Mpaka sasa sijaona ubaya wa shetani

Mpaka sasa sijaona ubaya wa shetani

Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine. Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi, kwa fact hizi
  • Pale bustani ya edeni Mungu alimficha Adamu na Hawa jambo. Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri
  • Unaweza muomba Mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea
Ndio hivyooo
Mbona humwombi maisha yako yakawa mazuri zaidi?
 
Siri ambayo hamuijui na hamtakuja kuijua.

mpka atokee mtuu ambaee ameamua kuwambia ukweli kuhusu mambo yanayo endelea njee ya ulimwengu tunao iishii..

Kuna Siri nzito saanaa juu ya maisha ya waanaadamu na viumbe wengine..


Kuna zaidi ya mamilion ya viumbe ambao hawamtambui mungu Wala kujua Kuna mungu..

Wao huishi kwa Mila desturi na tamaduni zaoo

Ingawaje wapo viongozi wao ambao hao viumbe wanawaona na kuwaheshimu kama sehemu ya mamlaka ya ibada zaoo..

"LEO NATOBOA SIRI YA UKWELI ULIOFICHWA KWA ZAIDI YA MIAKA ELFU MBILI" ..



Kwanza kabisaa bilashaka hakuna mwaanaadamu yeyote yule anae ijua historia ya mungu na asili yake..

ukisoma vitabu vya dini za waanaadamu hazikupi ukweli ulionyooka ,ulioshiba na usio na mafumbo zaidi ya maswali ya kujiuliza Tena..

MCHANGANUO WA UELEWA

(yaani ukijibiwa na viongozi wa dini za waanaadamu itabidi ujiulize Tena.

Sasa kwanini ivi au kwanini ilikua ivyoo..

na unapo rudisha swali Tena Hilo Hilo ili upate mchanganuo wa majibu Tata.
viongozi hao au kiongozi huyo anakwambia utapata dhambii. Mwache "MUNGU AITWE MUNGU".)

mf:- dini moja ilijaribu kutoa angalau mafikirio ya kukisia historia na asili ya mungu.. [emoji3591]1:1-"hapo mwanzo mungu aliziumba mbingu na nchi"

.lakini kama binaadamu unatamani kujifunza zaidi kuliko kuelewa..

Sawa aliziumba mbingu na nchi.
lakini je..!!?
Yeye ni nani?? Alitoka wapi?? Kwanini alikuwepo?? .. hapa waislamu watakwambia الله يعلم.(allahu ya'alamu)

maanayake mungu ndio mjuzi mkuu..

kama utapata majibu haya bila kutumia vitabu vya dini za waanaadamu basi jitambue sasa..


Majibu mengine sio lazima usome quraani au injili jiulizee wewe tuu na utagundua kuwa unapaswa uishi vipi hapa duniani.. kwa sababu wao watakujibu kupitia majibu ya vitabu vyaoo..

MUNGU NA SHETANI.

MUNGU:- ni aina ya nomino dhahania
Ainaa hi ya nomina ni mafikirio tu..
Neno (nomino) manayeke ni jina..
Kwahiyo tafsiri ya dhahania bila dini za waanaadamu kutokana na historia ya huyo na asili yake ni kwamba..

MUNGU:--mungu ni ROHOO kuu iliyo na nguvu kubwa ya utakatifu na mamlaka juu ya roho zote.

Na ndio maaanaa roho yoyote ile ikiwa kuu na kuwa tu na nguvu kubwa ya utakatifu juu ya jamii fulani
Roho hiyo inaweza ikawa MUNGU.
wa mahali hapo kama tuu ikitimia maana hiyoo ya kidhania..

MCHANGANUO ZAIDI.
Zipo zaidi ya dini kuu 7 tuu duniani ambazo ni
CHRISTIANS [emoji3591] wakristo
ISLAM⁦[emoji3591]⁩ waislamu
HINDU[emoji3591] wahindi
BUNDHAA[emoji3591] watu wa mashariki ya kati.ya uchina na india
JEWISH [emoji3591] uyahudi
N.K[emoji3591][emoji3591][emoji3591][emoji3591][emoji3591][emoji3591][emoji3591][emoji3591][emoji3591]
Sasa je hujiulizi kwa umakini dini zootee hizi zanamuabudu mungu sawa??

Jibu hapana kila dini na taratibu zakee..
Kama ni hivyoo je mungu alitaka abuduwe tofauti??

Jifunze kuhusu mungu.


MUNGU

NI ILE ROHO ILIYO NDANI YA NAFSI YAKO.. ILIYO YA KWELI NA UTAKATIFU NA MAMLAKA AU NGUVU ZA UTAWALA WA MWILI WAKO HUYO NDIO MUNGU ..
MAANA HALISI YA MUNGU PIA.

MUNGU NI WEWE MWENYEWE..
 
kwanza sina shibe nina maisha magumu hatari uliona wapi tajiri anamtusi Mungu adharan ni mm mr pipa na akili yangu timamu
Kama Mungu anakuacha ukazini na wake au waume za watu wakati anauwezo wa kustopisha liboroo lisifanye kazi na ukaokoka kwenye dhambi
Niseme tu tusipangiane
Wewe si kakupatia akili ya kujua jema na baya ndiyomaana huwezi kujilengesha kwenye gari barabarani wakati wa kuvuka ukagongwa na ukafa?

Unadhani unapoenda kubaka, kulawiti au kutembea na Mke wa Mtu hujui unachokipanda ni nini na mavuno yake baadaye [emoji848][emoji34]
 
Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine. Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi, kwa fact hizi
  • Pale bustani ya edeni Mungu alimficha Adamu na Hawa jambo. Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri
  • Unaweza muomba Mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea
Ndio hivyooo
Shetani gani unamzungumzia?🤔
 
nampigiaje debe mtu nisiewahi muona,

Mungu atajibu kwasababu ndio mwenye hati miliki ya mwili huu huweza sema robot inamaamuz kwa aliemtengeneza sababu mtengenezaji anajua robot yake ipo vipi
Shetwani ni mtu au malaika iliyeasi mbinguni?

Mtu gani aliumbwa kwa moto [emoji848][emoji28]
 
kwa hiyo na Mungu alikubali michongo ya mwana vipi pale alipomruhusu Ibrahim amchinje mtoto wake damu ingeenda wp? Utasema alikuwa akimpima vipi kuhusu anapotuambia tukimuangalia mwanamke tumezin ikiwa hatuja fanya ni halali au tunampima
Mbona unatoka nnje ya mada tena?

Jibu la hilo swali ni jepesi sana ila pambana na hii hoja yako ya kipuuzi kwanza kisha hilo swali lingine lifungulie uzi pia nikujibu
 
kazi unayo Mungu ni muweza wa yote sasa mbona unamtetea sana mwambie japo apige shot simu yangu hapa maana una Mungu ndani yako toka hao baadae unaenda tomba binti za watu
Imeandikwa "usimjaribu BWANA Mungu wako"

Lakini kwanini unaenda mrama na mada husika, si usimamie hiki unachoamini kwanza tukupe za uso, kisha ndipo ufungue uzi mwingine kuuliza maswali mengine [emoji848][emoji1787]
 
kama ni hivyo Mungu hana msimamo kwa anachofanya ni kama demu malaya tu sitak nataka yupo kuzimu alafu maovu yanaendelea bado anamlaumu
Mbona unachofanya ni utoto sana [emoji38] wenzako akina Sauli waliua sana Wacha Mungu lakini hatimaye muda ulifika na aliungama dhambi zake kukiri kuwa YESU NI BWANA [emoji16]

Endelea kujifunza kumkufuru MUNGU lakini hakimu (muda) unakusubiri kwa hamu sana ili upige goti mbele za (Elgobah)Mungu na kukiri hakika yeye ndiye Mungu wa miungu, BWANA wa mabwana, Mfalme wa wafalme na Mtawala juu ya yote, katika vyote na zaidi ya yote duniani na hata mbinguni [emoji1]
 
Ibrahim alipimwa imani yake ndo maana akapewa baraka akafanywa baba wa mataifa,Mungu angetaka damu asingeuzuia mkono wa Ibrahim Ili ushuke kwenye shingo ya mwanae.Ni kipimo cha imani.Ni SAwa na watoa kafara amtoae mzazi wake, mtoto wake kwa shetani Ili apate mali, madaraka,vyeo the same.Zamani watu walichinja wanyama kama sadaka,sisi Wakristo atuchinji sababu tayari Yesu Kristo alitufia na kufanywa laana Ili kuzibeba dhambi zetu,so kupitia kwake tunaokolewa hatuhitaji kutoa damu tayari ilishamwagika msalabani golgotha.
Kumwangalia mwanamke kwa tamaa tayari umezini sababu ya ile dhamira, dhamira ni nia na nia ya kutenda tu tayari ni dhambi
Kufanywa mbaraka na njia ya uzima wa milele kwa wataomwamini kuwa Yesu ni BWANA na Mwokozi wa walimwengu wote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sa si amuue
Muda wake upo wa kuuwawa, lakini kabla ya yote Mungu aliona si vyema akimuua shetwani papo kwa papo, ili asionekane ni Mkatili, basi alimpatia muda wa kukiri kosa ili amrehemu lakini alishupaza shingo ndipo alimtupa duniani.
 
Sasa kama Shetan Mungu alimshindwa huko Mbinguni akaamua kumfurusha huku Dunian ndo utamuweza wewe? Acha kushindana na vitu vya ajabu banah

Sent using Jamii Forums mobile app
Naiusia nafsi yangu pamoja nakuiisia nafsi yako kuchagua upande wa HUYO aliyemfukuza shetani kwa kua kama ana nguvu kubwa kiasi cha kumfurumusha huyo shetani ambaye unamwita kashindikana, mimi na wewe atatufanyanya nini kama tutakaidi utaratibu wake?

Sisi ni vitu vya Mungu katutengeneza kwa kutumia material ayatakayo YEYE mwenyewe hatukuwahi wala hatutakuja wahi kufikia hata chembe ya elimu aliyonayo Mungu NEVER

Binadamu tusijiingize kuwaza mambo ambayo akili zetu si saizi yake

Yapo mambo ambayo Mwenye Elimu MWENYEWE ndiye ana juzi nayo
 
Mbona humwombi maisha yako yakawa mazuri zaidi?
shetani nishamwomba najibiwa nishataper mtu m30 ,
juzi nimempiga tena mzinga jamaa m8 so anajibu maombi vp ww Mungu kakupa nini huko?
 
Shetani anacopy toka kwa Mungu sababu alikuwepo kwa Mungu anazijua siri nyingi.
huoni kama unajifungua kwa majibu yako tukihoji zaidi mtasema tunakufuru
 
Back
Top Bottom