Mpaka sasa sijaona ubaya wa shetani

Mpaka sasa sijaona ubaya wa shetani

Vita uletwa shetani lengo ni kuvuna damu za watu na kuzipeleka kuzimu.
kwa hiyo na Mungu alikubali michongo ya mwana vipi pale alipomruhusu Ibrahim amchinje mtoto wake damu ingeenda wp? Utasema alikuwa akimpima vipi kuhusu anapotuambia tukimuangalia mwanamke tumezin ikiwa hatuja fanya ni halali au tunampima
 
nampigiaje debe mtu nisiewahi muona,

Mungu atajibu kwasababu ndio mwenye hati miliki ya mwili huu huweza sema robot inamaamuz kwa aliemtengeneza sababu mtengenezaji anajua robot yake ipo vipi
Anayeongea ndani yako ni ibirisi sio wewe, pengine unafikiri shetani ni Mtu kama wewe is better to keep quiet sometimes.
 
Anakojimwaya mwaya wapi sasa huku kuzimu alikofungiwa ndio anajimwaya mwaya?? Maana sioni anapojimwaya unless hujui usemalo
kwa hiyo kahamia kuzimu?😇 lakini si tuliambiwa
katupwa duniani au na sisi tupo kuzimu? mtuambie mapema isijekuwa na sisi tumetupwa huku kuzimu
 
Anayeongea ndani yako ni ibirisi sio wewe, pengine unafikiri shetani ni Mtu kama wewe is better to keep quiet sometimes.
kazi unayo Mungu ni muweza wa yote sasa mbona unamtetea sana mwambie japo apige shot simu yangu hapa maana una Mungu ndani yako toka hao baadae unaenda tomba binti za watu
 
Kifo alichokiumba Mwenyezi Mungu ni cha uzee baada ya mwili kuchakaa,umri wa kuishi si zaidi ya miaka 70 hadi 80 zaidi ya hapo ni neema,huo ndio umri uliopangwa na Mungu.
Shetani ndie uwatumia watu mapepo ya hasira Ili wasifikie mwafaka wapigane wamwage damu.
Watoto wa shetani ndio upigana.Mungu ni upendo Hakuna vita,
kwanini sasa apunguze umri wa kuishi tokea ,900 ya enzi hizo mpaka80 ya sasa na kwenye Bible katuna kwa kusema kuhusu kupunguza huo umri nibe woga kumuhofia shetani au
 
kwa hiyo yuko kuzimu😇 lakini si tuliambiwa katupwa duniani au na sisi tupo kuzimu
Shetani yuko kuzimu huko kwenye shimo lisilo na maji, anasubiri hukumu yake ya mwisho, na duniani ndipo yalipo makazi ya wanadamu, shetani anatumia wanadamu kukontro dunia, akiwepo na wewe unayempigia debe hapa, anatumia wachawi, mapepo, na waganga kuvuna wanadamu ambao watakuwa upande wake akiwemo wewe, Ili siku yake ya hukumu asiwe peke yake. Lucifer as Lucifer amefungwa huko gerezani(kuzimu) hawezi kuja huku
 
kama ni hivyo Mungu hana msimamo kwa anachofanya ni kama demu malaya tu sitak nataka yupo kuzimu alafu maovu yanaendelea bado anamlaumu
 
kazi unayo Mungu ni muweza wa yote sasa mbona unamtetea sana mwambie japo apige shot simu yangu hapa maana una Mungu ndani yako toka hao baadae unaenda tomba binti za watu
Kwa sababu umetaka mwenyewe Ili ije kuwa ushuhuda Kwa wengine, na iwe sawa sawa na maneno yako.
 
kwa hiyo na Mungu alikubali michongo ya mwana vipi pale alipomruhusu Ibrahim amchinje mtoto wake damu ingeenda wp? Utasema alikuwa akimpima vipi kuhusu anapotuambia tukimuangalia mwanamke tumezin ikiwa hatuja fanya ni halali au tunampima
Ibrahim alipimwa imani yake ndo maana akapewa baraka akafanywa baba wa mataifa,Mungu angetaka damu asingeuzuia mkono wa Ibrahim Ili ushuke kwenye shingo ya mwanae.Ni kipimo cha imani.Ni SAwa na watoa kafara amtoae mzazi wake, mtoto wake kwa shetani Ili apate mali, madaraka,vyeo the same.Zamani watu walichinja wanyama kama sadaka,sisi Wakristo atuchinji sababu tayari Yesu Kristo alitufia na kufanywa laana Ili kuzibeba dhambi zetu,so kupitia kwake tunaokolewa hatuhitaji kutoa damu tayari ilishamwagika msalabani golgotha.
Kumwangalia mwanamke kwa tamaa tayari umezini sababu ya ile dhamira, dhamira ni nia na nia ya kutenda tu tayari ni dhambi
 
anko mbona nimeeleweka
 
Sasa umetoka kusema hayuko kimya! Kwahiyo hizo kelele anazipigia wapi na wewe unasema amefungiwa
Hizo kelele nimekuambia anazipigia ndani Yako, wewe unayempigia debe ndio mwwakilishi wake hapa Duniani na anakutumia wewe Kwa Elimu yako na ujuzi wako wa kuandika kama unavyofanya hapa, Ili uwaaminishe wengine apate wafuasi, anatumia hila tayari amekupata hapa na sasa unatumika, au ulitaka umkute tandika pale anapiga debe??
 
kwanini sasa apunguze umri wa kuishi tokea ,900 ya enzi hizo mpaka80 ya sasa na kwenye Bible katuna kwa kusema kuhusu kupunguza huo umri nibe woga kumuhofia shetani au
Population ya dunia enzi hizo hata milioni 10 awafiki,leo watu bilioni 7,waishi hadi miaka 900 utawaweka wapi?
 
kazi unayo Mungu ni muweza wa yote sasa mbona unamtetea sana mwambie japo apige shot simu yangu hapa maana una Mungu ndani yako toka hao baadae unaenda tomba binti za watu
Naona bwana shetani umeamua kujitokeza live.
Sasa unapambana na hawa wafia dini wa huku mtandaoni
 
Hizo kelele nimekuambia anazipigia ndani Yako, wewe unayempigia debe ndio mwwakilishi wake hapa Duniani na anakutumia wewe Kwa Elimu yako na ujuzi wako wa kuandika kama unavyofanya hapa, Ili uwaaminishe wengine apate wafuasi, anatumia hila tayari amekupata hapa na sasa unatumika, au ulitaka umkute tandika pale anapiga debe??
Acha ujinga wewe, yani mwili huu huu niliopewa na mungu na mungu ndio mmliki wetu shetani aje autumie? Wewe ungekuwa mungu ungekubali? Mbona mke wako ty hutaki atumiwe na mtu mwengine. Sasa mungu anawezaje kuruhusu mali yake itumiwe na shetani
 
Back
Top Bottom