hapa uwezo wa kuzalisha upo vizuri na anaweza kupata watoto kama wote Bila shida Yoyote kabisa!!!!

HIVYO TUJITAHIDI KUFUNGA NDOA MAPEMA. MWANAMKE CHINI YA MIAKA 25 AOLEWE NA MWANAUME KABLA HUJAVUKA 30 UWE UMESHAOA.

Hii itasaidia kutatua hili tatizo la uzazi kwenye ndoa nyingi za kisasa
 
Chomoa chomeka mwisho uchomoe kizazi
Ndo matokeo yake haya plus p2 alafu ukiwa unawaambia vina KUONA kama boya Fulani hivi mshambamshamba WA Jiji Sasa subiri UWAKUTE wanavyo suffer kupata watoto Hadi huruma
 
Uzazi umekuwa na changamoto kwa kweli ni mwendo wa operarions watoto kufariki kabla hawajazaliwa etc

Sababu wanawake wanachelewa kuzaa.. mwanamke above 30 yrs kubeba mimba yake ya kwanza ( first born ) huwa ni hatari sana kwa huyo mwanamke na hata mtoto.

Complications za mimba na misscariage ni nyingi sana kwa mwanamke mkubwa.
 
Nina ndugu yangu ameolewa akiwa na 27lakini mwaka wa pili huu anahangaika mtoto,nae kachelewa? Maana pia hospital kaambiwa ana uvimbe sasa sijui itakuaje na mme wake mpare yule kama atavumilia

Miaka 27 huwezi kusema amewahi..

Pia ni ngumu kukutana na binti mwenye miaka 27 ambaye hajawai kufanya mapenzi huko nyuma. Huwezi jua Kipindi anafanya mapenzi huko nyuma alikuwa anatumia vidonge vya uzazi kama p2. Kwa kuogopa kupata mimba kabla ya ndoa.. baada ya kuolewa ndipo anajiachia ili apate ujauzito.. ndipo anakutana na side effects za vidonge vya uzazi alivyomeza zamani enzi zake hajaolewa
 
Kwa uchunguzi wangu binafsi nimeona ndoa nyingi sana zinapata changamoto ya kupata mtoto.

Hapa mjini wadada karibu wote wameharibika. Ndiyo maana wengi hata wakibahatika kuolewa kupata mtoto inakuwa tabu sana. Na wengi wao hawazai kabisa.

Wanawake wengi wa mjini Mjini wanatumia vizuia mimba tangu wakiwa wadogo sana matokeo wanavuruga mfumo wa uzazi,vijijini hawajui hayo mambo wanazaa mapema

Wadada wengi ujanani kipindi hawajaolewa p2 wanameza kama panadol..siku wakitaka kushika mimba ni mtafutano mara uvimbe..mara pid..mara hormonal imbalance. uzazi Sasa hivi kwa wanawake ni wa kutafuta kwa tochi.

Vidonge vya uzazi wa mpango vimepoteza Sana kizazi Cha wanawake. Matumizi ya p2 ujanani yanaleta balaa sana mbeleni kwenye ndoa.

Familia nyingi siku hizi zinaishia kuwa na mtoto mmoja. Ambaye anapatikana kwa mbinde sana.

Hapa chini ni somo jepesi la Muda sahihi wa kuzaa

1.WANAWAKE(WOMEN)

Wazungu wanasema Fertility is Ageist..ikimaanisha umri ndo unaweza ukaadhiri Afya Ya mtoto wako kwa Wanawake wanazaliwa na mayai kamili ambayo hupungua kiasi na Quality miaka inavyoenda..Mwanamke anavyozeeka uwezekano wa kupata mimbe unapungua chances za kupata risk mbali mbali kama miscarriage zinaongezeka!!

-Akiwa Miaka 32 uwezo wa Kuzaa unapungua ILA KIDOGO sana.
-Akiwa na Miaka 35 uwezo wa kuzaa unapungua kwa SPIDI ya Juu sana
-Akiwa na Miaka 40 uwezo wa kuzaa unakua umepungua kwa Nusu
-Kuanzia Miaka 20-31 uwezo wa kuzaa unakua asilimia 40% kwa kila mwezi ILA above 40 ni 5% sasa ukizaa Late unaweza kupata risks kama still birth(mtoto kufa esp age ya 35 hapo) kuanzia 40 kwenda Juu its a Miscarriage unapata

2.WANAUME(MEN)
As women,quality Ya sperms Inapingua as a man Ages mpka inafikia Point hawezi kumpa mwanamke mimba kabisa!
-Akiwa na Miaka 40 na zaidi uwezo wa kumpa mwanamke unapungua kutokana na kupungua kwa MOTILITY(kukimbia kwa sperms kufuata Yai) akiwa 45 kwenda Juu mtoto atakaemzaa atakua na matatizo kiafia
-Akiwa 20-40 hapa uwezo wa kuzalisha upo vizuri na anaweza kupata watoto kama wote Bila shida Yoyote kabisa!!!!

HIVYO TUJITAHIDI KUFUNGA NDOA MAPEMA. MWANAMKE CHINI YA MIAKA 25 AOLEWE NA MWANAUME KABLA HUJAVUKA 30 UWE UMESHAOA.

Hii itasaidia kutatua hili tatizo la uzazi kwenye ndoa nyingi za kisasa
Kwa Wanawake nakubali,lkn kwa Wanaume nakataa,age doesn't matter,ndio Maana Vijana wanasema "Ng'ombe hazeeki maini".Leta Source ya andiko lako with Scientific proof from recognized Academic Institution,ambayo inasema Mwanaume anapungua uwezo kadri ya Umri unavyozidi kuongezeka.Tumeshudia Wazee wa miaka Themanini wakizaa watoto na mabinti wadogo na kupata watoto wazuri tu.
 
Miaka 27 huwezi kusema amewahi..

Pia ni ngumu kukutana na binti mwenye miaka 27 ambaye hajawai kufanya mapenzi huko nyuma. Huwezi jua Kipindi anafanya mapenzi huko nyuma alikuwa anatumia vidonge vya uzazi kama p2. Kwa kuogopa kupata mimba kabla ya ndoa.. baada ya kuolewa ndipo anajiachia ili apate ujauzito.. ndipo anakutana na side effects za vidonge vya uzazi alivyomeza zamani enzi zake hajaolewa
Ambae hajawai tumia jee chance ipoje
 
Back
Top Bottom